Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mapungufu ya Paul ni ya kitabia zaidi ila kwa kiwango chake sioni mbadala wake kwa sasa tukienda sokoni bila kutoa pesa si chini ya $100M. Akiwa 100% fit anaweza kutoa mchango mkubwa sana ktk timu. Kitu cha kufurahisha ukiangalia takwimu zake toka tumemtoa Juventus miaka minne iliyopita ni zile zile wala hajabadilika hasa hasa msimu wa 2018/19 ndio msimu wake bora zaidi kitakwimu as a footballer ktk professional career yake.

Kitu kikubwa kilichomkwamisha Paul kwa kipindi kirefu sana Manchester United ya sasa imejaza wachezaji wengi sana ambao hawastaili kucheza pale. Na ndio maana utaona hata tukicheza na vitimu vidogo mechi inakuwa ngumu sana. Tofauti ya vitimu kama Southamptom au Sevilla au Leiceister ni jina la timu tu ila kiuhalisia wachezaji waliopo kwetu na kwao tunafanana nao tu.

As an individual, hawezi kubeba timu peke yake unahitaji uwe na wachezaji atleast watatu wa daraja lako ili muwe na nguvu ya kufanya maajabu. Juventus alizungukwa na watu wazito wengi alichokuwa akifanya kule ni hiki hiki tu tofauti ni quality ya watu aliocheza nao kule na huku. Juventus alikuwa akicheza na Andrea Pirlo, Paul Dyabala, Carlos Tevez, Arturo Vidal na Giorgio Chiellini hamna mchezaji wa kuunga unga hapa linganisha na aliokuja kucheza nao Manchester United.

Usisahau ubora wa timu ni collective responsibility. Individually kila mtu anaweza kucheza ila ili ufanye vizuri unahitaji watu kadhaa wa daraja la juu. Hakuna timu inayoshinda mataji bila kuwa na angalau wachezaji wa tatu wa kiwango kikubwa mno.
 
fuentte,

Sijajua unatumia kipimo gani kum-judge Paul, msimu uliomalizika 2018/19 alifunga goli 13 ligi kuu na kwa jumla alifunga goli 16 na alitengeneza goli 11 ndiye aliyekuwa mchezaji bora wa timu pamoja na mfungaji bora wa timu kwa ligi kuu na jumla hakuna mchezaji hata mmoja aliyemfikia pale Manchester United.

Na alijumuishwa ktk timu bora ya msimu ya ligi kuu. Msimu uliomalizika juzi amecheza mechi 16 tu na alifanikiwa kuanza match nane tu, almost msimu mzima alikuwa na majeraha. Tumecheza msimu uliomalizika bila mchezaji wetu bora na ni moja ya sababu iliyochangia tu-lag behind.

Binafsi nimeuona mchango mkubwa sana wa Paul mpaka sasa. Kitu pekee kilichomkwamisha alicheza na wachezaji wengi sana wa daraja la chini. Hujiulizi inakuwaje kiungo ndiye anakuwa mfungaji bora wa timu? Maana yake alikuwa akibeba majukumu mara mbili katika timu ya ufungaji na utengenezaji magoli pamoja na uchezeshaji timu.

Just imagine ule msimu uliomalizika 2018/19 Paul angejumuika na Bruno, tungeweza hata kuchallege title.
Asante sana Joh Doe. Binafsi nimekosoa kiwango cha pogba ndani ya united kwa kulinganisha na wakati wake pale juventus ingawa hapa umeisha pangua hoja kwamba hakuzungukwa na class players,lakini haiondoi ukweli kwamba kama unajua unajua tu. Angalia wachezaji wanaosemwa ni wa daraja lake kama kante,kdb,etc timu inakuwa haiko form lakini unaona uwanjani ni kama anacheza peke yake. Tabia hiyo pogba hana.

Kuna kufunga magoli lakini pia kuna kuwa bora miongoni mwa wote. Kwa united ya kipindi hiki kila anayekuja anaonekana bora zaidi ya waliokuwepo. Kuna wakati de gea alikuwa mchezaji bora wa timu karibu misimu 4 mfululizo,lakini alikuwa kwenye kiwango chake kweli. Ndio maana best 007 hamkubali lukaku pamoja na takwimu zake za magoli kisa hana ufundi wa mpira. Kwahiyo hizo takwimu hazitoshi kukosoa kwamba jamaa hajawahi kuwa na ubora aliotoka nao juve.

