Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,585
- 2,666
Ukiwa unaongea na basha wako uwe na nidhamuNyumbuVAR
Yaani nyie nyumbu bila VAR hampumui kabisa
Ukiwa unaongea na basha wako uwe na nidhamuNyumbuVAR
Yaani nyie nyumbu bila VAR hampumui kabisa
Jamaa hajui chochote amekurupuka toka usingizini.sikuiz playoffs hkun mzee kwa league za izi tano tngu mwaka jana hkuna play off
atakua katelezaJamaa hajui chochote amekurupuka toka usingizini.
Kuwa mpole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaangaika sana kama mtetea anayetafuta jogoo.
Ole kashusha daraja Watford wewe zezetaLampard kafundisha derby wewe zuzu
Kuna vitimu vimekaa top 4 karibu msimu mzima, halafu leo vimeangua namba 4,yaani vitaenda kucheza play off na timu za Uzbekistan ili waje wacheze UCL [emoji23][emoji23]
Mjumbe una taabika ahhh kwikwikwiMan mapenati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ikawaje
Kule amna penati za kupewa pewa..[emoji3][emoji3]Tuhamishie nguvu kwenye kusajili na europa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjumbe una taabika ahhh kwikwikwi
Tutoe Basi la penati[emoji3][emoji3]Man mapenati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bruno alikuwa anakata viuno tu leo kwanini asitolewe sasa★Asinge funga Goli Jesse Ling'z unazani hata wewe usinge mwongelea ubaya OLE embu acha unafki kisa kafunga maneno meeengi Me pamoja na kufunga hiyo substitution sijaielewa [emoji624]★
Mkuu kwahyo penalty kwa man u hazitakiwi ilihali mtu kakwatuliwa? TUUJUE MPIRABila penalty mambo hayaendi [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuliza mshono, halafu ukute unashabikia AssnoNyumbuVAR
Yaani nyie nyumbu bila VAR hampumui kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23]maisha bila unafiki hayaendiMnafiki sana wewe
umemchonga Lingard saiv unajiimbisha mapambio
Kwani penat sio goal?NyumbuPENATI