PTER,
Sijui unaona nini special kwa Victor Lindelof, ila ukweli ni kwamba sio mchezaji wa kikosi cha kwanza kwa timu kubwa kama Manchester United kwa kifupi hafai. Ana uwezo mdogo sana generally plus ni too soft sio aggressive as a central defender.
Kitu pekee kinachofanya acheze ni kwa sababu timu yetu hatuna beki mwingine wa kati nje yake yeye na Harry ambao hawapati majeraha ya mara kwa mara. Kama Eric Bailly asingekuwa anapata majeraha ya mara kwa mara Victor hawezi kucheza kikosi cha kwanza.
Eric, ni beki mzuri sana kama angekuwa hapati majeraha muda huu angekuwa yeye ndio tegemeo. Ana sifa nyingi sana za beki wa kati anazopaswa kuwa nazo. Yupo very aggressive and stronger pia ni mtu mwenye uwezo wa kusoma mchezo hata mechi zenye pressure anaweza kucheza bila shida. Tatizo lake muda mwingi hana match fitness plus ukiwa unapata majeraha ya mara kwa mara confidence inapungua pia unaanza kuwa kilaza hupati muda wa ku-grow zaidi badala yake unaanza kuwa mbovu zaidi.
Ukitaka kufanya follow up vizuri kuhusu Eric, itafute ile mechi ya EPL tuliwafunga Chelsea goli 2 bila ilichezeka Stamford Bridge, feb 17, 2020. Utaona kuna kitu anacho ila shida ni majeraha ya mara kwa mara hayampi nafasi ya kukua zaidi kama mchezaji mwisho anajikuta ana-grow backward technically as a footballer.