Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Mpaka akalia kama mtoto mdogoKlop alifungwa fainali na Sevilla msiwe wasahaulifu Sana.




Mpaka akalia kama mtoto mdogoKlop alifungwa fainali na Sevilla msiwe wasahaulifu Sana.




See how naive you are right now.Sipo kwa Chico mm, nipo kwa nisterlooy vs lukaku.
U have decided to deviate from the point of discussion, listen bro I am talking about Ruud van Nisterlooy and not Javier Hernandez and this is because u disrespected him by categorising him as an average player that's all.See how childish you are. I expected facts from you.
Hata Chico alikuwa anafunga na kisogo, tumbo. Magoli ya Zlatan vipi?
Style of scoring or delivering doesn't matter, but we need goals.
Nyie ndo mnachagua mtu kwa kuangalia mvuto wake na sio takwimu.
Unapoanza kuongelea suala la colour ya mchezaji hoja yako inakosa mashiko.Takwimu hizo hapo.
Katika Club Level;
Nesterlooy amecheza mechi 449 ana goli 249. Ratio ya goli 0.55 kwa mechi.
Lukaku amecheza mechi 361 ana goli 169. Ratio ya goli 0.46 kwa mechi.
Chicharito ana mechi 311 na goli 116. Ratio ya goli 0.37 kwa mechi.
Nesterlooy ana mechi 87 zaidi ya Lukaku na pia ana magoli 80 zaidi. Lukaku ana miaka 27.
Chicharito ana mechi 50 pungufu ya Lukaku na magoli 53 pungufu. Chicharito ana miaka 32 na sahivi yupo L.A Galaxy anakaribia kustaafu.
Katika National Level;
Lukaku amecheza mechi 84 na goli 52. Ratio ya goli 0.619 kwa mechi.
Van Nesterlooy amecheza mechi 70 na goli 35. Ratio ya goli 0.5 kwa mechi.
Chicharito amecheza mechi 102 na goli 52. Ratio ya goli 0.509 kwa mechi.
Wote wakiwa Man Utd;
Nesterlooy: mwaka 2001 - 2006 ana mechi 150 goli 95. Ratio ya goli 0.633 kwa mechi.
Lukaku: mwaka 2017 - 2019 ana mechi 66 goli 28. Ratio ya goli 0.424 kwa mechi.
Chicharito: mwaka 2010 - 2015 ana mechi 103 goli 37. Ratio ya goli 0.359 kwa mechi.
Nani yupo clinical hapo? Au kwasababu Lukaku ni mweusi mwenzetu.
Ok just show me statistics to show that Lukaku is better than Ruud van Nisterlooy.See how naive you are right now.
Ulimuunga mkono mwenzako kule mwanzo kuhusu Javier. Sahivi umehama.
Haya twende sasa na facts za Nesterlooy na Lukaku.
Usilete story za delivering, sijui magoli ya ajabu. Maana hizo hazina maana kwa sasa.
Hili nalo unasimama mbele ya wanaume unaliia kombeukivuta bang* uwe unalamba na asali utakuja kunishkuru











Leo hii Pele(mweusi) ndio mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea mbn dunia nzima inakubali bila tatizo? Huyo jamaa analeta execuses za kitoto sn.Unapoanza kuongelea suala la colour ya mchezaji hoja yako inakosa mashiko.
Kuna mtu kasema Lukaku hafai kuchezea united kwa sababu ya rangi yake ?
Kwani Rashford na Martial ni wupe ?
Pale man kuliwahi kuwa na Yorke na Cole wote ni weusi mbn hakuna mtu aliyewaongelea kuwa hawajui kisa ni weusi? Huyo jamaa analazimisha nyekundu kuwa njano hatimaye analeta statistics za national team wkt tunajua kuna wachezaji kwenye klabu zao wako hovyo lkn tm za taifa ucwaguse na kuna wengine ni vice versa, ss kuepuka hilo tukijikite kwenye klabu tu cz hapa naongelea Manchester utd tu hizo tm zao za taifa cna mpango nazo cz hata achezeje huko national team zen akawa anafanya vibaya old Trafford lazima tumtimue.Unapoanza kuongelea suala la colour ya mchezaji hoja yako inakosa mashiko.
Kuna mtu kasema Lukaku hafai kuchezea united kwa sababu ya rangi yake ?
Kwani Rashford na Martial ni wupe ?
In Madrid was branded Vangoals. Was classic and a World Class in No.9 role.U have decided to deviate from the point of discussion, listen bro I am talking about Ruud van Nisterlooy and not Javier Hernandez and this is because u disrespected him by categorising him as an average player that's all.
Stats zipo hapo juu.Ok just show me statistics to show that Lukaku is better than Ruud van Nisterlooy.
Km unajua unajua bila kujali ni kocha yupi, mfano mdg tu ni pale man city ni dhahiri kwamba pep anampendelea zaid Jesus kuliko Kun lkn ameshindwa kumnyima nafasi kun cz kun anajua kuliko Jesus, ss huyo lukaku wako km angekuwa world class mashabiki tungejua na wala usingesikia maneno maneno.Stats zipo hapo juu.
They all fall in the same category.
Nesterlooy amekaa misimu mitano Man Utd ikiwa peak na Lukaku miwili tena ila mbovu wa Mou na mwingine akiwa na clueless Ole..
Sawa.Km unajua unajua bila kujali ni kocha yupi, mfano mdg tu ni pale man city ni dhahiri kwamba pep anampendelea zaid Jesus kuliko Kun lkn ameshindwa kumnyima nafasi kun cz kun anajua kuliko Jesus, ss huyo lukaku wako km angekuwa world class mashabiki tungejua na wala usingesikia maneno maneno.
Kitu chochote anachofanya refa tofauti na matarajio ya wengi huwa inakata munkari wa timu nyingine.Duh Kwahiyo Auba aliwafunga kina nani zile goli 2
Ukishindwa kunifunga kwa dk 70 nipo pungufu ,acha kulialia
Umepata ubaridi mzeeAcha kumsingizia refa ,umesahau ulipobebwa pale emirates , ukashindwa kwenu kwa dk 70 tupo pungufu kushinda View attachment 1541815
Ugiligili kama ugiligiliUnajua duniani kuna vituko sana
Yan shabiki wa Arsenal na Chelsea wanabishana kuhusu timu zao kwenye THREAD YA MAN UTD![]()
Kwani wapi imeandikwa ni lazima ukabishanie kwehye jukwaa Lako? Wewe ujawahi kuona mashekhe wanabishana kanisaniUnajua duniani kuna vituko sana
Yan shabiki wa Arsenal na Chelsea wanabishana kuhusu timu zao kwenye THREAD YA MAN UTD![]()




Ulipata kazi uliyokuwa unaitaka?UTOPOLO FC ..buruno tulipigwa, Magwaya tulipigwa, Bissaka tulipigwa hii timu yetu ni utopolo uliotukuka..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app