Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Kumbuka last season epl ilibeba EUROPA na UEFA champions league.Tulichojifunza ni kwamba timu yetu bado sana. OGS ni mzito mno kufanya sub. Zaidi ni kwamba EPL imeshuka sana.
Imeshuka vipi ?
Timu iko kwenye fatigue kubwa sana na mwalimu nae na lesz faire sana haoni haja ya kuwahimiza wachezaji wake cha kufanya.
Kuna wachezaji hawatimizi majukumu yao sawa sawa hasa Rashford kutokana na lesz faire attitude ya mwalimu.
.
EFL Cup: Semi-final
