mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,363
- 21,441
Mkuu harry ni bonge la beki..tatizo kazungukwa na watu ambao sio sahihi.. Lazima kupatikane back 4 mfia timu kama level ya vidic..The best 007,
Binafsi namuona Harry ni kama bonge la beki wa kati ambaye tumempata toka aondoke Nemanja Vidic na Rio Ferdinand kwa miaka hii ya karibuni na hata kwa timu yao ya taifa ya Uingereza yeye ndiye beki wa maana wa kati waliye naye.
Mapungufu pekee ya Harry hachezi ku-dorminate kama kiongozi uwanjani angalia jinsi mtu kama Nemanja au Rio au John Terry utaona walikuwa wanacheza with authority yaani ukiwa unacheza nao uwanjani unaogopa kufanya kosa la kijinga jinga. Harry ana-drive timu vizuri toka nyuma ila hachezi kama kiongozi labla kwa sababu alikuwa bado mgeni, maana kapewa uongozi msimu wake wa kwanza. Kama atabadilika ataanza kuwa mkali na kuwapanga wenzie uwanjani basi hofu yangu itapungua.
Kuna muda unapaswa kumuita hata mchezaji wako unamuonya aache upuuzi pale anapoigharimu timu huwa watu wanacheza kwa hofu wakijua kuna mtu humo ndani anawaangalia.
Man u wakati yupo Ferdinand 5 na vidic 4 beki ilitulia,,
Pacha ya harry na lindleof haijatulia,,
Lindleof bado haeleweki,,,ngoja asajiliwe no 4 mfia timu ,,,acheze pacha na harry..utaona uzuri wa harry...
