Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wkt mwngne huwa naona maneno ya mzee Wenger yanaishi kichwani mwangu kuhusu kusajili wachezaji wenye majina kwa pesa nyingi wkt sokoni kuna wachezaji wengi tu wasio na majina lkn uwezo ule ule, mfano tazama Leipzig ina wachezaji wengi wasiojulikana lkn kimpira unakuta wanaupiga mwingi kuliko tm nyingi zenye wachezaji wenye majina tatizo hapo ni kuwa na scouting yenye jicho la mwewe.
Mkuu usipuuzie presha kwa makocha na wachezaji wa hizi team kubwa kutoka kwa fans, Sponsors na Management.. Pochet akienda United utamwona bwege lakini ni kocha wa viwango. Pia Subiria kitakachomkuta Koeman
 
Kwn keshapewa barca huyo koeman
 
Hao huwa hawatambi wakiwa utd cz jina la tm linawazd kimo na mtu asiniambie kuhusu mfumo mana km unajua unajua tu itabaki tu kusema kocha kazingua kwenye mfumo but cc mashabiki hatutakugusa cz unajua, nikija kwenye suala la lukaku cwezi na sitokuja kujuta kumpiga chini cz ni average player ameenda kwenye ligi ya saizi yake so ni lazima aonekane mtu lkn ni mimavi tu.
Martial size yake ni United?
 
Wkt mwngne huwa naona maneno ya mzee Wenger yanaishi kichwani mwangu kuhusu kusajili wachezaji wenye majina kwa pesa nyingi wkt sokoni kuna wachezaji wengi tu wasio na majina lkn uwezo ule ule, mfano tazama Leipzig ina wachezaji wengi wasiojulikana lkn kimpira unakuta wanaupiga mwingi kuliko tm nyingi zenye wachezaji wenye majina tatizo hapo ni kuwa na scouting yenye jicho la mwewe.
Ubora wa scouting ndo unaingia.

United ndo timu yenye network kubwa ya scouting. Ila kupata natural no 7 imeshindikana mpaka wakajazane kwa Sancho wa £108M??
 
Hao huwa hawatambi wakiwa utd cz jina la tm linawazd kimo na mtu asiniambie kuhusu mfumo mana km unajua unajua tu itabaki tu kusema kocha kazingua kwenye mfumo but cc mashabiki hatutakugusa cz unajua, nikija kwenye suala la lukaku cwezi na sitokuja kujuta kumpiga chini cz ni average player ameenda kwenye ligi ya saizi yake so ni lazima aonekane mtu lkn ni mimavi tu.
Romelu Lukaku enters top 20

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Wanakwambia Lukaku mzito. Ila magoli anafunga tena ana miaka 26 tu.

Leo hii wanamtaka Dzeko mwenye miaka 30.
Lukaku hatufai ndugu. Alivyofika man utd aliona ni sehemu pa kustarehe, wakati kiwango chake ni cha kufanyia kazi kwa bidii, siyo mchezaji wa kipaji yule. Alikuwa ana kampani na pogba, lakini mwenzie ni kipaji. Yeye akaishia kunenepeana na kutokuwa na jipya. Huko italy anajitahidi kufanyia kazi kiwango chake ambapo akiwa man utd hakuwa anafanya hivyo, yeye mwenyewe lukaku analijua. Na asipo work hard hapo italy, atatupiwa virago mapema sana, tena kule ubaguzi ndiyo usiseme.
 
Una kichaa wewe ...

Yani top scorer wa team atupiwe virago , kwa taarifa yako kabakiza goli moja avunje record ya Ronaldo De Lima
IMG_20200818_130648.jpeg
 
Nilisema Man united kumkosa Halland ilikuwa kosa kubwa sana yule ni pure striker tunayemhitaji pale united na anayeweza kutupa mafanikio kwa miaka 10 ijayo leo hii ukiwafuata Dortmund wakuuzie Halland lazima utoboke 100M.

Sokoni kuna wachezaji wachache sana wenye vipaji vikubwa siku hizi na kumpata unahitaji pesa kubwa sana kupoteza opportunity ya kumsajili yule dogo kisha tukaenda China kuchukua Septuagenarian lilikuwa tusi kubwa sana kwa united.

EPL striker pekee ambaye ni level ya united ni Harry Kane tu walau na Raul Jimenezi kama back up striker wengine wote siyo level ya united.

Ukija wing ya kulia kuna wachezaji mmoja tu anayeweza kuwa daraja la united naye ni Moh Salah pengine labda na Bernado Silva.

Hapo ndiyo unaweza kujua how far hatujafikia hatua ya kuota mafanikio.

Msimu ambao tutaanza kuona makombe ni 2021/ 2022 hapa ndiyo chemistry ya timu na huenda wachezaji anaowataka watakuwa wamekamilika.
EPL nzima striker wa level ya United ni Kane pekee? Hatari mzee.

Kwahiyo katika mbio za kiatu cha ufungaji bora Kane ni wa ngapi? Majina ya wanaojirudia kugombea hicho kiatu na yenyewe hauyajui au?

Kwamba hata Aguero pia ni andazi siyo level ya Man United?

Mrudisheni Ibrahimovic au Lukaku.
 
