Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aliyeuziwa cheni bandia nayeye kalipa pesa bandia.

Ngoma droo.
20200902_083100.jpg
 
Mchezaji yeyote hukosea uwanjani,,,na haimaanishi akikosea yeye nibovu,,,
Lakini kuna ubovu wa siku zote ambao ni lindleof,,,ni mzembe wa kila siku ktk marking na kukaba,,
Sikatai kwamba halikuwa kosa la harry,,lakini bado ni beki bora kabisa..
Unaposema namba O4 afute makosa ya namba 05 wakati huyo namba tano ni last man nakushangaa.

Atayafutaje wakati yeye siyo last man ? Mathalan kosa na game ya Arsenal Maguire alikimbia intentionally with wrong timing tukafungwa, last defender unakimbia mpira?

Same na goli la Sevilla alikuwa anaenda kukaba free space wakati box letu halikuwa na mtu beki bora anaweza kufanya kosa kama lile ????

Ulimwangalia Marcelo wa Olympic Lyon alivyokuwa anacheza kama last defender ??.

Tusimvishe Lindelof makosa binafsi ya Maguire.
 
Suala kuuzwa Pogba hata mimi silikubali. Ujio wa Alcantara tu offload Matic muda wake ukiisha. Tubadilishe role ya Debeek acheze kutokea pembeni kulia

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Ndy lengo la ole kumchezesha van de beek nyuma ya Sancho,,au greenwood timu ikishambulia van anaingia ndani kama striker..
Ole anataka magoli zaidi,, na kumiliki mpira zaidi
IMG_20200831_231212_072.jpeg
 
Unaposema namba O4 afute makosa ya namba 05 wakati huyo namba tano ni last man nakushangaa.

Atayafutaje wakati yeye siyo last man ? Mathalan kosa na game ya Arsenal Maguire alikimbia intentionally with wrong timing tukafungwa, last defender unakimbia mpira?

Same na goli la Sevilla alikuwa anaenda kukaba free space wakati box letu halikuwa na mtu beki bora anaweza kufanya kosa kama lile ????

Ulimwangalia Marcelo wa Olympic Lyon alivyokuwa anacheza kama last defender ??.

Tusimvishe Lindelof makosa binafsi ya Maguire.
Mkuu unajuwa maana ya beki pacha?maana yake ni kucheza kwa pamoja na kwa ushirikiano,,,sasa huo ushirikiano wa harry na lindleof hauendani,,yaani hawana matching nzr,,,sababu hata namba 5 huwa anapanda sometimes,,sio kama anabaki nyuma siku zote,,
na ukitazama man u ,,harry ndy muanzishaji wa mashambulizi,,Mara nyingi anakuwa anapanda,,na kama namba 4 hajuwi majukumu yake basi timu itafungwa,,,mm nimeshaona Mara nyingi hata lucka shaw huwa anaingia ndani kufuta makosa ya beki 4 na 5 wakati harry amepanda na tumeshambuliwa kwa haraka,,,
Siku zote kama 5 akipanda lazima 4 abaki,,,maana siku zote namba 5 ndy anabaki mwisho,,sasa iweje makosa ya 4 na 5 aje asawazishe namba 3?maana yake huyu aliyeachiwa jukumu la kulinda nae katoka au kazembea....nakumbuka kuna mechi fulani tulichezesha beily ,,magwea na lindeliof kwa pamoja ,,game ile beily alifuta makosa mengi sn ya lindleof na man u tulishinda,,,bila beily kuwepo tungefungwa nyingi tu..
Nakumbuka tuliweka banch rashford halafu wilian akawa anacheza ubavu wa kushoto na winga,,nadhani ilikuwa mechi ya Chelsea na man u kama sijakosea,,,,BISAKA akaweka cross matata martial akafunga bao la pili kwa kichwa dk za lala salama....
OLE alishaona tatizo la back line yake ina mapungufu gn?
Ndy maana top target yake ni no 9.no 7,center back partner wa harry,,na kiungo mfungaji inje ya box au popote utafungwa...na namba 3
Screenshot_2020-09-01-21-52-00.jpeg
 
View attachment 1556133
Katika makosa ambayo niliyaorodhesha kama reference ya individual errors za Maguire, Lindelof alikuwa kwenye position yake kama kawaida ila Maguire either alifanya wrong timing, reckless marking, or faulty positioning.

Hii ni amateur defending.
 
Sawa mkuu
 
fuentte,

Naamini labda ulikuwa umetoka usingizini uliposema tumuuze Paul Pogba endapo akija Thiago. Hapa umeteleza tena sio kidogo Jombaa, sizungumzi labda kwa mahaba pale Uingereza ni viungo wawili tu, Kevin De Bruyne na Bruno Fernandes pekee wana uwezo wa kumkaribia Paul akiamua kucheza mpira seriously.

Usifanye mzaha na Paul, yupo very talented almost 10 times ya huyo Thiago regardless ya majukumu wafanyayo uwanjani. Kitu pekee ambacho watu wengi hatukipendi kutoka kwa Paul ana behavioral inconsistency, ni mtu mwenye ushawishi hasi kwa wenzie ktk vyumba vya kubadilishia nguo hasa hasa akiwa kachukizwa labda na benchi la ufundi au mashabiki au yule wakala wake mwenye tamaa, Mino Raiola.

Kumuuza Paul na kumleta Thiago ni sawa na PSG wamuuze Kylian Mbappe halafu wamlete Jamie Vardy. Tunahitaji tuwe na world class wengi na sio kupunguza, Paul auzwe pindi akianza tabia zake za hovyo ila sio kwa sababu ya kiwango.
 
