Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ngoja nikupe fact maana hujielewi..

Rashford aliumua mgongo(double stress fracture) kwny match vs Wolves ambapo haikuwa necessary yeye kucheza and bcoz of that OGS fell under heavy critisim cuz kama kocha ameshindwa kumlinda mchezaji wake cuz jamaa alikuwa anamiss msimu mzima(thanks to corona virus ilisababisha ligi iwe postponed)

Huo ni mfano ninaotumia kuelezea point yangu hapo juu..kwmaba we dont need to exppose our valuable players aganst LASK!!

Ukiendelea kubisha wewe bisha.
am done.!
Yaani kabisa unasema thanks Corona virus? Kwasababu tu ya hao mabeberu? Watu tumepoteza ndugu, jamaa na marafiki kwa hili gonjwa alafu wewe unashukuru uwepo wake.... Dah

Hivi mnafikiriaga kwa kutumia nini?
Ungekuwa karibu hata kofi ningekutandika.
 
Takataka kama takataka..
Kuna mtu aliniambia kuwa utaibuka baada ya siku tatu kama Jesus, then utaanza kuibukia majukwaa mengine kisha ndio urudi kule kwenu

Chukua hiyo
JamiiForums739720064.jpg
 
Toka December Pogba alikuwa hajacheza kacheza mechi hizi tu baada ya lockdown anapumzishwa nini ?

Ni heri Pogba acheze ili aendelee kupata match fitness.
Bado kuna robo fainali,nusu fainali na fainali..Pogba atacheza

Hakuna haja ya kumtumia wakati hata tukimpanga Mata bado uwezo wa kuwatoa LASK upo..


Na tukumbuke ligi inarudi 12 september
 
Yaani kabisa unasema thanks Corona virus? Kwasababu tu ya hao mabeberu? Watu tumepoteza ndugu, jamaa na marafiki kwa hili gonjwa alafu wewe unashukuru uwepo wake.... Dah

Hivi mnafikiriaga kwa kutumia nini?
Ungekuwa karibu hata kofi ningekutandika.
Wewe shabiki wa Asernane: Jifunze ku-contextualize your concepts.
 
Sure..msimu ujao Ole inabidi acheze karata zake vizuri,otherwise fatigue itatusumbua sana
Hatuna kikosi imara cha kucheza michuano yote minne.

Ole akileta ujuaji analiwa kichwa mapema sana.
 
Hatuna kikosi imara cha kucheza michuano yote minne.

Ole akileta ujuaji analiwa kichwa mapema sana.
halafu ole utafikiri hajawahi kucheza.....kasugua sana benchi pale kipindi icho kikosi kimeshiba leo hii kujifunza hataki
 
Wewe shabiki wa Asernane: Jifunze ku-contextualize your concepts.
Acha kutetea ujinga wewe pimbi wa nyumbu,

Acheni u-much know kwa sana, hivi mtu akiongea upuuzi kwa kuwa anaizungumzia nyumbu basi nyumbu zote mnaunga mkono.
Hapo hakuna cha ku-contextualize concept hilo ni janga la dunia na limegusa kila nyanja kila angle,
 
Japokuwa mtu anaweza kudhani ni mahaba kwa timu yangu ya Manchester United ila nimefanya analysis yangu binafsi naamini kabisa kama wachezaji wetu watano ( Bruno, Greenwood, Pogba, Martial na Rashford) wakicheza mechi za EPL zisizopungua 30 msimu ujao bila majeraha kwa pamoja tunaweza kubeba kombe.

Hii nilitamka mwanzoni mwa mwaka huu kipindi Leicester walikuwa wametuzidi points za ya kumi. Nilichokiona muda nasema tutamaliza wa 3 ndicho kinachonishawishi hata sasa kutamka kuwa tunaweza kubeba kombe as long as no serious injuries, kwa mara ya kwanza tuna watu wanaweza kukukupa goli 15 kwa msimu zaidi ya mmoja kikosini ktk ligi tu. Haya mambo tulikuwa tunafanya miaka ya nyuma tu kipindi cha Fergie.



Tutamaliza nafasi ya 3 msimu huu. Majeruhi yametuharibia sana, maana wachezaji wetu muhimu wamekuwa nje kwa muda mrefu sana.

