Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bavaria,

Ujue bado ubovu sio benchi la ufundi bali ni wale watu wa juu wafanya maamuzi ndio wacheleweshaji wa mambo. Hata huyu Donny Van De Beek mtu anaweza kujiuliza mbona tumepeleka offer moja tu fasta ikakubali ukweli ni kwamba Edwin Van Der Sar kapokea offer yetu bila ku-negotiate na kama angeamua ku-negotiate basi Ronald Koeman alishaanza kuomba pesa ktk bodi ya Barcelona amnunue.

Mapungufu yapo lakini ukweli utabaki Ole ndani ya msimu wake wa kwanza kamili kama kocha mkuu kamaliza nafasi ya tatu. Bado naona kama akipewa mahitaji yake anaweza kufanya kitu. Ed yupo slow ku-match na bench la ufundi muda mwingi analeta wachezaji nje ya wakati sahihi.

Kwa mfano kwa sasa tunahitaji sana beki wa kati na mshambuliaji mmoja mbele. Siwezi kuhamaki kama tukisajili haya maeneo mpaka pressure za mashabiki zianze. In fact, Ed sio mtu sahihi kuendesha timu ya soka anapaswa akafanye kazi kama chief financial officer (CFO) ktk investment banks maeneo ya London huko.
Hii timu haitokaa kama tunavyotaka iwe hadi siku ED Woodward atapoondoka
 
VDB ni mchezaji mzuri sana wasi wasi wangu ni wapi atatumika kwa kiwango chake siyo level ya back up player

Good in attacking, good marking and good defending what a boy !!!!!
Naamini hakuna mchezaji Wa kumuweka benchi pale Man U hivyo anakwenda kuingia moja kwa moja kwenye first 11,mfumo Wa 4-3-3 ungependeza sana hasa kama tungekuwa tuna 9 na 7 mzuri
 
Man Utd third kit
IMG_3903.JPG
 
Manchester United will submit a bid of £26.7 million for Thiago tonight. The bid is expected to be accepted and now the decision is down to the player and for personal terms to be agreed. Let’s see what happens... #MUFC #FCBayern #Thiago
 
Huyu Thiago wa nini ?
 
Thiago na Hazard ni wachezaji waliringa kuja kucheza United enzi hizo. Nawachukia sana hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom