Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,532
Charlie Nicholas ni kilaza mmoja aliyevamia fani ya uchambuzi
Kama namba 3 ni C+, namba 8 au 9 au 10 atakuwa Z?
Kama namba 3 ni C+, namba 8 au 9 au 10 atakuwa Z?
*** you Charlie Nicholas with your grade C+
Tulikuwa wabovu kwenye mzunguko wa kwanza,kuanzia mzunguko wa pili tumebadilika sana..Jamaa haoni improvement yoyote.
This guy real hates United
View attachment 1521648