Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hadi Pogba?,akipata injury kwenye hizi mechi uchwara tuanze tena kulialia..

Sawa mkuu,ngoja tuone kesho hiyo
Suala la injury ni sehemu ya mchezo hatuwezi kumuacha mchezaji benchi kwa kuhofia asipate injury wakati kazi yake ni kucheza mkuu
 
Pogba hatacheza hata akicheza hatacheza dkk 90 lazima apumzishwe kwa ajili ya msimu ujao..hii game tumeshashinda goli 5 haina haja ya kurisk wachezaji wetu muhimu

Msimu ujao wa EPL unaanza ndani ya wiki nane zijazo..na kuna uwezekano wa sisi kufika moaka fainali na pia kucheza UEFA SUPER CUP!! we need our players to rest to avoid unnecessary injuries
Toka December Pogba alikuwa hajacheza kacheza mechi hizi tu baada ya lockdown anapumzishwa nini ?

Ni heri Pogba acheze ili aendelee kupata match fitness.
 
Toka December Pogba alikuwa hajacheza kacheza mechi hizi tu baada ya lockdown anapumzishwa nini ?

Ni heri Pogba acheze ili aendelee kupata match fitness.
Mchezaji lazima alindwe..it would be stupid kama pogba akapata hamstring(6-8 weeks nje) kwenye ambayo haikuwa na ulazima yeye kucheza..! Mctominay,fred,pereira,lingard wanaweza kucover nafasi yake kwny mechi ya kesho..

Kuwa sensible kidogo basi na ww.
 
Itakuwa ni ujinga zaidi kumweka benchi kwa kuogopa asipate injury.

Hamstring anaweza kuipata mazoezini kutokucheza kunapunguza match fitness kwa wachezaji kwanini turisk kuwa na wachezaji ambao hawana match fitness ?
 
Wa kucheza.

Unavyoona UTD imekamilika kwenye midfield!?
Kama ni kusajili kwenye midfield ni kwajili ya backups tu na squad depth.

Ukiondoa Matic tu wachezaji wengine wote wanaocheza midfield kwenye bench ni CMs na wote wameprove kucheza CM vizuri tu.
 
Kama ni kusajili kwenye midfield ni kwajili ya backups tu na squad depth.

Ukiondoa Matic tu wachezaji wengine wote wanaocheza midfield kwenye bench ni CMs na wote wameprove kucheza CM vizuri tu.
I've realized we jamaa hujui mpira..

Siwezi kubishana na watu km ww.goodnight
 
Ole kuelekea hapa tunapomaliza msimu anapaswa kuwa makini sana kupita maelezo, asilete tamaa sana ya kukamia mechi hizi za Europa msimu mpya unaanza wiki nne zijazo.

Anapaswa kuwalinda Pogba, Bruno, Rashford, Martial na Greenwood kama tukipindua msimu hata na mmoja akiwa na majeraha naona kabisa tukizingua mapema kabisa kama msimu uliopita. Kilichotugharimu msimu uliopita tulipatwa na majeraha na wachezaji wetu muhimu sana mwanzoni kabisa mwa msimu.

Alianza Martial baadae akafuata Pogba katikati ya msimu akaumia Rashford ukiangalia vizuri graph yetu ya performance iliathiriwa sana vipindi walipokosekana hawa kwa kipindi kile. Hivyo, kwa sasa sioni haja ya msingi sana sisi kushinda Europa unless nafasi ijilete wazi wazi ila hatupaswi kutumia nguvu kubwa sana kwa sasa wakati ligi itaanza muda sio mrefu. Covid-19 imeharibu mahesabu kwa sasa tucheze soft tu kumaliza msimu.

Target yetu iwe EPL na Uefa kwa msimu ujao. Chonde chonde narudia tena hatuna haja ya kukamia kwa sasa unless Europa ijilete kilaini laini tumeshamaliza msimu succefully kwa kufikia target ya kuingia top 4. Tunapaswa kuwalinda hawa watu watano; Greenwood, Martial, Rashford, Bruno na Pogba hawa ndo roho ya timu wengine wanajazilishia tu.
 
