1. Msimu 2019 Man U ilikuwa top 6
2. Msimu huu ilikuwa top 3
3. Msimu wa 2020/2021 Man U itakuwa top 2 (Nafikiri itakuwa ikipambana na Mancity huku ikifuatia Chelsea,Liverpool, Arsenal na Tottenham)
4. Msimu wa 2021/2022 Ma U itafuta Ukame wa miaka 8 bila ubigwa hivyo kutwaa taji laEPL.
5.Kuanzia msimu wa 2022 hadi 2042,,,,,,, (Utawala wa King Man U of Epl utarudi yaani Ferguson alivyoiacha Man u 2013 , basi Ile Domination Legacy itaendelezwa na hali itarudi kama zamani. Yaani from 1992 to 2013 Man u ilbeba 13 EPL for 20 years.
6. Hivyo Man u itaendeleza utawala kuanzia 2022 hadi 2043 with 13 titles for 20 years kama Ferguson alivyofanya.
Sasa ukitoa hiyo 13 titles atakayobeba Man U kwenye miaka 20,,, Hiyo miaka 7 ya ndani kwa ndani ambapo Man U akiwa habebi ,, Timu za Chelsea, Mancity , Liverpool na Arsenal mtatakiwa kukaa na Safu zenu za bodi pamoja na benchi la ufundi mkijadili mtakavyogawana kila mmoja taji kwenye hiyo miaka 7 tuliyowaachia, Yaani kama mlivyojadili from 1992 to 2013 huku maisha yakiendelea na babu Ferguson akifanya yake.[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Sasa kama kuna mpinzani anayebishi wewe Screenshot hii message na tutakuwa tukikumbushana kila mwisho wa msimu kila lengo likiwa linatimia.