Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
nataka niwe msomaji comments za wachangiaji kwa kipindi hiki, humu ndani inapatikana burudani ya kipekeee.
kwa manchester united usajili wa mchezaji mmoja unachukua wastani wa wiki 6- mc cane
hahahahahaaaaa.
========================

niwakumbushe:
man utd hatujawahi kukosa soko la kununua mchezaji ndio maana tumekuwa tukivumishiwa usajili wa wachezaji takribani 50 kwa kila dirisha (leo hii tunavumishiwa usajili james rodriguez ),

changamoto kubwa inayotukabili kwa sasa ni kutafuta mnunuaji wa wachezaji wetu, pindi wachezaji wote watakaporudi klabuni tutakuwa na jumla ya wachezaji 35.

wage bill structures inatuumiza na inatuadhibu kwa sasa......wanunuzi wapo kimya ila wauzaji wanaongezeka

  1. alex sanchez anarudi - man utd watamlipa mshahara wote na bonus ya champions league.
  2. chris smalling anarudi- tulimpa mkataba wa kufuru msimu uliopita
  3. marcos rojo anarudi - mshahara wake unakaribia au kuvuka paundi laki moja, nani anamuhitaji marcos rojo?
  4. phil jones tulimpa mkataba wa miaka mitatu msimu uliopita sijui ni kwa lengo lipi
  5. jesse lingard ana mkataba wa muda mrefu na anavuta paundi laki moja au zaidi
  6. dean henderson anarudi
  7. nani anamuhitaji diogo dalot tuliyemsajili kwa paundi millioni 20
  8. nani anamuhitaji andreas perreira
  9. nani anamuhitaji eric bailly (mr injury prone)
1.Sanches HARUDI..mwenyewe anataka kubaki inter..na inter wanamtaka so tunamuuza..

2.ROJO nae Harudi;taarifa za jana zinasema jamaa anapenda kubaki hukohuko Argentina na hata tukimuuza kwa bei ya hasara sio issue..

3.LINGARD anaweza kuondoka..kuna team km ROMA,EVERTON,WEST BROM na WESTHAM zote zinamtaka

4.ERIC BAILLY huyu anabaki kama Back up ya CB tulionao..kwa 7bu akiwa mzima anaupigaga mwingi sn

5.SMALLING huyu anabaki roma kabisa..cuz amefit vzr kwny system yao na juzi amewafungia goli..

6.PHIL JONES..dah huyu jamaa sina la kumzungumzia..
 
Namba 6 imewaganda hiyo
 
★Phil Jones atabaki sababu ni Mwana kama tunavyojua Mwana anabebwa #Shoutout kwake★
1.Sanches HARUDI..mwenyewe anataka kubaki inter..na inter wanamtaka so tunamuuza..

2.ROJO nae Harudi;taarifa za jana zinasema jamaa anapenda kubaki hukohuko Argentina na hata tukimuuza kwa bei ya hasara sio issue..

3.LINGARD anaweza kuondoka..kuna team km ROMA,EVERTON,WEST BROM na WESTHAM zote zinamtaka

4.ERIC BAILLY huyu anabaki kama Back up ya CB tulionao..kwa 7bu akiwa mzima anaupigaga mwingi sn

5.SMALLING huyu anabaki roma kabisa..cuz amefit vzr kwny system yao na juzi amewafungia goli..

6.PHIL JONES..dah huyu jamaa sina la kumzungumzia..
 
Brother..kiuhalisia CHELSEA na CITY wako serious sn kwenye usajiri kuliko UTD..no wonder mmoja wao akabeba EPL kabla yetu ss..huo ni ukweli mchungu..!
Pamoja na kwamba wako vizuri kwenye recruitments
Lakini pia hizo ni Clubs zinazomilikiwa na matajiri wanaomwaga pesa kwenye vilabu vyao.

Man united inamilikiwa na matajiri wanaochota pesa kwenye club.

Sio rahisi kwenda na kasi zao.
 
Unarudi palepale kwamba MAN UTD hatuko serious kwny Usajili.
 
1.Sanches HARUDI..mwenyewe anataka kubaki inter..na inter wanamtaka so tunamuuza..

2.ROJO nae Harudi;taarifa za jana zinasema jamaa anapenda kubaki hukohuko Argentina na hata tukimuuza kwa bei ya hasara sio issue..

3.LINGARD anaweza kuondoka..kuna team km ROMA,EVERTON,WEST BROM na WESTHAM zote zinamtaka

4.ERIC BAILLY huyu anabaki kama Back up ya CB tulionao..kwa 7bu akiwa mzima anaupigaga mwingi sn

5.SMALLING huyu anabaki roma kabisa..cuz amefit vzr kwny system yao na juzi amewafungia goli..

6.PHIL JONES..dah huyu jamaa sina la kumzungumzia..
Namna ya kumuondoa Phil Jones ni kuvunja mkataba tu
 
Leo ARSENAL vs CHELSEA
napenda Arsenal ashinde leo..Arteta is a very humble guy..Ila hao majirani wa bluu wana midomo ksng..kuanzia kocha wao mpk mashabiki..
Arsenal lets gooooo..!!
 
Back
Top Bottom