Itakuwa ni ujinga zaidi kumweka benchi kwa kuogopa asipate injury.

Hamstring anaweza kuipata mazoezini kutokucheza kunapunguza match fitness kwa wachezaji kwanini turisk kuwa na wachezaji ambao hawana match fitness ?
Ngoja nikupe fact maana hujielewi..

Rashford aliumua mgongo(double stress fracture) kwny match vs Wolves ambapo haikuwa necessary yeye kucheza and bcoz of that OGS fell under heavy critisim cuz kama kocha ameshindwa kumlinda mchezaji wake cuz jamaa alikuwa anamiss msimu mzima(thanks to corona virus ilisababisha ligi iwe postponed)

Huo ni mfano ninaotumia kuelezea point yangu hapo juu..kwmaba we dont need to exppose our valuable players aganst LASK!!

Ukiendelea kubisha wewe bisha.
am done.!
 
Ole kuelekea hapa tunapomaliza msimu anapaswa kuwa makini sana kupita maelezo, asilete tamaa sana ya kukamia mechi hizi za Europa msimu mpya unaanza wiki nne zijazo.

Anapaswa kuwalinda Pogba, Bruno, Rashford, Martial na Greenwood kama tukipindua msimu hata na mmoja akiwa na majereha naona kabisa tukizingua mapema kabisa kama msimu uliopita. Kilichotugharimu msimu uliopita tulipatwa na majeraha na wachezaji wetu muhimu sana mwanzoni kabisa mwa msimu.

Alianza Martial baadae akafuata Pogba katikati ya msimu akaumia Rashford ukiangalia vizuri graph yetu ya performance iliathiriwa sana vipindi walipokosekana hawa kwa kipindi kile. Hivyo, kwa sasa sioni haja ya msingi sana sisi kushinda Europa unless nafasi ijilete wazi wazi ila hatupaswi kutumia nguvu kubwa sana kwa sasa wakati ligi itaanza muda sio mrefu. Covid-19 imeharibu mahesabu kwa sasa tucheze soft tu kumaliza msimu.

Target yetu iwe EPL na Uefa kwa msimu ujao. Chonde chonde narudia tena hatuna haja ya kukamia kwa sasa unless Europa ijilete kilaini laini tumeshamaliza msimu succefully kwa kufikia target ya kuingia top 4. Tunapaswa kuwalinda hawa watu watano; Greenwood, Martial, Rashford, Bruno na Pogba hawa ndo roho ya timu wengine wanajazilishia tu.
Mkuu hili la kocha kuwalinda wachezaji ndo nimekuwa nalizungumzia hapa tangu mchana ila kuna jamaa anabisha hapa eti
 
Ngoja nikupe fact maana hujielewi..

Rashford aliumua mgongo(double stress fracture) kwny match vs Wolves ambapo haikuwa necessary yeye kucheza and bcoz of that OGS fell under heavy critisim cuz kama kocha ameshindwa kumlinda mchezaji wake cuz jamaa alikuwa anamiss msimu mzima(thanks to corona virus ilisababisha ligi iwe postponed)

Huo ni mfano ninaotumia kuelezea point yangu hapo juu..kwmaba we dont need to exppose our valuable players aganst LASK!!

Ukiendelea kubisha wewe bisha.
am done.!
Mkuu heshimu watu usiowajua hili la hujielewi na blah blah zingine haziongezi uzito wowote kwenye hoja yako zaidi ya kukudhalilisha wewe mwenyewe binafsi.

Mtazamo wako haupaswi kuwa standard test ya mitazamo ya wengine ebboh.

Nimekuuliza akipata hamstring mazoezini itakuwaje ?
 
