Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Maguire (?)
Lindelof (no consistency)
Baily (injury prone)
Tuanzebe (*)
Jones (far away from being the best)
Smaling (on-loan)

Premier League
UEFA Champions League
FA Cup
Carabao Cup

Ni kweli tunahitaji backup ya mtu mmoja wa kueleweka hapo kwenye ukuta, Ake lilikua chaguo sahihi ila sasa wajanja wameshatuwahi.
 
Hili suala la kwamba klabu yetu imezubaa kwenye mambo ya usajili hata mimi naliona sana.
Na hatuwezi kusema kwamba tunafanya hivyo kwa lengo lolote zuri kwa sababu hata bei tunazouziwa wachezaji kimsingi ni za juu.
Tunakua kama sio ''matajiri''....
Tunabembeleza mno...
Hatuamini sana katika msemo ''biashara ni asubuhi, jioni mahesabu''...
Hakika hii sio Giant mentality.
mi nadhani huyu mkurugenzi wetu achunguzwe kwa fraud kwenye hizi pricing the wachezaji wanaonunuliwa na man u.
 
★"I’m told he has his heart set on Manchester United. I’d be surprised if he went anywhere else.” Michael Owen on Jack Grealish
Do you think United will sign Grealish this summer?
IMG_20200731_112131_240.jpeg
 
Sergio Romero wants to hold showdown talks with Manchester United over his future - with Dean Henderson heading back to Old Trafford, according to The Sun.

Manchester United are monitoring Lille defender Gabriel Magalhaes, as they look to sign a new centre-back this summer.


Dean Henderson's future at Manchester United will become clearer in the next fortnight, as talks over a new long-term contract enter a crucial stage.★
_%20(2).jpeg
 
★Mourinho: "Bruno came in, was fit, played very well, improved the Man Utd team and also proved to be a great penalty taker, one of the best in the world, because he had about 20 to score”.★

manutd |
IMG_20200731_110500_641.jpeg
 
★Manchester United are closing in on the signing of Raul Jimenez from Wolves,
according to Portuguese outlet RTP
IMG_20200731_115222_534.jpeg
 
Glory glory utd !
Naam timu yetu iko hovyo Sana kwenye sajili,,, wanadelay Sana au zile first opts za kocha tunazikosa na kupata second opts ,,,,mou na LVG washawahi kulisema Sana !!!

Ed anazingua Sana, nadhan last year walikuja na pendekezo tuwe na director of football , akahusishwa Van de sar Mara Ferdinand, Mara Evra lakini kimya zile tetesi zikapotea !!


Frankly speaking yule mwanamama wa Chelsea somebody sijui marina , namuelewa Sana , anajua anachofanya ,,,city pia wako vzr kwenye kukamilisha deals mapema , utd na ukwasi wote sijui wanakwama wapi !

Ole akituletea

CB mmoja
RW mmoja
CF mmoja
pia aje Dean henderson mambo yatakuwa powa pengine tutakuwa tittle contenders,,,, offload magharasa yaso na faida ! Huwezi kuwa champion bila kuwa na kikosi kipana nyenywe uwiano mzuri wa viwango vya kiuchezaji ,,,,

GGM
 
Uzoefu unaonesha huwa tunachukua wiki 6 kukamilisha dili moja

Rejea usajili wa AWB, Maguire na Fernandez, kila mchezaji ilichukua wiki 6

Ed kwenye transfer yupo very skow
Ila huwa tupogo hv miaka yote, rejea usajili wa ronaldinho tulizubaa mpk akachukuliwa, berbatov hvyo hvyo mpk cku ya mwisho, hata kina veron tetesi wee mpk unachoka yn man inaboa sn kwny usajili we ngj uone huo usajili wa Sancho km hajachukuliwa mwishoni au utasikia ameenda Madrid cz Woodward amehitilafiana na wakala wake kwenye suala la malipo
 
Matatizo ya United ni yaleyale kila siku.

1. Hakuna Director of Football.

2. Ed Wooodward.

3. Owners.

Tukishinda mechi 5 tunasahau shida zetu.

Tukianza kufungwa tunaanza kuleta vita, Ed anatuletea Bruno mwingine tunasahau shida zetu.
 
Hili suala la kwamba klabu yetu imezubaa kwenye mambo ya usajili hata mimi naliona sana.
Na hatuwezi kusema kwamba tunafanya hivyo kwa lengo lolote zuri kwa sababu hata bei tunazouziwa wachezaji kimsingi ni za juu.
Tunakua kama sio ''matajiri''....
Tunabembeleza mno...
Hatuamini sana katika msemo ''biashara ni asubuhi, jioni mahesabu''...
Hakika hii sio Giant mentality.
Management is Clueless.
 
Back
Top Bottom