Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaani ndani yupo Scot,Fred,James,Ighalo,Lingard,Bailly,Fosu Mensah na bado ufungwe 6 na LASK?..huu utakuwa ni zaidi ya utani

Kwahiyo wewe kesho ungepangaje?
1.Romero
2.dalot 4. Bailly 5.lindelof 3.william

6.Fred 8.scot

7.pereira. 10.pogba 11.james

9.ighalo
 
1.Romero
2.dalot 4. Bailly 5.lindelof 3.william

6.Fred 8.scot

7.pereira. 10.pogba 11.james

9.ighalo
Hadi Pogba?,akipata injury kwenye hizi mechi uchwara tuanze tena kulialia..

Sawa mkuu,ngoja tuone kesho hiyo
 
Nahisi BRUNO(goal 6) na GREENWOOD(goal 5) wanaweza kucheza kesho ili Mmoja wao awe mfungaji bora wa michuano.. Cuz anayeongoza ana goli 6 pia.
 
Hakuna kupumzisha game bado haijaisha
Pogba hatacheza hata akicheza hatacheza dkk 90 lazima apumzishwe kwa ajili ya msimu ujao..hii game tumeshashinda goli 5 haina haja ya kurisk wachezaji wetu muhimu

Msimu ujao wa EPL unaanza ndani ya wiki nane zijazo..na kuna uwezekano wa sisi kufika moaka fainali na pia kucheza UEFA SUPER CUP!! we need our players to rest to avoid unnecessary injuries
 
Ni kweli maana ukiangali pale
FRED,MC TOMINAY NA NEMANJA sio wa kuwaamini sana...ingawa sometimes huwa wanaperform vzr kbs..

Najiuliza hivi haiwezekani tukamuiba Thiago alcantara!?

Embu imagine utatu wa Thiago Pogba na Bruno..alaf mbele tuna Rashford,martial na Sancho..uwiii
Kwenye EPL ukiondoa Fernandinho na Fabinho nani anaweza kumfikia Matic na Scot ?
 
Back
Top Bottom