Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
umeandika pumba hujui mpira + mahaba, unazungumzia mwalimu sahihi while Arteta miezi 7 tayari ana taji,wewe wako ana nini kwa muda wote au kufuzu Uefa?Ukweli ni kwamba Man United naye hayuko kwenye hali yake ya zamani lakini occasionally amekuwa akitokea kwenye mashindano makubwa.
Kuhusu transfer Man united nao kuhusu kuvutia vipaji imepungua lakini financial muscles zao zinawapa uwezo wa kusajili wachezaji wanaowataka.
Hali ya matokeo uwanjani kwa Arsenal imegeuka kuwa hali ya kawaida Arsenal kufungwa na timu kubwa au ndogo siyo habari tena ushindi kwa Arsenal sasa hivi ni bahati tena siyo uwezo wa team. So sad.
Kilichoziangusha hizi timu Arsenal imeanguka kwa kukosa mwalimu sahihi ila wachezaji wazuri bado wanazalisha kama ilivyokuwa zamani.
Kilichowaangusha Man united ni kukosa succession plan nzuri iliyopelekea recruitment mbovu ya benchi la ufundi na wachezaji kwa miaka 6 mfululizo.
Tuendelee kuwa wavumilivu mpaka tutakapouona tena mkono wa bwana.