Anasajilika United? Je Aguero anaweza shine akija United?
 
EPL nzima striker wa level ya United ni Kane pekee? Hatari mzee.

Kwahiyo katika mbio za kiatu cha ufungaji bora Kane ni wa ngapi? Majina ya wanaojirudia kugombea hicho kiatu na yenyewe hauyajui au?

Kwamba hata Aguero pia ni andazi siyo level ya Man United?

Mrudisheni Ibrahimovic au Lukaku.
Mwingereza
 
Wanakwambia Lukaku mzito. Ila magoli anafunga tena ana miaka 26 tu.

Leo hii wanamtaka Dzeko mwenye miaka 30.
Una kichaa wewe ...

Yani top scorer wa team atupiwe virago , kwa taarifa yako kabakiza goli moja avunje record ya Ronaldo De LimaView attachment 1541015
Nyie mnaopiga kelele za lukaku huwa nawashangaa sana, lukaku hakuanzia man u km tm kubwa kwake bali alianzia Chelsea na akafeli akaenda tm ndogo km ckosei Everton akaanza kushine kdg japo hakuwahi kuwa mfungaji bora wa ligi yyte kubwa lkn tukamchukua, na baada ya kumchukua akaanza kunenepeana huku akikosa magoli ya wazi kabisa pengine kuliko hata anayokosa chizi mwengine trashford au yule mzembe wa kifaransa Martial, leo ameenda inter ameshine kwa namna yake mnaanza kupiga kelele kwamba tulikosea kumuuza mnasahau kwmb presha iliyopo inter huwez kuifananisha na presha iliyopo utd, alikuwepo pale utd na wengi wenu mlikuwa mnalaumu kwamba ana kilo 100 kuweni serious hata kdg basi.
 
Nyie mnaopiga kelele za lukaku huwa nawashangaa sana, lukaku hakuanzia man u km tm kubwa kwake bali alianzia Chelsea na akafeli akaenda tm ndogo km ckosei Everton akaanza kushine kdg japo hakuwahi kuwa mfungaji bora wa ligi yyte kubwa lkn tukamchukua, na baada ya kumchukua akaanza kunenepeana huku akikosa magoli ya wazi kabisa pengine kuliko hata anayokosa chizi mwengine trashford au yule mzembe wa kifaransa Martial, leo ameenda inter ameshine kwa namna yake mnaanza kupiga kelele kwamba tulikosea kumuuza lkn alikuwepo pale na wengi wenu mlikuwa mnalaumu kwamba ana kilo 100 kuweni serious hata kdg basi.
Media za Uingereza ni threat kwa wachezaji na coaches ambao hawako emotionally stable.
 
Km unajua unajua tu bro mbn wengi tu wanashine pale England na wanafuatiliwa kinoma na media za pale? Mchezaji bora cku zote hatishwi na presha kutoka popote pale, ukiona mchezaji anacheza hovyo eti kisa presha from third party basi juwa kuwa huyo ni average player.
 
Nyie mnaopiga kelele za lukaku huwa nawashangaa sana, lukaku hakuanzia man u km tm kubwa kwake bali alianzia Chelsea na akafeli akaenda tm ndogo km ckosei Everton akaanza kushine kdg japo hakuwahi kuwa mfungaji bora wa ligi yyte kubwa lkn tukamchukua, na baada ya kumchukua akaanza kunenepeana huku akikosa magoli ya wazi kabisa pengine kuliko hata anayokosa chizi mwengine trashford au yule mzembe wa kifaransa Martial, leo ameenda inter ameshine kwa namna yake mnaanza kupiga kelele kwamba tulikosea kumuuza mnasahau kwmb presha iliyopo inter huwez kuifananisha na presha iliyopo utd, alikuwepo pale utd na wengi wenu mlikuwa mnalaumu kwamba ana kilo 100 kuweni serious hata kdg basi.

Suala lilikuwa unamuuza Lukaku, kibonge anayekosa magoli ya wazi lakini ana uhakika wa kukupa goli 18 kwa msimu unamreplace na Foward gani?

Kumfananisha Lukaku na Rashford duuh am speechless.
 
Km unajua unajua tu bro mbn wengi tu wanashine pale England na wanafuatiliwa kinoma na media za pale? Mchezaji bora cku zote hatishwi na presha kutoka popote pale, ukiona mchezaji anacheza hovyo eti kisa presha from third party basi juwa kuwa huyo ni average player.
Kwahiyo unaachana na Lukaku kisha unajitamba kwamba hauhitaji striker (na humu watu waliunga mkono) kisha baada ya kugundua unahitaji striker unakuja kumsajili Ighalo?

Hata Martinell wa Arsenal yangu ana potential na kujua goli kuliko Ighalo.
 
Tulimkosa hata Ivan Perisic kivivu, ona kazi yake Bayern. Tupate pia wachezaji physique asee, wachezaji wetu wote wapo soft sana.
Mkuu mie nadhani hili tatizo la uvivu linasababishwa na meneja wao,haiwezekani kila kitu kinaonekana kocha yeye kakunja nne kabisa wakati mambo hayaendi.
Kwa asilimia kubwa huwa tunafungwa sababu ya work rate ndogo ya wachezaji wengi wa united.
 
Back
Top Bottom