Tutawalaumu sana mabeki individually, lakini kuna tatizo katika defending system pia, kuanzia kwa kipa. mipira ya kona na cross ikipigwa gorini kwetu huwa tunakuwa vulnerable vibaya sana. wachezaji wetu wote mpaka waliorudi kusaidia huwa wanakuwa kama wamepigiliwa misumari wasiruke,
 
Hilo kweli kabisa Mkuu,, defending yetu kwenye cross,,au kona mara nyibgi ni goal,,,na mabeki huwa wawaruki vichwa. ,especially degea huwa hachezi mipira ya cross kabisa. ,,anasubiri golini,,
Ila huyu kipa tuliyemrudisha kwenye kikosi kutoka alipokuwa kwa mkopo ndy atamuweka bench degea,,,na yote yanaletwa na mahaba ya ole kwa degea,,,,
Anampenda degea hata kama akifungisha,,lakini next game hakosi golini ,na kuzidi kumchanganya romeo kiakili,,,
Magoli mengi tuliyofungwa ni uzembe wa degea kwa 40%
ingekuwa kocha kama morinho huyo degea siku nyingi anasuguwa bench,,,
 
fuentte,

Naamini labda ulikuwa umetoka usingizini uliposema tumuuze Paul Pogba endapo akija Thiago. Hapa umeteleza tena sio kidogo Jombaa, sizungumzi labda kwa mahaba pale Uingereza ni viungo wawili tu, Kevin De Bruyne na Bruno Fernandes pekee wana uwezo wa kumkaribia Paul akiamua kucheza mpira seriously.

Usifanye mzaha na Paul, yupo very talented almost 10 times ya huyo Thiago regardless ya majukumu wafanyayo uwanjani. Kitu pekee ambacho watu wengi hatukipendi kutoka kwa Paul ana behavioral inconsistency, ni mtu mwenye ushawishi hasi kwa wenzie ktk vyumba vya kubadilishia nguo hasa hasa akiwa kachukizwa labda na benchi la ufundi au mashabiki au yule wakala wake mwenye tamaa, Mino Raiola.

Kumuuza Paul na kumleta Thiago ni sawa na PSG wamuuze Kylian Mbappe halafu wamlete Jamie Vardy. Tunahitaji tuwe na world class wengi na sio kupunguza, Paul auzwe pindi akianza tabia zake za hovyo ila sio kwa sababu ya kiwango.
Ume hit point

Mkuu Joh Doe,nakuhakikishia hakuna shabiki yeyote wa mpira atabisha kuwa Pogba sio world class na anaujua mpira kuliko middle nyingi pale kwa malkia. Lakini kwa maoni yangu,hajawahi kuwa bora ndani ya united. Jamaa anajua kila kitu KAMA AKIAMUA. Lakini tunaenda msimu wa 4 huu na pogba hajawahi kuamua kucheza serious ndani ya united yetu.

Tumeshuhudia kiwango chake kikubwa akiwa na juve lakini ndani ya united ni either hajaamua kucheza serious au kocha hajui kumtumia vizuri. Nakumbuka mourinho alijaribu kupangua mifumo na mbinu mbalimbali kumfanya Paul ang'are lakini anaonekana mechi moja ndogo na inayofuata anafunikwa vizuri sana na Aaron Mooyi.

Ukiniambia mimi leo hii kati ya Paulo na Herrera, namchukua Herrera bila ya kuwaza mara mbili. Kipaji bila kujituma ni sawa na hakuna. Unakumbuka ya Quaresma yule mreno mvivu akaishia galatasaray uko?
 
fuentte,

Sijajua unatumia kipimo gani kum-judge Paul, msimu uliomalizika 2018/19 alifunga goli 13 ligi kuu na kwa jumla alifunga goli 16 na alitengeneza goli 11 ndiye aliyekuwa mchezaji bora wa timu pamoja na mfungaji bora wa timu kwa ligi kuu na jumla hakuna mchezaji hata mmoja aliyemfikia pale Manchester United.

Na alijumuishwa ktk timu bora ya msimu ya ligi kuu. Msimu uliomalizika juzi amecheza mechi 16 tu na alifanikiwa kuanza match nane tu, almost msimu mzima alikuwa na majeraha. Tumecheza msimu uliomalizika bila mchezaji wetu bora na ni moja ya sababu iliyochangia tu-lag behind.

Binafsi nimeuona mchango mkubwa sana wa Paul mpaka sasa. Kitu pekee kilichomkwamisha alicheza na wachezaji wengi sana wa daraja la chini. Hujiulizi inakuwaje kiungo ndiye anakuwa mfungaji bora wa timu? Maana yake alikuwa akibeba majukumu mara mbili katika timu ya ufungaji na utengenezaji magoli pamoja na uchezeshaji timu.

Just imagine ule msimu uliomalizika 2018/19 Paul angejumuika na Bruno, tungeweza hata kuchallege title.
 
Labda ile Akili yake mbovu aliyonayo ibadilike la sivyo atakuwa anajipotezea muda na hatofika anapotamani kufika. Na atakuwa mzigo pia kwa wenzake
 
Kumlinganisha Aaron Mooy na Paul Pogba, hapa nashindwa hata kutoa neno upo nje ya mstari sana. Kuna kitu kinaitwa class vs form, Ivan Perisic (form) alicheza vizuri sana kuliko Lionel Messi (class) juzi ktk nusu fainali ya Uefa ila hakuondoi fact kwamba Lionel ni 10 times better than Ivan.
 
Back
Top Bottom