Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
These stuffs are no longer funny.
These stuffs are no longer funny.
Nilipata matatizo, nime ku PMHutaki kazi mkuu?
Ujue wiki nzima nilikuwa nalusubiri, nilidhani unaandika CV kumbe upo huku unacheza!
Kila la kheri.
Michezo mema.
Usimfanyie hivyo mkuu tafadhali....Hutaki kazi mkuu?
Ujue wiki nzima nilikuwa nalusubiri, nilidhani unaandika CV kumbe upo huku unacheza!
Kila la kheri.
Michezo mema.
Nuks munayo nyinyi the blaus.Wazee wa nuksi leo mnazitia wap?
HahaaaaaaaaaaHutaki kazi mkuu?
Ujue wiki nzima nilikuwa nalusubiri, nilidhani unaandika CV kumbe upo huku unacheza!
Kila la kheri.
Michezo mema.

Umefungwa na nani?View attachment 1567931
Tumefungwa moja.
Manchester United imefungwa goli moja kwa sifuri dhidi ya Aston Villa.Umefungwa na nani?
Manchester United imefungwa goli moja kwa sifuri dhidi ya Aston Villa.
Haupo serious..tulia.Wakuu hawa leeds watatumaliza, tumnunua dany drinkwater atusaidie pale kati