Mkuu unataka wenzio wa-spend tuu.
Sio waspend pesa bure mkuu,,
kikosi chetu bado hakija kaa sawa , Especially ktk nafasi 5...
Beki wa kati world class
Striker no 9 world class level ya Cavan au IBRA,,namaanisha wachezaji wenye nguvu na wanakufunga kwa vyote,,vichwa hata magoli ya kuunganisha cross..nimeona move nyingi sn man u zinapotea,,zinapigwa cross waunganishaji hakuna,,.
martial anategemea kupenyezewa tu,,na akibanwa hayo magoli hakuna,,pia martial ni mkali sn akitokea kushoto,,,anapaswa awe left wing hapo no 9 awepo striker level ya lewandoski..
Tatizo la kiungo wa kati lishamalizwa kwa kumsajili van de beek,
Bado centre back ni muhimu sana,,beki haina ushirikiano mzr sana ,,haswa no 4 na no 5.
Tununuwe namba no 3 wa uhakika,,, ,,siku luck shaw akiwa majeruhi tunahangaika sn tu..yule William hajakomaa bado kumuamini kama no 3 ,,kama tunataka ubingwa.
Sasa mkuu bila kufanya hivyo tutapataje ubingwa?
Liver poor na man city pamoja na ubora wao wa mwaka Jana bado wanasajili,,man u tumepata top 4 kwa mbinde unataka tusisajili,,,sasa tutakuwaje washindani wa kombe?kama aliyetuzidi tu na bado anaongeza wachezaji?tena wananunuwa world class players na sio average players..
Timu yetu bado ina mapungufu mengi sn,,lakini kwa sasa tutumie waliopo lakini tuongeze japo nafasi hizo tu,,na wachezaji wote mizigo tuuze,,
Mfano Pereira,,lingard,,phili Jones,tuanzebe,,na wengine mizigo,,tuuze tupate pesa tununuwe wachezaji viwango vya united..mbona wapo kibao tu?tena ubwete sn tu..
Hiyo pesa wanayotaka kumnunuwa Sancho ,,mm naona waachane na Sancho,,kwani hata greenwood atosha kwa nafasi ya Sancho,,
Wanapaswa wanunuwe wachezaji wa bei chee,,lakini wakali,,mfano Cavan yupo free kuondoka PSG,, kwangu naona angetusaidia sn pale mbele kutisha mabeki wa timu pinzani..uchezaji wa cavani ni sawa na IBRA,,ni hatari kwa vichwa na hata kushoot on target..
Timu yetu haitishi tena kwenye mashambulizi ya cross au mipira ya kona ,,hebu nambie lini mshambuliaji wa man u kafunga magoli ya kona kama hatumtegemei Harry kufunga?
Timu kama liver poor unafungwa na yeyote pale mbele kwa magoli ya kuunganisha cross..na hata kona.
Unadhani martial anatosha kutupa ubingwa?bado sana mkuu,,nukuu maneno yangu..
Kama sio ujio wa Fernandez man u basi tungemaliza nafasi ya chini sana man u..yeye ndy aliyetubeba na martial yupo namba 9...
Mark my words ,,martial hatoshi kutupa ubingwa man u akiwa kama bado tunamtegemea..kama main striker..
Martial ni mchezaji mzr sn,,na mm napenda sn uchezaji wake,,lakini akitokea pembeni ni hatari zaidi..