Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

.
Screenshot_20200804-190355.jpg
 
Hapana , Sanchez hajakubali kupunguza mshahara ila hiyo wages Euro 7m alikuwa akilipwa every year nje ya mshahara. Yaani jamaa alikuwa mchezaji hewa ndani ya club. Kiukweli Mourinho alichokifanya yaani Mungu anamuona
Mkuu..mwaka wa kwanza atalipwa full..ila inayofuata atapunguza mshahara.
 
Jamaa wamepiga pesa ndefu sana,
Hivi Man City waliweka mipengele cha kupiga pesa kupitia huyu mchezaji?
Wachexaji wote wa academy 2anapouzwa huwa kuna kipengele kama hiki kinawekwa...

Mfano KEANE(beki wa everton) ni product ya academy yetu na everton walipomnunua kutoka klabu gn sijui(nimeisahau) kuna mpunga tulipata.
 
Yaani kabisa unasema thanks Corona virus? [emoji24][emoji24]Kwasababu tu ya hao mabeberu? Watu tumepoteza ndugu, jamaa na marafiki kwa hili gonjwa alafu wewe unashukuru uwepo wake.... Dah

Hivi mnafikiriaga kwa kutumia nini? [emoji57]
Ungekuwa karibu hata kofi ningekutandika.
Napata wasiwasi wa uwezo wako wa kuchambua mambo mkuu..kaangalie hilo neno lilivyotumika kwny hiyo sentensi.
 
Bado kuna robo fainali,nusu fainali na fainali..Pogba atacheza

Hakuna haja ya kumtumia wakati hata tukimpanga Mata bado uwezo wa kuwatoa LASK upo..


Na tukumbuke ligi inarudi 12 september
Kaka..huyu jamaa haelewi muache tu..utapoteza nguvu zako bure.
 
Napata wasiwasi wa uwezo wako wa kuchambua mambo mkuu..kaangalie hilo neno lilivyotumika kwny hiyo sentensi.
Huna haja ya kuwa na wasiwasi huyu corona ameshanipotezea ndugu mimi[emoji24][emoji24]
Siwezi kuishukuru corona katika mazingira yoyote yale.
 
Huyo kazi yake ni ku-troll tu..hajui ht anachokifanya.[emoji23]
Alafu haka kaugonjwa kakuwaona wenzio hawajielewi, hawajui lolote unako sana,
Hakatokufikisha popote, [emoji23][emoji23]
Humu hatujuani personally, waweza mwambia mtu 'hajielewi' kumbe ndio shemeji yako aliyekupa hifadhi na hako ka-smartphone unachotumia kutema huo upupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
 
Back
Top Bottom