Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Mara ya mwisho Arsenal kucheza UCL ilikuwa lini ?Japo nakubaliana na wewe, Ila Manchester haipo kwenye level ya kuicheka Arsenal kwa sasa. Haujabeba Epl since 2013 ni miaka 7 hiyo.Haya mambo huanza hivihivi unakuta miaka 20 imefika.Nina uhakika unajua msimu ujao huna uwezo wa kuchukua na akina Maguire na De Gea.
Level zako Ulaya ni EUROPA unajua hilo.Ukibahatika kufika round ya 2 UEFA ukikutana na akina Bayern unajua fika unatoka.
Arsenal na Man kwa sasa hakuna wa kumcheka mwenzake tumebaki kuhangaika na Europa na FA.
Man United alicheza UCL 2018-2019 akaishia quater final.
Nakumbuka the last time Arsenal kacheza UCL alitolewa na Borussia Dortmund kwenye round of 16 timu ambayo before isingeweza kuitoa Arsenal kwenye UCL.



