mr37
Senior Member
- Jul 7, 2020
- 107
- 209
Kocha hao Wote ni vijana Bado wana safari ndefu. Hata Ferguson Alikuja akiwa kijanaWakuu vipi? Tumuondoe Ole tumchukue Arteta. Huyu OLe hatufikishi popote.
Kocha hao Wote ni vijana Bado wana safari ndefu. Hata Ferguson Alikuja akiwa kijanaWakuu vipi? Tumuondoe Ole tumchukue Arteta. Huyu OLe hatufikishi popote.
Ya nyuma inatuonyesha udhaifu na nguvu inayosababisha kufeli au kushinda, makosa yenu bado mnaendelea kama ilivyokuwa miaka 8 iliyopita ya kunnunua wachezaji ghali wasioendana na chemistry ya wachgezaji na kocha. Mkimsikia mchezaji ghali tu kama Sancho mnamkimbilia bila kuangalia kama ata fit-in au la5 years Past Performance will never Guarantee your Team's next year future best Results
Halafu unamsikia Steve Mollel kaacha kuchunga ng'ombe huko anakuja kulalamika hapa tumebebwaIla Martial kabadilika sana sasa hivi nadhani msimu ujao atakua vizuri akiendelea kuongeza juhudi kama anavyofanya sasa.
Ishu ya penati sijui kwanini watu wanaongea sana lakini ukiwa na watu wenye pace kama kina Martial na Rash halafu una mtu mwenye pasi za uchokozi kama Bruno lazima mabeki wafanye rafu tu hamna namna.
Kupata penati nyingi maana yake strikers wetu wanapenya sana kwenye box la wapinzani so tuko vizuri.
Hii video mashabiki wa Chel3 hawapendi kuiona
Vitu gani vinakuaminisha mwakani Man U atamaliza nje ya top 4?Hello PETER, unajua imekuchukua nguvu gani kurudi top 4
Usajili wa BIG Money ya akina Pogba, Sanchez, Bruno
Ujio wa MOU mkabahatisha no. 2 na ile timu mbovu ya akina Jesse Lingard ndio mastaa, Chris Smalling defender
Nikukumbushe tu
Miaka sita nyuma nusu UEFA nusu Europa
- 2015 namba 4
- 2016 namba 5 uropa
- 2017 namba 6 uropa
- 2018 namba 2
- 2019 namba 6 uropa
- 2020 namba 3
Chelsea ya BAN, bila Hazard, bila usajili wa Januari, Kocha mgeni EPL
Katika miaka sita iliyopita tumechukua ubingwa mara 2, Europa mara moja na tumeshiriki UEFA mara 4
- 2015 namba 1 Bingwa
- 2016 namba 10 MOU OUT
- 2017 namba 1 Bingwa
- 2018 namba 5 Europa - Bingwa Europa
- 2019 namba 3
- 2020 namba 4
Kwa stats hizo, Man u mpo ndani na nje kila mwaka
Mwaka huu mmebahatisha ila mwakani mtarudi kwenye chumba chenu cha Europa
Hello PETER, unajua imekuchukua nguvu gani kurudi top 4
Usajili wa BIG Money ya akina Pogba, Sanchez, Bruno
Ujio wa MOU mkabahatisha no. 2 na ile timu mbovu ya akina Jesse Lingard ndio mastaa, Chris Smalling defender
Nikukumbushe tu
Miaka sita nyuma nusu UEFA nusu Europa
- 2015 namba 4
- 2016 namba 5 uropa
- 2017 namba 6 uropa
- 2018 namba 2
- 2019 namba 6 uropa
- 2020 namba 3
Chelsea ya BAN, bila Hazard, bila usajili wa Januari, Kocha mgeni EPL
Katika miaka sita iliyopita tumechukua ubingwa mara 2, Europa mara moja na tumeshiriki UEFA mara 4
- 2015 namba 1 Bingwa
- 2016 namba 10 MOU OUT
- 2017 namba 1 Bingwa
- 2018 namba 5 Europa - Bingwa Europa
- 2019 namba 3
- 2020 namba 4
Kwa stats hizo, Man u mpo ndani na nje kila mwaka
Mwaka huu mmebahatisha ila mwakani mtarudi kwenye chumba chenu cha Europa
Yaani ulivyoandika "sijui fernandes" ni kama umemshusha hivi kwa sababu huoni mchango wake ukilinganisha na rashford
Bruno Fernandes ana heshima kubwa sana kutoka kwangu.Lugha tu ndio imeonyesha sijui mchango wake ila mchango wake nautambua na unatambulika kwa kila shabiki wa Manchester United. Ila nilichokuwa na-refer ni kutokana na comment ya mdau pale juu kuwa Sancho akitua Rashford atakosa namba.
Ndio nikaongezea kuwa Rashford ndio mchezaji wangu bora kwasasa ukiachana na yote aliyofanya Bruno (kwa heshima kubwa) naona Rashford msimu huu ameongeza juhudi ukiangalia tokea ameanza 2015/16 mpaka leo anazidi kupanda.
Lakini si unaona record ambazo zimewekwa na wachezaji pamoja na timu binafsi kwa mda mchache toka dirisha dogo la usajili lifungwe,,, Na ukiangalia baadhi ya hizo rekodi hazikuwekwa na kocha yoyote aliyekuja kuifundisha Man u tokea 2013. Sasa ni almost 7 years ndio tunaviona, , Na hicho ndicho kinatoa ishara ya kuwa tunaweza kurudisha zama zetu kwa misimu ya 2020's na kuendelea kama timu itaboresha zaidi kikosiYa nyuma inatuonyesha udhaifu na nguvu inayosababisha kufeli au kushinda, makosa yenu bado mnaendelea kama ilivyokuwa miaka 8 iliyopita ya kunnunua wachezaji ghali wasioendana na chemistry ya wachgezaji na kocha. Mkimsikia mchezaji ghali tu kama Sancho mnamkimbilia bila kuangalia kama ata fit-in au la
So "past is the key to the present" na ndio umuhimu wa historia inaingia hapo
Alafu eti Harry Maguire ni beki anayeongoza ulaya kwa kuwa na Cleansheets 23 kwenye mechi zote alizocheza . Hii ni dhahiri kwamba Man u ikiboresha defence yao ,, Alafu Degea akarudi kwenye ubora wake kama miaka ya 2016 to 2018,,, hatutakuwa tunapoteza mechi kwa makosa ya ulinzi.Sijapendezwa sana na defence yetu kwenye hizi mechi za mwisho tumekuwa sio solid sana nyuma na hii inaweza kusahaulisha kazi nzuri iliyofanywa na defence yetu hapo kipindi cha nyuma,kitu ambacho sio fair
✓26 cleansheets in all competition na ndo tunaoongoza barani ulaya msimu huu
Kuna namna tunataka beki zetu ziimarike zaidi ya hapa na kwa hili linaonyesha kuwa tunataka kuwa bora Uingereza na Ulaya na sio kupambana na Spurs,Arsenal na Leicester,maana kwa standard ya kawaida unaweza kusema tuna ukuta mzuri
Big shout out kwa;
1.De Gea
2.AWB
3.Lindelof
4.Shaw
5Maguire(c)
6.Brandon
7.Bailly
Improvement zaidi ndo kitu tunachokitaka next season
Ulivoanza mwanzo nilikuona unajua kupangilia ila ulivomalizia ndo nimeona we shabiki maandazi
Halafu unamsikia Steve Mollel kaacha kuchunga ng'ombe huko anakuja kulalamika hapa tumebebwa
Itoshe kusema Ameen.1. Msimu 2019 Man U ilikuwa top 6
2. Msimu huu ilikuwa top 3
3. Msimu wa 2020/2021 Man U itakuwa top 2 (Nafikiri itakuwa ikipambana na Mancity huku ikifuatia Chelsea,Liverpool, Arsenal na Tottenham)
4. Msimu wa 2021/2022 Ma U itafuta Ukame wa miaka 8 bila ubigwa hivyo kutwaa taji laEPL.
5.Kuanzia msimu wa 2022 hadi 2042,,,,,,, (Utawala wa King Man U of Epl utarudi yaani Ferguson alivyoiacha Man u 2013 , basi Ile Domination Legacy itaendelezwa na hali itarudi kama zamani. Yaani from 1992 to 2013 Man u ilbeba 13 EPL for 20 years.
6. Hivyo Man u itaendeleza utawala kuanzia 2022 hadi 2043 with 13 titles for 20 years kama Ferguson alivyofanya.
Sasa ukitoa hiyo 13 titles atakayobeba Man U kwenye miaka 20,,, Hiyo miaka 7 ya ndani kwa ndani ambapo Man U akiwa habebi ,, Timu za Chelsea, Mancity , Liverpool na Arsenal mtatakiwa kukaa na Safu zenu za bodi pamoja na benchi la ufundi mkijadili mtakavyogawana kila mmoja taji kwenye hiyo miaka 7 tuliyowaachia, Yaani kama mlivyojadili from 1992 to 2013 huku maisha yakiendelea na babu Ferguson akifanya yake.
Sasa kama kuna mpinzani anayebishi wewe Screenshot hii message na tutakuwa tukikumbushana kila mwisho wa msimu kila lengo likiwa linatimia.
Wanasema Grealish anagharimu £80M.
Halafu jana kapoteza Ng’ombe wawili,Kondoo wanne na Mbuzi sita kwasababu ya kushangaa jinsi tulivyopiga pasi za kufa mtu



Wanasema Grealish anagharimu £80M.
Relax boy lets men do their workKule amna penati za kupewa pewa..![]()