Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fred on last season: "We can’t say it was a good one, because we didn’t win a trophy. For a club like Man Utd, it’s not a good season without a title."★

#GGMU

manutd |
IMG_20200913_002723_489.jpeg
 
Man Utd may turn their attentions to Gareth Bale if they cannot secure the transfer of Jadon Sancho. Real Madrid are willing to pay half of Bale's £600,000-a-week salary, something which could tempt United to move. A loan deal is preferred by Ed Woodward at this stage. #MUF
 
Baada ya hii mechi ndio nimejua kuwa striker wa kishoka anatakiwa sana kuliko uhitaji wa Sancho
 
Tunaongea kila siku hilo suala lkn wapenzi wengi wa man u humu nao wamenasa kwenye mtego wa Sancho pasipo kujua target ya Woodward ni pesa ya mauzo ya jezi no.7 lkn kiuhalisia hatuna shida ya no.7, hizo pesa za kumsajili Sancho wangezitoa kumsajili Haaland ingekuwa na mantiki.
 
Mkuu wachana naye huyo mtoto bora umpe yule jamaa aliyeomba akufate pm huyo wachana naye kwanza anatuharibia uzi humu.
Mtu hakujui wala humjui lakini yuko tayari ukose connection kisa mpira😂😂😂 braza hivi ni vitu vya kupita tu ..natumaini utakuwa na furaha sasa.

Walimwengu bhana😂😂😂😂
 
Tunaongea kila siku hilo suala lkn wapenzi wengi wa man u humu nao wamenasa kwenye mtego wa Sancho pasipo kujua target ya Woodward ni pesa ya mauzo ya jezi no.7 lkn kiuhalisia hatuna shida ya no.7, hizo pesa za kumsajili Sancho wangezitoa kumsajili Haaland ingekuwa na mantiki.
kwa hio mkuu unaona ni sawa club kubwa kama man U miaka 7 toka aondoke Louis Nani na Valencia kutumika kama beki haina winga wa kulia? bado unaona hatuhitaji winga wa kulia?

hebu angalia mabingwa wa ligi 5 kubwa.
1. uingereza liverpool, hawategemei striker bali wana inside forward wawili
2. ufaransa psg hawategemei striker wana inside forward wawili wazuri
3. italia juventus hawategemei striker wana inside forward/10 wazuri
4. spain Madrid wanategemea striker benzema
5. ujerumani bayern wana striker ila nguvu yao kubwa ni pembeni/10

ukitoa madrid mabingwa wa ligi 5 wakubwa wote wapo vizuri sana kwenye inside forward, imagine timu kama bayern wangemtegemea lewandoski then wakamchezesha midfield yoyote kama thiago, badala ya perisic/coman/gnabry wangebeba ucl?

hata hao madrid si kwamba wameridhika na Benzema, ndio maana wanatoa mpunga mrefu kusajili kina hazard, bale, ronaldo etc, katika most expensive transfers za madrid ni luka jovic pekee ndio striker wengine wote ni inside forward ama midfielder wenye uwezo wa kufunga.

angalia hata club nyengine kubwa kama Man city na Barcelona utaona same thing, priority kubwa inapewa kwa inside forward na viungo washambuliaji, pep ana mawinga kibao na bado anasajili hao hao, japo Aguero ana tatizo la majeruhi ila hata hahangaiki sana eneo hilo.

tunaishi age ambazo kina Neymar, messi, ronaldo, salah, mane, dybala etc wanasumbua then sisi man U eti hatuna winga kabisa tunaibia ibia tu mara greenwood, mara mata, mara herrera etc makocha wote wa man u aliyepo sasa na waliofukuzwa kila mmoja kwa wakati wake alitaka winga, ila club ikashindwa kuwaleta.
 
Umeeleza vizuri sana mkuu..Big Up

Tunahitaji right flank foward (Sancho) kuliko kitu chochote..
Hayo maeneo mengine inabidi yaje after that..Timu inabidi icheze with dynamism..sio kutegemea tu upande wa kushoto
 
★Solskjær: “In the first half [vs Aston Villa] I thought we played some good stuff and created chances. The most important thing is valuable minutes because this pre-season is such a strange and different one for us.”★

manutd |
 
kwa hio mkuu unaona ni sawa club kubwa kama man U miaka 7 toka aondoke Louis Nani na Valencia kutumika kama beki haina winga wa kulia? bado unaona hatuhitaji winga wa kulia?

hebu angalia mabingwa wa ligi 5 kubwa.
1. uingereza liverpool, hawategemei striker bali wana inside forward wawili
2. ufaransa psg hawategemei striker wana inside forward wawili wazuri
3. italia juventus hawategemei striker wana inside forward/10 wazuri
4. spain Madrid wanategemea striker benzema
5. ujerumani bayern wana striker ila nguvu yao kubwa ni pembeni/10

ukitoa madrid mabingwa wa ligi 5 wakubwa wote wapo vizuri sana kwenye inside forward, imagine timu kama bayern wangemtegemea lewandoski then wakamchezesha midfield yoyote kama thiago, badala ya perisic/coman/gnabry wangebeba ucl?

hata hao madrid si kwamba wameridhika na Benzema, ndio maana wanatoa mpunga mrefu kusajili kina hazard, bale, ronaldo etc, katika most expensive transfers za madrid ni luka jovic pekee ndio striker wengine wote ni inside forward ama midfielder wenye uwezo wa kufunga.

angalia hata club nyengine kubwa kama Man city na Barcelona utaona same thing, priority kubwa inapewa kwa inside forward na viungo washambuliaji, pep ana mawinga kibao na bado anasajili hao hao, japo Aguero ana tatizo la majeruhi ila hata hahangaiki sana eneo hilo.

tunaishi age ambazo kina Neymar, messi, ronaldo, salah, mane, dybala etc wanasumbua then sisi man U eti hatuna winga kabisa tunaibia ibia tu mara greenwood, mara mata, mara herrera etc makocha wote wa man u aliyepo sasa na waliofukuzwa kila mmoja kwa wakati wake alitaka winga, ila club ikashindwa kuwaleta.
Hivi Man United hawawezi kumnunua Riyadh Mahrez kama mbadala wa Jadon Sancho ?
 
Back
Top Bottom