Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,179
- 2,084
fakeRaul JimenezView attachment 1522036
fakeRaul JimenezView attachment 1522036
Brother..kiuhalisia CHELSEA na CITY wako serious sn kwenye usajiri kuliko UTD..no wonder mmoja wao akabeba EPL kabla yetu ss..huo ni ukweli mchungu..!Man united haifanyi usajili kwa kukimbizana na plastic clubs kama Chelsea na Man city mkuu.
Ndugu yangu unafikiri hata nimeweza basiUnakuwa kama vile umeanza kushabikia united kipindi Bruno kasajiliwa mkuu.
United huwa inahusishwa na kila mchezaji wa dunia hii hata kama united hawamjui hata mchezaji husika.




sasa hivi ni saa tisa usiku na nimetoka twitter kuangalia updates za club km kuna mtu tumeshanunua..kimsingi hii club itaniua






Tulia mkuu kusajili tutasajili tu ngoja kwanza plastic clubs wamalize kufanya usajili.Ndugu yangu unafikiri hata nimeweza basisasa hivi ni saa tisa usiku na nimetoka twitter kuangalia updates za club km kuna mtu tumeshanunua..kimsingi hii club itaniua
![]()
Kwahiyo Cheltako ndio plastic club???Tulia mkuu kusajili tutasajili tu ngoja kwanza plastic clubs wamalize kufanya usajili.


Wacha maneno yako weweTukubali kwamba mfumo wetu wa usajiri unamatatizo.Tulia mkuu kusajili tutasajili tu ngoja kwanza plastic clubs wamalize kufanya usajili.
Kwahiyo Cheltako ndio plastic club???Wacha maneno yako wewe
Tukubali kwamba mfumo wetu wa usajiri unamatatizo.
Kumbuka makocha wote waliopita wamelalamikia tatizo la kutopata wachezaji waliowahtaji, vangaal, moyes, mournho.
hata huyu OGS sema ni reserved person tu, lakini it is very frustrating when running a process everybody is running quite easily becomes something like a rocket science.
Hivyo sikubaliani na wewe kwenye swala la kusubiri club zingine zimalize usajiri ndio na sisi tu-ighalo.
Hao ni plastic club tuKwahiyo Cheltako ndio plastic club???Wacha maneno yako wewe
C+ is reasonable rating for United this season*** you Charlie Nicholas with your grade C+
Tulikuwa wabovu kwenye mzunguko wa kwanza,kuanzia mzunguko wa pili tumebadilika sana..Jamaa haoni improvement yoyote.
This guy real hates United
View attachment 1521648
Ole hajawahi kulalamikia usajili, kesi ya Mourinho ni tofauti hata kama mmi ningekuwa Woodward ningemnyima hela za usajili.Tukubali kwamba mfumo wetu wa usajiri unamatatizo.
Kumbuka makocha wote waliopita wamelalamikia tatizo la kutopata wachezaji waliowahtaji, vangaal, moyes, mournho.
hata huyu OGS sema ni reserved person tu, lakini it is very frustrating when running a process everybody is running quite easily becomes something like a rocket science.
Hivyo sikubaliani na wewe kwenye swala la kusubiri club zingine zimalize usajiri ndio na sisi tu-ighalo.
Ni ukweli usiopingika kuwa plastic clubs ndiyo ziko busy sokoni sasa hivi
Maoni yako kama yanakuja yanakataa, sawa timu kama City ina plastic fans inayoifanya kuwa plastic club ila kama tunahitaji ubingwa tunapaswa na sisi kujichanganya na hao unaowaita plastics.Ni ukweli usiopingika kuwa plastic clubs ndiyo ziko busy sokoni sasa hivi
Watakuja mbioNi ukweli usiopingika kuwa plastic clubs ndiyo ziko busy sokoni sasa hivi




Cc. CHELTAKOHao ni plastic club tu
Hivi Solkjaer anahitaji Centerback ?Maoni yako kama yanakuja yanakataa, sawa timu kama City ina plastic fans inayoifanya kuwa plastic club ila kama tunahitaji ubingwa tunapaswa na sisi kujichanganya na hao unaowaita plastics.
Ni ngumu kuamini timu mbovu kama United (naiita mbovu kutokana na mahitaji na kasi yao kusajili) ina-delay kufanya usajili ikipitwa na timu yenye ubora kama City. Tutafikia kipindi bidhaa zilizopo sokoni siyo tulizozihitaji ila tulizozihitaji zote zimebebwa na wapinzani.
Tulihusishwa na Ake sasa hivi ni dili lililokamilika kwenda City. Ukiachana na dili la Sancho na uzito wake United wana-delay kufanya usajili wa Center Back (left) na Striker.
Angalia unaowaita plastics ndio more favorable kubeba EPL, Chelsea kaingia sokoni na kashaondoka na Ziyech na Werner hizi ni sajili bora kabisa. Tukibaki kujifariji kuwa Chelsea na City ni plastics clubs tujiandae kuumia kila msimu kuona wakibeba makombe.
Ndo huwa mnadanganyana hivi halafu mwisho wa siku mnaletewa Maguire mnasahau shida zenu.Tulia mkuu kusajili tutasajili tu ngoja kwanza plastic clubs wamalize kufanya usajili.
Maguire (?)Hivi Solkjaer anahitaji Centerback ?