Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Striker na winger ni muhimu zaidi mkuu.The best 007,
Hahahahaaa inaonekana huwakubali kabisa Anthony na mshikaji wake Marcus. Kwa sasa namba ya muhimu zaidi kununua mchezaji ni beki wa kati hapa pana tatizo kubwa sana. Tumedondosha sana points muhimu kwa uzembe hapana kiongozi ktk hili eneo, muda inapopigwa kona au set pieces ni rahisi sana sisi kufungwa na cross ikipigwa kwa umakini tunakuwa ktk hatari.
Ukiwa na striker anakupa magoli 25 ya epl kwa msimu ataleta utofauti mkubwa kwenye msimamo kuliko mabeki.
Naamini kwenye kushambulia zaidi kuliko kuzuia. Tukiondoa draw zisizo na ulazima, tutafika mbali tu.
