Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
Nina wasiwasi kubwa sana na professionalism ya board ya Man Utd. Inakuaje chief executive anakuwa na majukumu yote haya, swala la usajiri as far viwango vya soka vya ulaya vilipofikia ni highly technical, linahitaji investment on people to do it, several infrastructures kama databases, software models, international presence etc Yaani ni kitengo kikubwa tena ambacho kikiwa chini ya senior person anayereport to the board moja kwa moja with a high level of independence.
Woodward angebakia na mambo mengine ikiwa pamoja, na hasa kuhakikisha, hasa kwenye swala la usajiri anasign wire transfer documents. baaasi.
Sasa kinachoendelea pale, ni kama vile tuko kama simba na yanga, yaani cricsant magori anaweza wachezaji wake analeta, au madega nae anawachezaji wake analeta, ama sivyo hili swala la huyu jamaa kuwa kwenye media spot lights wakati wote wa usajiri nyuma yake kuna tatizo kubwa sana.
Na hii inamfrustrate OGS, OGS came in with a very good strategic plan, to bring back Faggie football style, attach attach attach, akamuondoa lukaku kwa maelezo kwamba haendani na hiyo philosophy, sasa hii inaishia kuwa ni maneno matupu kama style ya usajiri inabakie ile ile, ndio maana hata van gaal alisema, man utd ya OGS inapack basi kuliko yake, hakuna cha attack attack attack wala nini.
Na zaidi hata OGS mwenyewe ni kama kaisha itupa hiyo strategy, yaani toka amsajiri ighalo sijamsikia anasema hayo maneno, na kinachoonekana iwe ni kwenye normal management meeting au board level hakuna mtu anambana OGS kuhusu football style na quality ya team.

"Hakuna cha ajabu alichofanya kuhusu kutwaa Epl, Laliga & Serie A. Danilo alitwaa Epl akiwa nasi hapa Man city, alishinda Laliga akiwa na Real Madrid na akatwaa kombe la Serie A akiwa Juventus"
★