911sep11
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,469
- 4,306
System update availlable.
From nyumbu to Mapunda version 9.001 😂🤣😂😂
Hii jezi sijaipenda
System update availlable.
Manchester is
Kidogo tufanane na Juventus
Timu inahitaji balance..sio lazima VDB aingie kwenye timu direct..na Ole hawezi kusema kuwa amenunua mchezaji ili acheze na Bruno na PogbaSawa mkuu,,,tusubiri tuone,,,lakini niliposema hachezi na Fred nilimaanisha Fred,,out,Mac Tommy out,
Ila kwa mujibu wa ole anahitaji kuwachezesha wote viungo 3..kwa pamoja sababu anahitaji magoli zaidi,,
Kama watacheza wote kwa pamoja pengine matic ndy atakuwa DM na kuua winga moja,,,tunachezesha striker mmoja,, na winger moja,,lakini hao watatu ni special kwa pamoja mkuu..
Ila sidhani kama tutacheza ligi nzima kumtegemea matic kama DM,,
Pengine ana option zingine za kuwachezesha,,
Ila mfumo ni Fernandez.. Pogba ,,VDB...kwa pamoja
Mbona kapendeza au tatizo liko kwa Pogba tu haijamkubali au?
Mbona kapendeza au tatizo liko kwa Pogba tu haijamkubali au?
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Katika formation zote za mpira pamoja na mabadiliko makubwa sana wa tactics uwanjani eneo pekee ambalo haijawahi kuwa disturbed ni kwenye defensive midfield.
Mifumo yote tunayocheza lazima kuwe kuna defensive midfield na mara nyingi lazima awe typical defensive midfielder.
CM anaweza akacheza mtu yeyote ila kwenye defensive Midfield lazima mchezaji awe na attribute mbili na kuu iwe ni defending and reading the game.
Hao wachezaji watatu hapo juu wana attribute ya kusoma mchezo ila kwenye defense hawako vizuri sana
Same....
Mkude ana sifa hizo mbili nilizokutajia hapo juu.Sio Kweli Mkuu, Simba kwa Miaka Mingi chini ya Mkude inacheza bila typical DM, Simba inayotumia Typical DM ni ile uliyomuona James Kotei akicheza na sasa Fraga anapocheza nje ya hapo inacheza bila Typical DM, Mfumo Maarufu wenyewe wa 4-4-2 hauna Typical Defensive Midfielder labda washift to 4-1-3-2.Typical DM anacheza Katikati peke yake akiwa mbele ya backline.Mfumo ambao DM anaonekana dhahiri ni 4-3-3 vinginevyo mifumo mingi ya Sasa inaua DM wa asili kwa kuchezesha viungo wawili ambao wanagawana nusu uwanja kulia na kushoto hivyo napinga hoja yako DM haijaguswa, imeguswa sana na inaguswa sana ndio Maana katika dunia ya Leo wachezaji viungo wakabaji wa kariba ya Claude Makelele wamepotea na hawaonekani tena, wamebaki wachache na hawaonekani kivile
Bukta na soksi ndo tatizo !!!Mbona kapendeza au tatizo liko kwa Pogba tu haijamkubali au?
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Maelezo mazuri, lakini hoja kuu ulisema DM haiguswi na maelezo yako yanaonesha jinsi gani inaguswa kwa kubadilishwa hivi ama vile.Mpira wa sasa Ile Six ya kizamani inapotezwa sana, Nadhani focus imebadilika kutoka kuwaza kuzuia kwa kunyang'anya mpira toka kwa adui kwenda kuzuia kwa kukaa/kumiliki Mpira.Asante kwa maelezo yako mazuri thoughMkude ana sifa hizo mbili nilizokutajia hapo juu.
Ana attributes za defending and reading the game ndiyo maana sometimes anatumika katika role ya DM.
Ukitumia 4 4 2 diamond mara nyingi unakuwa na wachezaji wengi ambao ni CMs wenye attributes za defending.
