Manchester United (Red Devils) | Special Thread

manchesterunited___CDLn7VSIgoA___.jpeg
 
Lkn utd inanivusha msimu vema, tena ikiwa inapigania Europa.....hivi niulize wajuzi huwa siachi kuuliza
...je utd unasababu ya kupigania ueropa league wkt imeshavuka kwenda elite league?

Au kwa ajiliyakuliweka kwenye museum?
Europa cost €8M for Winners
 
Lkn utd inanivusha msimu vema, tena ikiwa inapigania Europa.....hivi niulize wajuzi huwa siachi kuuliza
...je utd unasababu ya kupigania ueropa league wkt imeshavuka kwenda elite league?

Au kwa ajiliyakuliweka kwenye museum?
Lile ni kombe, timu huwa zinasifika kwa kubeba makombe. Sio kuingia top4.

United kubeba Europa, kunaijengea timu mentality ya ushindi.

Kwenye timu yetu ni wachezaji wachache sana wamewahi, kupambana hadi kubeba makombe, Matic na De gea(ngazi ya club).
 
pogba nae lingard c wamechkua ueropa kipnd cha mournho
 
★Dirisha lipo wazi ngoja tuone Kocha ata sort kitu gani chakutufaa Maana ninahamu na msimu ujao mpaka naona kama wananichelewesha,ila me na hofu wachezaji watakuwa hawajapumzika vyakutosha maana likizo ndogo kweli wasije wakatuchezea utoporo
IMG_20200728_173430_116.jpeg
 
Back
Top Bottom