Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Takataka kama takataka..

Bruno bila penati ni uozo..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Bruno bila penati ni Mavi tu.
futzone1-20200818-0001.jpg
 
OFFICIAL: Barcelona sack sporting director Eric Abidal

Sasa ingieni kichwa kichwa UCL mtatimua mpaka wake zenu,
1597765550851.jpg
 
Lukaku hatufai ndugu. Alivyofika man utd aliona ni sehemu pa kustarehe, wakati kiwango chake ni cha kufanyia kazi kwa bidii, siyo mchezaji wa kipaji yule. Alikuwa ana kampani na pogba, lakini mwenzie ni kipaji. Yeye akaishia kunenepeana na kutokuwa na jipya. Huko italy anajitahidi kufanyia kazi kiwango chake ambapo akiwa man utd hakuwa anafanya hivyo, yeye mwenyewe lukaku analijua. Na asipo work hard hapo italy, atatupiwa virago mapema sana, tena kule ubaguzi ndiyo usiseme.
Na magoli ya ubelgiji? Alivyokuwa everton?

Leo mnataka natural number 9. Yupi zaidi ya Lukaku?

Kwamba Rashford au Martial ni bora kuliko Lukaku?

Tatizo la United ni kocha, sio wachezaji.

Klopp angekuwa na wachezaji kama hawa tungeongea mengine.
 
EPL nzima striker wa level ya United ni Kane pekee? Hatari mzee.

Kwahiyo katika mbio za kiatu cha ufungaji bora Kane ni wa ngapi? Majina ya wanaojirudia kugombea hicho kiatu na yenyewe hauyajui au?

Kwamba hata Aguero pia ni andazi siyo level ya Man United?

Mrudisheni Ibrahimovic au Lukaku.
Brexit players.

Harry Kane ni takataka mbele ya Lukaku. Huyo ni mid table team player sio level ya United.

Chicharito, Nesterlooy walicheza kwa mafanikio United, tena walikuwa average na uchezaji almost sawa na wa Lukaku.
 
Media za Uingereza ni threat kwa wachezaji na coaches ambao hawako emotionally stable.
Ni threat kwa wachezaji ambao sio Waingereza.

Leo unaambiwa Maguire atafutiwe mchezaji bora kuliko Lindelof.

Ili hali Maguire naye ni takataka kabisa.
 
Sisi timu ilikuwa inapack Basi chini ya nduli morinyo ulitaka afungaje.. Kuna mechi alikuwa anachezeshwa Hadi winga ulitaka afungaje
Mfumo wa sasa, Lukaku angeshine kuliko wa Mou.

Nafasi zinazotengenezwa na timu ya sasa halafu hakuna natural no 9 ni jambo lisilokubalika.

Leo mnamtaka Dzeko, hivi mpo serious?

Dzeko anajua kuliko Lukaku??
 
Brexit players.

Harry Kane ni takataka mbele ya Lukaku. Huyo ni mid table team player sio level ya United.

Chicharito, Nesterlooy walicheza kwa mafanikio United, tena walikuwa average na uchezaji almost sawa na wa Lukaku.
We Kiongozi, unasema Ruud Van alikuwa average player? My bare foot! Hiv kwa miaka ya karibuni tuliwahi kuwa na clinical N.9 zaidi ya Ruud?
 
Mfumo wa sasa, Lukaku angeshine kuliko wa Mou.

Nafasi zinazotengenezwa na timu ya sasa halafu hakuna natural no 9 ni jambo lisilokubalika.

Leo mnamtaka Dzeko, hivi mpo serious?

Dzeko anajua kuliko Lukaku??
Brexit players.

Harry Kane ni takataka mbele ya Lukaku. Huyo ni mid table team player sio level ya United.

Chicharito, Nesterlooy walicheza kwa mafanikio United, tena walikuwa average na uchezaji almost sawa na wa Lukaku.
Mkuu nahisi we hujui mpira au una hasira za karibu au una mihemko au yawezekana mpira umeanza kuangalia juzi juzi tu.
 
Na magoli ya ubelgiji? Alivyokuwa everton?

Leo mnataka natural number 9. Yupi zaidi ya Lukaku?

Kwamba Rashford au Martial ni bora kuliko Lukaku?

Tatizo la United ni kocha, sio wachezaji.

Klopp angekuwa na wachezaji kama hawa tungeongea mengine.
Luis van gaal pia co kocha?
 
Ni threat kwa wachezaji ambao sio Waingereza.

Leo unaambiwa Maguire atafutiwe mchezaji bora kuliko Lindelof.

Ili hali Maguire naye ni takataka kabisa.
Huyo Maguire kuna siku alimmark Baily wakati kona inapigwa huku goli linaingia.

Akampasua Baily kichwani wakati wanaruka header.

Anakaba anaangalia pembeni mpira unapita kwingine, na huu ujinga wa kukimbia mipira kashauzoea. Alimkimbia Aubameyang refa akataka kubeba kua ni offside VAR ikamuumbua akaonekana anakimbia.

Tangu siku ile ilibidi wajue wana mtu wa aina gani. Chapati zinasema tatizo siyo yeye ila Lindelof, Lindelof yupo pale kabla ya Maguire na hajawahi kuwa na hizi lawama.

Shida nyingine ni Man U kubishana na Liva. Walimleta Maguire kama counter ya Virgil na sasa Bisaka anafanywa ni counter ya Arnold. Il hawa bado hawawezi, siyo leo.
 
Jamaa anajitia haelewi. Heat map ya Bruno Penaltes ishaanza kusoma kwenye eneo la penati.

Juzi mechi imeisha Sevilla ina possession 51% na Man U 49% wao wanaringia mashuti wakati mengi yalikua off target. Sevilla walikua na on target shot za kutosha tu.

Sasa hivi wameanza kumtengenezea hype yule dogo aliyekua anamla mate na kumkatikia mwanaume mwenzake Greenwood, eti ndiyo matumaini yao wameyalaza pale.
Arsenal tuna Nketiah na Martinell na wako vizuri ila hawaaminiki na kocha kiasi cha kuona waingie kubadilisha matokeo.
 
Back
Top Bottom