Mtu anayetumia mfumo wa 4 4 2 diamond ni Diego Simeone anaweza kuwatumia Partey typical DM, Koke ambaye ana attributes hizo mbili za defending na reading the game, Saul Nigeuz na Lronte au Hector Herera wachezaji watatu wote niliowataja ukiondoa Saul Niguez wanaweza kucheza DM bila shida yoyote.
Yawezekana wewe inapozungumzwa DM unaitafsiri kama the MAKELELE ROLE ambayo siyo defense midfielder wote wanacheza Makelele Role.
Kuna kocha mmoja aliwahi kuondoa typical DM kwenye midfield naye ni Carlo Anceloti na AC Milan lakini alimtumia Pirlo kama regista lakini kwenye flanks zake pirlo alikuwa na wachezaji wenye attributes za defensive midfielders ambaye ni Genarro Gattusso.
Kumbuka DM inachezwa kutegemea na formation anayotumia kocha na aina ya philosophy ya mwalimu.
Italy wanatumia registas ndiyo maana DM wa Italy wote ni good passers ambao wako comfortable sana kucheza mpira, mfano Pirlo, Marco Verrati, Daniel Derossi, Jorginho etc lakini hawa mara nyingi lazima awe partnered na mchezaji anayekaba sana. Nikuulize tu kwanini Jorginho hafanyi vizuri Kante anapokuwa hayupo uwanjani ? Sababu kubwa anakuwa hana anchor ya kumfanya afanye role yake vizuri as a regista.
Pep Guardiola anatumia 4 3 3 hapo lazima DM akiwa Barca ni Bousquest, Bayern Xabi Alonso au Martinez, Man city ni Fernandinho sasa hivi ni Rodri.
English Footbal Culture DM wengi ni typical destroyer ambao wengi wanapiga square passes lakini wanakuwa anchored na CM wenye quality ya defence na attacking Uingereza walijaribu kuwatumia Steven Gerrad, Paul Scholes na Lampard kwenye squad moja bila mafanikio simply hawa watu wote ni kama CM wanaohitaji DM nyuma yao.
Hivyo hakuna formation inayochezwa vila DM isipokuwa namna inavyochezwa ndiyo inavyoweza kubadilika lakini mifumo yote inatumia DM.
Mkuu hapa timu ilichezaje na viungo 4?Timu inahitaji balance..sio lazima VDB aingie kwenye timu direct..na Ole hawezi kusema kuwa amenunua mchezaji ili acheze na Bruno na Pogba
Na mbn sioni tatizo kwa wote kucheza, mana hapo kuna mmojawapo either Rashford au greenwood itabd asubili km tutacheza 4-3-3, uyo de Beek atacheza either 7 au 11 kwakuwa ni kiungo mshambuliaji huyo jombaa na wala sio mkabaji.Mkuu hapa timu ilichezaje na viungo 4?
Je haikuwa na balance?
Usipende kukariri Mkuu.
Ole keshasema anachezesha wote POGBA,,FERNANDEZ,, VDB kwa pamoja,,,sasa nashindwa kuelewa taitizo lipo wapi?
Hyo formation tulimpiga Chelsea 2 - 1 .View attachment 1563841
Ndy nikasema wataua winga moja,,matic atacheza chini hao watacheza kwa pamoja..Na mbn sioni tatizo kwa wote kucheza, mana hapo kuna mmojawapo either Rashford au greenwood itabd asubili km tutacheza 4-3-3, uyo de Beek atacheza either 7 au 11 kwakuwa ni kiungo mshambuliaji huyo jombaa na wala sio mkabaji.
Hapo katikati km kawaida itabaki vile vile tu kaka.
viungo wanne umewaona wapi hapo?Mkuu hapa timu ilichezaje na viungo 4?
Je haikuwa na balance?
Usipende kukariri Mkuu.
Ole keshasema anachezesha wote POGBA,,FERNANDEZ,, VDB kwa pamoja,,,sasa nashindwa kuelewa taitizo lipo wapi?
Hyo formation tulimpiga Chelsea 2 - 1 .View attachment 1563841