Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,630
- 11,096
Mashabiki mengi ya man u yanataka arsenal ishinde wakati ni kitu ambacho akiwezekani kabisa kutokea.Leo ARSENAL vs CHELSEA
napenda Arsenal ashinde leo..Arteta is a very humble guy..Ila hao majirani wa bluu wana midomo ksng..kuanzia kocha wao mpk mashabiki..
Arsenal lets gooooo..!!![]()



Cheltako muna uwezo wa kupambana?maana mnaongoza kwa kujipiga banMashabiki mengi ya man u yanataka arsenal ishinde wakati ni kitu ambacho akiwezekani kabisa kutokea.
Leo tunayafunga Arse8 na manyumbu fc..
Kuliko niwe fan wa hii timu Bora nisiwe fan wa mpira kabisa..
#CFC![]()
Huyo jamaa bado yupo kweli? Maana hajacheza muda mredu sasaDawa ya kumuondoa Phill Jones ni kumsingizia ana Corona tu
Wamemaliza namba 3. Sijui unazungumziane hili sualaNamba 6 imewaganda hiyo
Anaumiaga kwenye training tu.Huyo jamaa bado yupo kweli? Maana hajacheza muda mredu sasa
Anakuja Arsenal huyo., nimesikia Arteta anahitaji huduma yakeNamba 6 imewaganda hiyo
Kiukweli huyu Phil jones hata kama ni mbovu ila hajapata mechi za kutosha kuprove kwamba naye anaweza kurudi kwenye form. Pamoja na kwamba amefanya makosa kwenye mechi chache alizocheza , ila wachezaji wote ulaya pamoja na mabeki wote wameshafanya makosa mengi msimu huu, Mfano Matic , Lingard , luke shaw, maguire na Williams,,, wote wamefanya makosa. ILa huwa wanapewa mechi za kutosha kuprove confidence yao , japo lingard hakuweza kubadilika. Sasa mimi naona the same to phil jones apewe mechi za kutosha kama wakina Matic.1.Sanches HARUDI..mwenyewe anataka kubaki inter..na inter wanamtaka so tunamuuza..
2.ROJO nae Harudi;taarifa za jana zinasema jamaa anapenda kubaki hukohuko Argentina na hata tukimuuza kwa bei ya hasara sio issue..
3.LINGARD anaweza kuondoka..kuna team km ROMA,EVERTON,WEST BROM na WESTHAM zote zinamtaka
4.ERIC BAILLY huyu anabaki kama Back up ya CB tulionao..kwa 7bu akiwa mzima anaupigaga mwingi sn
5.SMALLING huyu anabaki roma kabisa..cuz amefit vzr kwny system yao na juzi amewafungia goli..
6.PHIL JONES..dahhuyu jamaa sina la kumzungumzia..
![]()
But still Man U is their Premier League Leader of Trophies
ed woodward ni mchaga....... usajili wa sanchez ulitrend zaidi kuliko usajili wa neymarKuna sababu mbili kwa maoni yangu ni kwanini man utd inachelewa katika sajili zao.
Ya kwanza ni kwa sababu tuna fan base kubwa sana hivyo ed anatumia nafasi hiyo kufanya biashara kwenye kila kinachofanyika. Kadri anavyochelewesha kutangaza sajili zake anatengeneza shauku ya mashabiki hivyo siku akimtangaza na kuweka kiunganishi cha piano,basi anaweza kurudisha gharama za usajili kwa mauzo ya jezi peke yake (refer inshu ya Sanchez)
Usajili wa mchezaji yeyote kuja United lazima utrend kwasababu ya kufuatiliwa na mashabiki karibu wote duniani.ed woodward ni mchaga....... usajili wa sanchez ulitrend zaidi kuliko usajili wa neymar
Mifupa ya plastic huyoAnaumiaga kwenye training tu.
And yet tuna premier leagues zaidi ya kumi na nyie mna moja..hamjioni km ni wajinga!?





We jamaa..Phil jones yupo UTD tangu enzi za Babu Ferguson..Unataka apate mechi ngapi wkt mtu yupo kikosini kwa zaidi ya miaka nane..Kiukweli huyu Phil jones hata kama ni mbovu ila hajapata mechi za kutosha kuprove kwamba naye anaweza kurudi kwenye form. Pamoja na kwamba amefanya makosa kwenye mechi chache alizocheza , ila wachezaji wote ulaya pamoja na mabeki wote wameshafanya makosa mengi msimu huu, Mfano Matic , Lingard , luke shaw, maguire na Williams,,, wote wamefanya makosa. ILa huwa wanapewa mechi za kutosha kuprove confidence yao , japo lingard hakuweza kubadilika. Sasa mimi naona the same to phil jones apewe mechi za kutosha kama wakina Matic.
Labda niseme tu naweza kusema nataka Phil jones aondoke kwasababu tu amekuwa na majeruhi ya mara kwa mara , ila sio tu kuboronga me-chi mbili alafu tuseme aondoke . Tukumbuke kuna wachezaji wanafanya makosa zaidi ya mfululizo ila wamekuwa na bahati ya kutopata majeruhi. Mfano Captain Magwaya, Matic na Lindelof wana bahati ya short-term injuries.
Bado dakika mbili... Naona ubao unaonesha mmeshakalia dushe,vp una la kusema!?Mashabiki mengi ya man u yanataka arsenal ishinde wakati ni kitu ambacho akiwezekani kabisa kutokea.
Leo tunayafunga Arse8 na manyumbu fc..
Kuliko niwe fan wa hii timu Bora nisiwe fan wa mpira kabisa..
#CFC![]()
Hamfaham vizuri Phil Johns,, kuna kipindi yeye na smalling ilikuwa panga pangua ndio wanaanza 1st 11We jamaa..Phil jones yupo UTD tangu enzi za Babu Ferguson..Unataka apate mechi ngapi wkt mtu yupo kikosini kwa zaidi ya miaka nane..
Hujaelewa mkuu, jaribu kufuatilia nilichoquote kwanzaWamemaliza namba 3. Sijui unazungumziane hili suala