Work rate ya pogba akiwa juve na united ni tofauti. Kule alikuwa anakaba pamoja na kutengeneza nafasi lakini amekuja united amekuwa fadha kiasi kwamba anaona kukaba sio jukumu lake. Hapa nikiri kuwa mashabiki tumemuharibu naye akajifananisha na messi na ronaldo.
 
Kumlinganisha Aaron Mooy na Paul Pogba, hapa nashindwa hata kutoa neno upo nje ya mstari sana. Kuna kitu kinaitwa class vs form, Ivan Perisic (form) alicheza vizuri sana kuliko Lionel Messi (class) juzi ktk nusu fainali ya Uefa ila hakuondoi fact kwamba Lionel ni 10 times better than Ivan.
Nimetolea mfano mooyi kama midfielder wa timu za daraja la kati huwa wanampa tabu sana pogba. Mara nyingi sana anashindwa kumiliki sehemu ya kiungo kama tegemeo letu. Na sababu kubwa ni hajitumi vya kutosha.
 
Labda ile Akili yake mbovu aliyonayo ibadilike la sivyo atakuwa anajipotezea muda na hatofika anapotamani kufika. Na atakuwa mzigo pia kwa wenzake
Ukiangalia kwa umakini sana, Paulo amekuwa sababu ya udhaifu wetu eneo la kiungo ingawa hili halisemwi waziwazi kwa sababu zinazojulikana. Akiwa majeruhi,kiungo chetu chini ya matic,Fred na mctomminay kilikuwa kama kitu kimoja,na tulikuwa tunapata matokeo mazuri sana.
 
Mapungufu ya Paul ni ya kitabia zaidi ila kwa kiwango chake sioni mbadala wake kwa sasa tukienda sokoni bila kutoa pesa si chini ya $100M. Akiwa 100% fit anaweza kutoa mchango mkubwa sana ktk timu. Kitu cha kufurahisha ukiangalia takwimu zake toka tumemtoa Juventus miaka minne iliyopita ni zile zile wala hajabadilika hasa hasa msimu wa 2018/19 ndio msimu wake bora zaidi kitakwimu as a footballer ktk professional career yake.

Kitu kikubwa kilichomkwamisha Paul kwa kipindi kirefu sana Manchester United ya sasa imejaza wachezaji wengi sana ambao hawastaili kucheza pale. Na ndio maana utaona hata tukicheza na vitimu vidogo mechi inakuwa ngumu sana. Tofauti ya vitimu kama Southamptom au Sevilla au Leiceister ni jina la timu tu ila kiuhalisia wachezaji waliopo kwetu na kwao tunafanana nao tu.

As an individual, hawezi kubeba timu peke yake unahitaji uwe na wachezaji atleast watatu wa daraja lako ili muwe na nguvu ya kufanya maajabu. Juventus alizungukwa na watu wazito wengi alichokuwa akifanya kule ni hiki hiki tu tofauti ni quality ya watu aliocheza nao kule na huku. Juventus alikuwa akicheza na Andrea Pirlo, Paul Dyabala, Carlos Tevez, Arturo Vidal na Giorgio Chiellini hamna mchezaji wa kuunga unga hapa linganisha na aliokuja kucheza nao Manchester United.

Usisahau ubora wa timu ni collective resposibility. Individually kila mtu anaweza kucheza ila ili ufanye vizuri unahitaji watu kadhaa wa daraja la juu. Hakuna timu inayoshinda mataji bila kuwa na angalau wachezaji wa tatu wa kiwango kikubwa mno.
Mkuu mimi bado ninaamini hata msimu huu hatuko nafasi nzuuri sana kugombea taji,bali tunajenga timu. Hivyo tujipe muda maana kushoto bruno kuliko vdb hawa kwa kiasi kikubwa ni world class,tutegemee makubwa toka kwa pogba la sivyo tuwe na sababu ya kukubali man utd sio sehemu sahihi kwake pamoja na kipaji chake.
 
fuentte,

Hii comment yangu kama unaweza i-screenshot uje unitafute mwezi wa tano mwakani.

Utabiri wangu ni huu, kama Paul na Bruno wakacheza mechi zisizopungua 30 za ligi kuu msimu huu ukijumuisha Greenwood, Martial na Rashford kwa pamoja bila majeraha ya muda mrefu. Tuna nafasi kubwa sana ya kubeba ubingwa kwa zaidi ya asilimia 80%. Tuna mapungufu machache sana ya kuwekwa sawa hasa hasa beki wa kati kwa sasa. Golini sina mashaka Dean haondoki msimu huu anagombania namba na David.