Mchezaji kuumia mchezoni ni sehemu ya kazi yake na ni bahati mbaya huwezi kumweka benchi kwa kuogopa atapata injury kwani mchezaji kasajiliwa kwajili ya kukaa Benchi asipate injury ?
 
Japokuwa mtu anaweza kudhani ni mahaba kwa timu yangu ya Manchester United ila nimefanya analysis yangu binafsi naamini kabisa kama wachezaji wetu watano ( Bruno, Greenwood, Pogba, Martial na Rashford) wakicheza mechi za EPL zisizopungua 30 msimu ujao bila majeraha kwa pamoja tunaweza kubeba kombe.

Hii nilitamka mwanzoni mwa mwaka huu kipindi Leicester walikuwa wametuzidi points za ya kumi. Nilichokiona muda nasema tutamaliza wa 3 ndicho kinachonishawishi hata sasa kutamka kuwa tunaweza kubeba kombe as long as no serious injuries, kwa mara ya kwanza tuna watu wanaweza kukukupa goli 15 kwa msimu zaidi ya mmoja kikosini ktk ligi tu. Haya mambo tulikuwa tunafanya miaka ya nyuma tu kipindi cha Fergie.

Tutamaliza nafasi ya 3 msimu huu. Majeruhi yametuharibia sana, maana wachezaji wetu muhimu wamekuwa nje kwa muda mrefu sana.
 
Kwa kukazia zaidi kuhusu kuelekea Europa dhidi ya kuwapumzisha moja kwa moja wachezaji wetu muhimu. Binafsi kwa level yetu Manchester United sisi ni timu kubwa sana kombe kama Europa sio sifa sisi kubeba hasa hasa litakuwa linatukumbusha tu mwaka tuliobeba maaana yake hatuku-qualify kucheza na wakubwa wenzetu. Europa ni kombe linapaswa kuwepo ktk makabati ya timu kama Spurs, Everton au Leicester City na sio sisi.

Sisi level zetu ni Uefa tu, ni basi tumelega lega hapa karibuni. Hata msimu tuliocheza Europa kipindi cha Fergie mwishoni wakati anaondoka aliwahi kusema kucheza Europa kwa timu kama Manchester United it’s very painful process maana we’re technically demoted.

Mfano; POTUS (Rais wa Marekani) hawezi kuwa credited akipeleka maji miji kama Wichita au Kansas maana hivyo ni vitu vidogo kwa taifa la ulimwengu wa kwanza bali yeye atasifiwa kwa vitu kama usalama (ugaidi) na teknolojia kwa kuviimarisha zaidi. Ni kinyume chake kwa mataifa yaliyo ktk ulimwengu wa tatu kama Afrika. It’s all about lanes.

Disclaimer: I'm in no way trying to undermine Europa, I was just showing where we're supposed to stand.
 
Mkuu heshimu watu usiowajua hili la hujielewi na blah blah zingine haziongezi uzito wowote kwenye hoja yako zaidi ya kukudhalilisha wewe mwenyewe binafsi.

Mtazamo wako haupaswi kuwa standard test ya mitazamo ya wengine ebboh.

Nimekuuliza akipata hamstring mazoezini itakuwaje ?
Just piga kimya..cuz unaelezewa lkn huelewi..so stop quoting me and am not gonna quote u..simple!
 
Umeenda mbali sn bosi, ni suala la kueleweshana tu.
Inawezekana but its boring ambapo unamuelewesha m2 for more than 2-3hrs lkn anakuongelea v2 vya ajabu..

Like seriously mtu anayejua mpira Anaweza kusema eti HAKUNAGA HAJA YA KUWALINDA WACHEZAJI CUZ KUUMIA NI SEHEMU YA KAZI YAMCHEZAJI.SEIOUSLY!!!!!!! Yan m2 mzima anaongea hivi

Mtu wa namna hii hayuko serious anatafuta sehemu ya kupotezea muda and am nt ready 4 that.
 
Back
Top Bottom