Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu mie nadhani hili tatizo la uvivu linasababishwa na meneja wao,haiwezekani kila kitu kinaonekana kocha yeye kakunja nne kabisa wakati mambo hayaendi.
Kwa asilimia kubwa huwa tunafungwa sababu ya work rate ndogo ya wachezaji wengi wa united.
Lesz faire manager. Team nzima yamekuwa kama masela tu.

Mwalimu anayaita "the boys" na menyewe yanaitana "the boys".

Pure ROOMMATES mentality.
 
Suala lilikuwa unamuuza Lukaku, kibonge anayekosa magoli ya wazi lakini ana uhakika wa kukupa goli 18 kwa msimu unamreplace na Foward gani?

Kumfananisha Lukaku na Rashford duuh am speechless.
Kwani ww unavyodhani huyo lukaku ana goli ngapi za ligi? Ana goli 23 tu Rashford ambaye mm cmwoni km natural forward kapiga goli 17 na mda mrefu alikuwa na injury, hata Martial pia ana goli hizo hizo 17 so usitake kumwongelea lukaku as if unamwongelea cr7 au Messi au lewandoski bali ni average player tu ambaye ukimweka sokoni yeye na Martial au Rashford zen uangalie thamani sokoni utagunduaa jamaa ana kiwango gn.
 
Nakumnunua Mil 75 tulipigwa kama kawaida yetu.

Msimu huu tujiandae kupigwa tena kwa average players wakingereza.

Taarifa sokoni za man United zimezima ghafla huenda tumeahirisha kusajili tena.

Hivi Woodward anatuchukuliaje ????
 
Man u inatuangusha sn mashabiki tunaisapoti sn lkn viongozi wanafocus sn pesa, mda c mrefu tunaenda kupoteza sifa za kukaa pale juu miongoni mwa tm 3 kubwa zaidi duniani.
 
Ndiyo maana Jose Mourinho aliwaambia bodi wanawadharau watu waaminifu wanaoishabikia Man United.

Maana Man united ndiyo timu pekee yenye loyal and host supporters.
 
J
Nakumnunua Mil 75 tulipigwa kama kawaida yetu.

Msimu huu tujiandae kupigwa tena kwa average players wakingereza.

Taarifa sokoni za man United zimezima ghafla huenda tumeahirisha kusajili tena.

Hivi Woodward anatuchukuliaje ????
Jamaa watuwakilishe tena kwa kuchoma nyumbani kabisa. Lakini ole naye haongei yule mzushi.
 
Hili la Ole kwa Woodward tulishalisema ni mr yes man hivyo mengine nikumwonea tu.

Woodward kwenye usajili alishashindwa hivyo hata kulilia usajili Man united fans nikujiongezea stress tu.
 
Kwani ww unavyodhani huyo lukaku ana goli ngapi za ligi? Ana goli 23 tu Rashford ambaye mm cmwoni km natural forward kapiga goli 17 na mda mrefu alikuwa na injury, hata Martial pia ana goli hizo hizo 17 so usitake kumwongelea lukaku as if unamwongelea cr7 au Messi au lewandoski bali ni average player tu ambaye ukimweka sokoni yeye na Martial au Rashford zen uangalie thamani sokoni utagunduaa jamaa ana kiwango gn.
Katika hayo magoli Rashford ana penati ngapi na Lukaku ana ngapi?
 
Kwani ww unavyodhani huyo lukaku ana goli ngapi za ligi? Ana goli 23 tu Rashford ambaye mm cmwoni km natural forward kapiga goli 17 na mda mrefu alikuwa na injury, hata Martial pia ana goli hizo hizo 17 so usitake kumwongelea lukaku as if unamwongelea cr7 au Messi au lewandoski bali ni average player tu ambaye ukimweka sokoni yeye na Martial au Rashford zen uangalie thamani sokoni utagunduaa jamaa ana kiwango gn.
Kweli ndio maana mkafungwa na Sevilla kama na wewe shabiki unaamini Rashford au Martial wapo level za Lukaku.
Endeleeni kudanganyana na wachezaji wa sampuli hii muone kama kuna kombe la maana mtabeba.
 
Wacha maneno ya kwenye kahawa nenda angalia statistics anaeongoza magoli europa league ni nani af angalia huyo unayemsema ww ni bora ana goli ngp zen ujiulize anatofauti gn na anayemfatia.
 
Nyie mnaopiga kelele za lukaku huwa nawashangaa sana, lukaku hakuanzia man u km tm kubwa kwake bali alianzia Chelsea na akafeli akaenda tm ndogo km ckosei Everton akaanza kushine kdg japo hakuwahi kuwa mfungaji bora wa ligi yyte kubwa lkn tukamchukua, na baada ya kumchukua akaanza kunenepeana huku akikosa magoli ya wazi kabisa pengine kuliko hata anayokosa chizi mwengine trashford au yule mzembe wa kifaransa Martial, leo ameenda inter ameshine kwa namna yake mnaanza kupiga kelele kwamba tulikosea kumuuza mnasahau kwmb presha iliyopo inter huwez kuifananisha na presha iliyopo utd, alikuwepo pale utd na wengi wenu mlikuwa mnalaumu kwamba ana kilo 100 kuweni serious hata kdg basi.
Sisi timu ilikuwa inapack Basi chini ya nduli morinyo ulitaka afungaje.. Kuna mechi alikuwa anachezeshwa Hadi winga ulitaka afungaje
 
Back
Top Bottom