The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hahahaaa mkuu hili suala la kuzungukwa na nani huwa linaongelewa kwa most talented players ambao awali walisha proof ubora wao, ss ikiwa Martial anataka tuhoji kuwa kazungukwa na nani ilipaswa apambane kututhibitishia ubora wake, hata pogba huwa tunahoji kazungukwa na nani cz alisha proof ubora wake.Mnamlaumu Martial Je amezungukwa na kina nani? Au ndo hizo pasi uchwara za fred? Au mnataka akokote mpira kutoka goli moja hadi lingine.
Mpira ni combination,Kuna mdau aliongelea accuracy ya Martial hapo EPL.
