Kweli mkuu,, mechi yetu na sevilla tulipaswa kushinda angalau kwa goli 2 mbeleIla kweli jamaa wanapoteza chances nyingi tena clear chances, ile game ya Sevilla ni mfano wa karibuni
Kweli mkuu,, mechi yetu na sevilla tulipaswa kushinda angalau kwa goli 2 mbeleIla kweli jamaa wanapoteza chances nyingi tena clear chances, ile game ya Sevilla ni mfano wa karibuni
Mkuu yule mtoto Mac Tommy yupo vzr sn tu,,Hv Fred na Scott ni nani yupo yupo vizuri kwenye passing accuracy?
Personally ukiniuliza striker gani anafaa kusajiliwa United kwa sasa naona ni Raul Jimenez tu.Tumesajili falcao, lukaku, di maria, depay na mastaa kibao wameshindwa kutupeleka popote, tumemuamua turudi kwenye Asili yetu ya kusajili watoto wenye njaa ya mafanikio, timu imeanza kurudi kwenye form, haraka sana tunasahau tuanze tena kufuatilia hao wazee kina CAvani?
Mkuu strikers wapo kibao tu,,tatizo hawa scout wanaoshughulika na kuangalia wachezaji sijuwi wanatafuta mchezaji kwa kigezo gn?Hakika kwa sasa sokoni hata kupata Striker mzuri ni mbinde kweli kweli.
Tunahitaji Striker wa kucheza kama tunahitaji kubadili mfumo maana strikers wetu wengi hawafiti kucheza kama target men.
Hebu tutumie kigezo cha urefu tuangalie timu kubwa Uingereza na ulayaSikupingi mkuu,,na wala sisemi martial sio mshambuliaji mzr,,mm ni mmoja kati wa fans wa martial,,huwa namuelewa sn tu..
Martial anacheza vizuri sn wide,,akitokea kushoto,,na hata Mara zingine utamuona akiona kabanwa sn kati anampisha rashford pale no 9 yeye anakimbilia kushoto,,utaona kabisa timu imebadilika na yeye pia kabadilika uchezaji,,
Ninachosema ni kwamba ili tuwe washindani wa EPL na UEFA,,,FA basi tunapaswa tuongeze nguvu kwenye main striker no 9,,ndy maana martial sikumtoa kwnye kikosi,nikasema anapaswa acheze wide left,,, hivi umeshawahi kuona striker no 9 mfupi?madhara yake yapoje?kwenye timu pinzani?
Na ushawahi kuona striker mrefu?level ya Kane?madhara yake yapoje kwenye mipira ya juu?kona ,,cross nk?
Ndy maana martial kwenye kupiga mipira ya vichwa hapati nafasi,,sababu ya pia height yake ilivyo..pia hayupo strong sana ,,,akikutana na namba 4 mkorofi hutomuona uwanjani ,,, anapaswa acheze wide ndy anakuwa mkali sn..,,na hapo awepo mtu mkali level ya Kane,,au striker world class yeyote mzr,, pia anatosha..
Halafu kuna watu wanatetea strikers wetu kila Fernandez anafunga,,tena kwa penalties na sio magoli ya moves,,Kweli mkuu,, mechi yetu na sevilla tulipaswa kushinda angalau kwa goli 2 mbele
Unaweza ukatupa mfano walau mmoja wa striker ambaye anafaa kuwa first choice pale united ?Mkuu strikers wapo kibao tu,,tatizo hawa scout wanaoshughulika na kuangalia wachezaji sijuwi wanatafuta mchezaji kwa kigezo gn?
kama watu wanahangaika na kununuwa Sancho as a winger kwa 120 milion paunds i,,tutashindwaje kupata striker?
Huko France kuna watu wanafunga vibaya,,na hawana gharama,,
Ndy tunahitaji no 9 ..wa kucheka na nyavu..sio kucheka na camera kama akina rashford,,Personally ukiniuliza striker gani anafaa kusajiliwa United kwa sasa naona ni Raul Jimenez tu.
Nasema hivi kwa sababu ni mchezaji ambaye anaweza kucheza kama central striker kutokea kulia wakati sisi tuna Greenwood tu mwenye uwezo wa kucheza hiyo nafasi.
Pili Raul Jimenez anaweza kufit vizuri sana kwenye mifumo mingi tofauti tofauti bila kuathiri rhythm ya timu.
Martial msimu huu kajitahidi sana ukuzumingatia na majeraha aliyoyapata lakini pia team nzima haikuwa vizuri sana mwanzoni mwa msimu mpaka tuliporudi kutoka kwenye corona.
Hata mimi Jimenez nakubali anafit philosophy ya Ole, ni All around striker, jack of All trade.Personally ukiniuliza striker gani anafaa kusajiliwa United kwa sasa naona ni Raul Jimenez tu.
Nasema hivi kwa sababu ni mchezaji ambaye anaweza kucheza kama central striker kutokea kulia wakati sisi tuna Greenwood tu mwenye uwezo wa kucheza hiyo nafasi.
