Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Where could Donny van de Beek fit in at Manchester United?

The skysports.com team have used Solskjaer's favoured 4-2-3-1 to see the likely XI that could line up for the Red Devils next season...

“With Bruno Fernandes and Paul Pogba already in place at Manchester United, he may be needed in a deeper role at Old Trafford.”

#GGMU
IMG_20200902_114734_621.jpeg
 
Don ataweza kucheza na Pogba na Bruno kwenye formation ya 3 katikati, yeye na Pogba akiwa nyuma ya Bruno

Lakini pia anaweza kucheza kwenye mid 3 akiwa more advanced, kule kwa Bruno (kijana ni versatile)

Ninaamini wanaweza kucheza wote watatu katika mechi tunazo kunatana underdogs ili kusaidia kubreak defense ya mpinzani anaye paki basi. Pia Don ni mzuri defensively.

Chini unaweza kuona stats zake ukilinganisha na vijana wetu waliopo kikosini

Kiujumla kuja kwake ni habari njema katika kufanya kikosi chetu kuwa kipana

Akiumia Bruno au Pogba tunaweza tusiathirike sana kwa kuwa yupo yeye kucheza kama creative elements huku akina Fred na Matic wakicheza kama defensive mids

Hiki ndicho ambacho tumekuwa tukikiangalia kwa City na kukitamani kila siku, kocha awe na options nyingi kwenye team selection, a good problem to a coach.
...Si ndio mkuu..Lakini how can we lineup ili VDB awe starter?..Kuna watu wanahisi hastahili kugombania no au kutokea nje
Screenshot_20200902_201845_com.android.chrome.jpeg
 
★Ole Gunnar Solskjær:

"Donny has all of the technical attributes needed to perform in this team and has the personality required to succeed at Manchester United."★


#GGMU

manutd |
IMG_20200902_211711_651.jpeg
 
...Si ndio mkuu..Lakini how can we lineup ili VDB awe starter?..Kuna watu wanahisi hastahili kugombania no au kutokea nje
Weka wote watatu, Bruno, pogba na DVDB. Beek anakaba,na Bruno hukaba pia japo wote ni attacking minded midfielders
 
Bavaria,

Benchi la ufundi likitulia likijikita ktk scouting approach recommendations ni rahisi sana kupata vipaji visivyo na majina na kwa bei poa sana kuliko kufanya head-hunting approach kama tulivyokuwa tunakomaa mwanzo. Hata ktk nafasi ya Jadon Sancho tunaweza ku-cancel tuwaachie scout wafanye yao tusitumie head-hunting approach kufuata mtu moja kwa moja. Ni rahisi sana kupigwa bei kubwa, mf. Jack Grealish tuliambiwa tupeleke Pound 80 M.

Bruno, binafsi nilikuwa simfahamu kwa ukaribu kabla ya sisi kuonyesha kumuhitaji yaani nimemjua msimu mmoja uliopita. Just imagine kuna wachezaji wangapi wazuri ambao sisi hatuwafuatilii ila wapo talented labda kuliko hata Jadon Sancho ila hawana coverage kubwa. Maana misimu miwili nyuma kiungo kama Fred au Jesse Lingard walikuwa wanafahamika zaidi kuliko hata Bruno.
 
★Where could Donny van de Beek fit in at Manchester United?

The skysports.com team have used Solskjaer's favoured 4-2-3-1 to see the likely XI that could line up for the Red Devils next season...

“With Bruno Fernandes and Paul Pogba already in place at Manchester United, he may be needed in a deeper role at Old Trafford.”

#GGMUView attachment 1556828
Hii bado kdg kwenye kugombania mataji, no3, no11, na no9 znatakiwa zijazwe haraka zen hao wapuuzi wawe back up ya wenye namba zao.
 
The best 007,

Hahahahaaa inaonekana huwakubali kabisa Anthony na mshikaji wake Marcus. Kwa sasa namba ya muhimu zaidi kununua mchezaji ni beki wa kati hapa pana tatizo kubwa sana. Tumedondosha sana points muhimu kwa uzembe hapana kiongozi ktk hili eneo, muda inapopigwa kona au set pieces ni rahisi sana sisi kufungwa na cross ikipigwa kwa umakini tunakuwa ktk hatari.
 
Mkuu mimi bado ninaamini hata msimu huu hatuko nafasi nzuuri sana kugombea taji,bali tunajenga timu. Hivyo tujipe muda maana kushoto bruno kuliko vdb hawa kwa kiasi kikubwa ni world class,tutegemee makubwa toka kwa pogba la sivyo tuwe na sababu ya kukubali man utd sio sehemu sahihi kwake pamoja na kipaji chake.
Bila kununuwa world class striker na center back..
Ubingwa tusahau..
Martial hatoshi kuwa tegemeo no 9.
 
Bila kununuwa world class striker na center back..
Ubingwa tusahau..
Martial hatoshi kuwa tegemeo no 9.
Hatuwezi kumtegemea no 9 tu ndo atupe kombe..Pia wanaocheza RW,LW wanatakiwa watupie pia goli za kutosha..Mbona Liverpool wameshinda kombe huku Firminho akiwa kazidiwa goli na Martial?

Point hapa ni kuwa tunahitaji Front three yenye makali kote kote na sio kupoint eneo moja tu,maana huu mpira wa Ole sio wa kushambulia kwa kutumia Target man
 
Back
Top Bottom