Sisi changamoto yetu kubwa kwa sasa wachezaji wetu wengi muhimu huwa wanapata majeraha ya mara kwa mara. Kwa msimu uliomalizika juzi front 3's yetu yaani Anthony, 23 goals, Marcus, 22 goals, na Mason, 17 goals, wamefunga magoli mengi ( 62 goals) zaidi kuliko ya Liverpool (57 goals) yaani Mo Salah, 23 goals, Sadio, 22 goals, na Bob Firmino, 12.

Tofauti yetu sisi na Liverpool, wao huwa hawapati majeraha ya mara kwa mara ya wachezaji wao muhimu simaanishi labda sio bora hapana bali wanapata consistency ya wachezaji wao muda mrefu. Just imagine kama Liverpool Mo Salah na Virgil Van Dijk wakosekane angalau mechi 10 au 20 kila mmoja kama ilivyotokea sisi kwa Paul au Marcus Rashford au Martial.
 
Pamoja sana Mkuu Joh Doe. Binafsi ningependa iwe hivyo maana mbali na kuwa na mitizamo tofauti kuanzia kwa mchezaji mmoja mmoja,kocha na utawala wa juu,lakini wote lengo letu timu ibebe makombe turudi kileleni panapotustahili..

Timu yetu kwenye karatasi na kihistoria ni kubwa mara 2 ya city arsenal na Chelsea ukizijumlisha (hapa watabisha),ila napata shida kuamini ndani ya muda huu mfupi wa maandalizi watapata muunganiko mzuri kushinda mechi nyingi kirahisi. Kumbuka city na Liverpool wanaboresha padogo sana wakati sisi kila shabiki humu anafikiria usajili wa wachezaji kuanzia 4-5 wa kikosi cha kwanza. Hapo ndipo hofu yangu ilipo hadi naitoa united kwenye kulikimbiza taji msimu huu.

Pamoja na yote,UNITED WE STAND.
Asante kwa muda na uvumilivu wako hadi sasa.
 
Yodoki II

Frenkie De Jong namuona bado ana nafasi ya ku-shine baada ya baba yake kupewa timu (Ronald Koeman) ila De Light huyu dogo alikosea kwenda mahala ambapo atagombea namba na wazoefu na wenye uwezo kumzidi hapo pressure inakuwa kubwa zaidi.

Wachezaji wengi hasa hasa wanapokuwa wadogo kuna muda wanakosa guidance nzuri ya timu zipi za kwenda kucheza. Kuna timu ukienda ni ngumu kupewa nafasi moja kwa moja sasa ukimuweka mchezaji mdogo kushindana na wazoefu ni rahisi sana kuonekana yeye ni flop hususani timu zenye ushindani wa namba. (Mf. mzuri ni Renato Júnior Luz Sanches alitoka Benfica akaenda kichwa kichwa Bayern sasa hivi yupo Ufaransa huko ila pale alionekana flop, competition was too stiff for him there.)

De Light, pale Juventus anagombania namba na Leonardo Bonucci pamoja na Giorgio Chiellini shughuli ya hawa wazee sio ya kitoto pia yupo na Daniele Rugani. Bahati pekee ya De Light ni majeraha ya mara kwa mara yanayompata Leo Bonucci.
Kila mara nasema, nje ya UK kuna wachezaji wengi tu wazuri na wana vipaji asilia na bei zao ni rafiki kwa soko.

Bruno na huyu dogo tumewaleta kwa bei nzuri tu. Na mishahara yao ipo chini kuleta wage balance.

Nadhani Ole angeanza na wachezaji wa aina hii.

Tusihangaike na waingereza wa bei ya juu.
 
Kweli kabisa na hata tm bora zaidi duniani ni zile ambazo hazina waingereza wengi.
 
Kwa usajili wa Van De Beek, naona tutakuwa tumeokoa Euro MIL40 kwa ajili ya eti yule Muingereza Grealish aliyepewa thamani ya Euro mil 80.
Maana naona jirani wenzetu pale London wameshapigwa mjini kwa Chillwell 50MIL 😀 😀 .
 
The Don is red
skysports___CEpBJN6Iv1h___.jpeg
 
Back
Top Bottom