Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Kwahiyo Martial na Rashford chini ya Klop nao pia watakuwa balaaa,si ndio mkuu?Na magoli ya ubelgiji? Alivyokuwa everton?
Leo mnataka natural number 9. Yupi zaidi ya Lukaku?
Kwamba Rashford au Martial ni bora kuliko Lukaku?
Tatizo la United ni kocha, sio wachezaji.
Klopp angekuwa na wachezaji kama hawa tungeongea mengine.