Pili Raul Jimenez anaweza kufit vizuri sana kwenye mifumo mingi tofauti tofauti bila kuathiri rhythm ya timu.
Martial msimu huu kajitahidi sana ukuzumingatia na majeraha aliyoyapata lakini pia team nzima haikuwa vizuri sana mwanzoni mwa msimu mpaka tuliporudi kutoka kwenye corona.
Fernandes kafunga goli nyingi tu EPL ambazo siyo za pelnaty almost 5 goals.Halafu kuna watu wanatetea strikers wetu kila Fernandez anafunga,,tena kwa penalties na sio magoli ya moves,,
Tunapaswa tununuwe striker no 9 ,,one chance ,,one goal,,
Uone kama hatukubeba ubingwa,,kipindi kile tumemnunuwa IBRA alitubeba sn tu..
Magoli ya vichwa ,,,na cross pia
Mpira tunaocheza sasa hivi hautegemei sana cross.Halafu kuna watu wanatetea strikers wetu kila Fernandez anafunga,,tena kwa penalties na sio magoli ya moves,,
Tunapaswa tununuwe striker no 9 ,,one chance ,,one goal,,
Uone kama hatukubeba ubingwa,,kipindi kile tumemnunuwa IBRA alitubeba sn tu..
Magoli ya vichwa ,,,na cross pia
Akisajiliwa atatusaidia sana kufunga goli za kwenye box header pamoja na kutengeneza space kwa kina Rashford na Martial.Hata mimi Jimenez nakubali anafit philosophy ya Ole, ni All around striker, jack of All trade.
Hapo kwenye urefu nimekuelewa vzr mkuu,,Hebu tutumie kigezo cha urefu tuangalie timu kubwa Uingereza na ulaya
Martial Urefu wake 1.81m
1. Bingwa liverpool firmino ni 1.81m
2. Wa pili Man City Aguero ni 1.73m
3. Wa Nne Chelsea tamy ni 1.9m lakini huyu mpya waliemleta Werner ni 1.8m
4. Leicester Vardy ana 1.78m
5. Spurs kane ana 1.88m
6. Arsenal Auba ana 1.87m
Hivyo mkuu ni kane na Auba tu ndio warefu kwa main striker wa timu kubwa Epl ila timu za top 4 watakaoanza Aguero, firminho na werner wote hawajamzidi martial urefu.
Pia ukiangalia watu kama suarez, benzema, lewandoski etc hawana urefu wa kutisha, Age za striker wa kati kuwa mrefu zimeshapitwa na wakati, yupo Ighalo atakuwa impact sub plan ya Kawaida ikishindikana.
Mimi muono wangu timu yetu ni predictable tunatumia upande mmoja tu kushoto, kulia kumepwaya sana, akija mtu kama sancho ama mwengine anaejua kufunga na ku Assist akitokea kulia tutatisha sana.
Martial amefunga Goli 17 msimu uliopita hali ya kuwa amemiss mechi kama 8 kwa majeruhi, ameprove yeye ni 20 Goal striker, kwa Man U ni mwaka mmoja tu ndio striker wetu alifikisha goli zaidi ya 30, Ronaldo wa 2008, ila miaka yote top scorers wetu akiwa Rooney, berbatov, Nistelrooy, yorke etc wanakuwa wanacheza humo humo 20+
Na kama wadau wengine walivyosema hapo juu, tunamiss sana magoli toka sehemu nyengine, Ferdnandez ametusaidia sana ila mabeki wa kati, na viungo wengine wanatuangusha kwenye mchango wa Magoli.
Walimuongezea mkataba mpaka january 2021Hivi ighalo asharudi kwao china?
Ikishindikana tutembee nae tu ila kama wachina wataturuhusu tutoboe naeWalimuongezea mkataba mpaka january 2021
Lakini za penalty ni nyingi kuliko,,so hatupaswi kusubiri penalty mkuu,,tunahitaji no 9,,now,,vinginevyo tukija nunuwa no 9 dirisha Dogo,,tutakuwa tushachelewa km tulivyochelewa kumnunuwa Fernandez..Fernandes kafunga goli nyingi tu EPL ambazo siyo za pelnaty almost 5 goals.
Ni kweli kabisa ila tatizo naona kama vile hao wachezaji wetu hawana sokoMbona sioni tukisafisha nyumba? Chris Smalling, Phil Jones, Andreas Perreira, Marcos Rojo, Jesse Lingard na Juan Mata (huyu anaonekana hayupo ktk mipango ya Ole) hawa wote hapaswi kuwepo tunahitaji kuwa na watu tutakao watumia tu.
Ndy hapo tunapo fail,,timu lazima inakuwa na mbinu zote,,Mpira tunaocheza sasa hivi hautegemei sana cross.
Ndiyo maana hata recruitment ya Solkjaer haiangalii sana tall striker kwajili ya cross na long balls.
Uyo takataka ligi itamshinda mapema.Kabisa yaani atawafunga Chelsea goli nyingi tu.