The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Yah ilikamata sn apo kati na ilifanikiwa sn.Unakumbuka Barca ya Mascherano, Busket, Xavi na Iniesta (
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Yah ilikamata sn apo kati na ilifanikiwa sn.Unakumbuka Barca ya Mascherano, Busket, Xavi na Iniesta (
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu ngj tuone.Man Utd ni club kubwa.
Ni nadra sana kupata mchezaji asije kucheza kwa presha.
Ndo maana tulisajili baadhi ya wachezaji wenye majina wakashindwa kufanya vizuri.
Tumuamini Martial, tumpe viungo na wingers.
Wana mapenzi na man utd kuliko timu zaoMashabiki wa Chelsea na arsenal wanashindwa kuwa kwenye jukwaa lao , muda wore wanashinda huku .
Jamani nendeni kwenu...![]()
Yepi mengine, sababu post covid 19 martial is quite a different beingMkuu Roy Keane aliwahi kusema kwamba tusitarajie makubwa toka kwa Martial, kuna kitu alimaanisha na nahisi mm nilimuelewa sn cz aliongea yale yale niliyokuwa nawaambia watu.
Hakika mkuuLengo ni kuutawala mchezo tu hakuna jipya, hapo ukitawala mchezo, zen ukapata forward mfano wa Cavani heheheheheeee yn unamfunga mtu huku akiombea mechi iishe.
Kuna watu walikuwa wanatamani yule Federico Valverde na sasa Sergio Reguillon.Kleberson,Veron,Forlan,Anderson,Falcao,DiMaria na wengine toka South America walistruggle United licha ya kucheza vizuri timu nyingine
Tevez,Rafael,Heinze & Valencia ndio wachezaji toka S.America waliofanikiwa United
Huyu dogo wangempa jezi namba 20 aliyokuwa akivaa Robin Van Persie uchezaji wao unafanana sana.Our new no. 11View attachment 1558338
Alcantara hawezi kuweka benchi hao vijana kwanza akija epl lazima apotee tu.Ujio wa Alcantara utafanya Mc tominay au Fred kupotea kabisa. Yawezakana nafasi kwao ikawa ni Emirates cup pekee
Tatizo kipaaa na Maguire sio kbsaaLengo la Ole km langu tu, ole anaamini ktk viungo km pep mm pia ni muumini wa viungo bora uwanjani unapokuwa na viungo bora mfano Bruno, pogba, VDB, Alcantara, Matic, Mc Tommy n.k hapo ukimkamata mtu unamfumua malinda mpk anaomba poo kudadadeki mana kila akianza anakaa na mpira sekunde 3 mnao nyie mnakaa nao dk5.
Niliona hyo tetesi pia japo wakasema mchezaji anataka hela nyingi jambo litalofanya Man U waachane naeNdo hapo ss, ebhn inasemekana Bayern na Man u wapo mezani kuhusu Alcantara, mwenye info atupe.
Ha ha ha ni ile tunashinda kizalizali roho mkononi. Ile ya PSG ni bahati tu na hadi Leo sijui tuliwafungaje na hata kwao imebaki historiaPsg na Juve tuliwafunga na kikosi kibovu kushinda hiki, na Ole siku zote anafanya vizuri akikutana na timu inayofunguka.
Pia washambuliaji wetu Rashford na Martial ni big game players, wanazifunga zaidi timu kubwa kuliko Ndogo.
Epl yenyewe Timu kubwa ikikutana na sisi inajiandaa kisaikolojia.
Kabisa kabisa!Mkuu timu mbovu kuifunga timu nzuri sio kipimo cha ubora,,
Ni sawa na shehe kuangukiwa na maiti wakati wa kuzika,,na shehe akafa..
Hyo natokea sn tu.
Man u bado sio nzr kwa ushindani wa EPL na UEFA...
Sure, na ingempendeza sn unajua mm binafsi ktk namba kubwa kubwa nnazoona zinapendeza kuvaa mojawapo ni 20, lkn kuna zngne pia kwasabu ya influence ya wachezaji mfano 23-beckham, 19-Messi, 66-Arnold na 18-Scholes.Huyu dogo wangempa jezi namba 20 aliyokuwa akivaa Robin Van Persie uchezaji wao unafanana sana.
Ndo hapo nnapowashangaa wachezaji, wakisikia utd utakuta wana demand pesa nyingi wkt angeenda barca, Liverpool au Bayern wangelipwa pesa mbuzi tu.Niliona hyo tetesi pia japo wakasema mchezaji anataka hela nyingi jambo litalofanya Man U waachane nae
Hiyo jezi no ameitaka mwenyew.Sure, na ingempendeza sn unajua mm binafsi ktk namba kubwa kubwa nnazoona zinapendeza kuvaa mojawapo ni 20, lkn kuna zngne pia kwasabu ya influence ya wachezaji mfano 23-beckham, 19-Messi, 66-Arnold na 18-Scholes.
tulia acha kuwewesekaNYUMBU kama NYUMBU nadhani habari mnayo View attachment 1558860