Wanapenda sana vitu rahisi hawa jamaa, kwangu mimi walianza kuwa timu ndogo walipoanza kumnunua Silvestre kutoka United kwa £300,000 (laki 3 [emoji23])
Wakauza RVP kwa timu ambayo mna compete naye kwenye ubingwa
Wakauza akina Song, Cesc n.k.
Hizo biashara huwa wanafanya timu ndogo kama Everton, Westham na Watford
Miaka ya hivi karibuni, wamekuwa wakivizia free agents tu
Kolasinic
Lichtstaner
Now Willian
Nakubaliana kwamba gunners amekuwa timu ya kawaida sana a.k.a timu ndogo [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]