Wachezaji wapo wenye Quality ila benchi lenu la ufundi sio la kuliamini

Kwa sasa pale EPL washindani wakubwa ni LFC, Cityzens niambue namna gani unaweza kuwapiku hao kama timu yako haiwezi kuidhibiti timu inayojua kuuchezea mpira kama Leicester

Rashford,Martial wabahatishaji wale subiri uone msimu unaokuja
 
Jamaa wamepiga pesa ndefu sana,
Hivi Man City waliweka mipengele cha kupiga pesa kupitia huyu mchezaji?
Ni kwa sababu ni United. United wana kaushamba flani, mpaka wapigiwe kelele na media. Wanatakiwa kufanya business mapema, City wana pesa ila hawapigwi hela ndefu sana kwenye sajili
 
wasemavyo wenyewe:
Letting Sanchez leave for free and saving 60M on two years salary is just great business
=========================
don woodward amecheza kama pele, au amezingua?
View attachment 1526630
Alafu huyu sanchez si akubali kukatwa mshahara mbona vanpersie na rooney walikubali,,,, Yaani jamaa ana tamaa ya pesa
 
Kutengeneza tatizo halafu unalitatua

Inter ndio wamefaidika kwenye hilo deal


1.Sanchez kacheza kwa mkopo Inter for free(hakukuwa na loan fee) na majority ya mshahara wake ulikuwa unalipwa na United

2.Baada ya kutoka majeruhi Sanchez ameanza kurudi kwenye form (4goals &8 assist) in Serie A kwenye mechi 22 alizocheza so kwao wanapata mchezaji atakayewasaidia

3.Sanchez amekubali kupunguza mshahara hadi Euro 7m kwa mwaka

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Hapana , Sanchez hajakubali kupunguza mshahara ila hiyo wages Euro 7m alikuwa akilipwa every year nje ya mshahara. Yaani jamaa alikuwa mchezaji hewa ndani ya club. Kiukweli Mourinho alichokifanya yaani Mungu anamuona
 
Hapana , Sanchez hajakubali kupunguza mshahara ila hiyo wages Euro 7m alikuwa akilipwa every year nje ya mshahara. Yaani jamaa alikuwa mchezaji hewa ndani ya club. Kiukweli Mourinho alichokifanya yaani Mungu anamuona
 
ahsante sana brother kwa uchanganuzi wako,
kama nimekuelewa vyema, madai yako ni kwamba walichotufanyia Inter milan hakina utofauti na mchezo wa kutishana kitoto..

tupeni alex sanchez bure tuwapunguzie gharama za mshahara wake (takribani gharama za jumla ya paundi millioni 50 ukichanganya na kodi) au tuwarudishie wenyewe aendelee kuchota mshahara wa bure mifano ya gareth bale au mesut ozil.

Jambo ambalo sijalielewa mpaka sasa ni hili;
imewezekana vipi kwa alex sanchez kukubali punguzo la mshahara wake kwa takribani asilimia 50 (kwa sasa net salary yake inakadiriwa itakuwa ni paundi millioni 7 kutoka paundi millioni 15) haliyakuwa kama angeliendelea kuitumikia Inter milan kwa mkopo au timu nyengine yeyote angelivuna asilimia 100 ya mshahara wake, (booka value remaining ni takribani paundi millioni 15)

tuseme alex ameongozwa na roho ya ubinadamu au kuna mchezo wa kumlipa nyuma ya pazia asilimia 50 yake ya kumvunjia mkataba?
=========================

tengeneza tatizo, tatua tatizo:
nadhani kosa letu kubwa ilikuwa ni kuruhusu hitaji lake la paundi 500,000 kwa wiki na ndiye aliyeharibu wage structures ya timu
Deal la Sanchez Inter hawakuwa na option ya kumnunua so ilikuwa arudi OT but Inter walimtaka baada ya kuona ameanza kurudi form baada ya kupona (4goals 8 assist )in 22 games kwenye serie A

1.Inter walipropose waongezewe one year loan with option to buy (ilikuwa advantage kwao as United will still pay part of his wages)

2.Woodward alitaka awauzie kabisa kwa paundi 13-15m ,Inter wakagoma as hawawezi mlipa mshahara na hiyo transfer fee case kama Smalling na Roma (Smalling anataka kubaki Roma na wao wanamhitaji but United wanataka 15m paundi) Roma wanataka ipungue otherwise arudi
Smalling amerudi United

3.Besides money players enjoy to play football it was better decision for Sanchez to lower his wages in order to play football in Europe(Ni ngumu kwa umri wake& salary kupata mkataba wa miaka 3 ulaya)

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Ni kwa sababu ni United. United wana kaushamba flani, mpaka wapigiwe kelele na media. Wanatakiwa kufanya business mapema, City wana pesa ila hawapigwi hela ndefu sana kwenye sajili
Hii deal ikikamilika City watakunja kiasi cha £15m kutokana na kipengele cha kuvuna 15% ya faida ya mauzo ya Sancho,
Kilichopo katika mkataba wake.
 
Back
Top Bottom