Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tutahitaji 3 big players kwaajili ya msimu ujao.

Center Back
Right Winger
Goalkeeper

Ondoa wachezaji wafuatao
Matta
Jones
Perreira
Rojo
Lingard
Sanchez
Smalling
Pandisha daraja wachezaji 3 kutoka kikosi cha pili tutawakimbiza Liverpool na Man City msimu ujao.
 
Tunae goolkeeper yupo Kwa mkopo ..sancho yuppo kweny radar yetu.
 
With Champions League qualification squad yetu inahitaj maboresho

1. Goalkeper Rudisha Dean Henderson
2. Central Back mmoja
3. Winger weka Sancho
4. Midfilder offload lingard pereira sajili Grealish kwa ajili ya squad Depth
5. Striker Mwengine kipind Ighalo anaondoka January tuwe na Mbadala
PLUS: Tusajiri kocha wa kutain our defending system. Correlation ya poor defenders and poor defending system inaiexpose man utd vibaya sana.
lakini pia kama inahitajika kumuuza pogba ipatikane hela ya usajiri auzwe tu.
 
Shida ni unamuuza pogba unamleta nani wa level zake?
Labda tusajili kwanza then auzwe but i wish kumwona pogba next season.
 
Hivi kwanini msiachane naye, mimi nimemkataza kuni quote, nikiwa masoma posts, nikikutana na yake siisome, yaani kama hayupo

Yaani hata kutumia muda wangu kumweka kwenye orodha ya ignore naona nampa kick

Msimjibu, atajidharau mwenyewe
Huu uzi umeingiliwa na huyu msng anajiita papaa gx sijui..anakera kisng yan..
Yan napata ht kichefuchefu ku-scroll kila ninapoona comments zake..

I think kama mashabiki wa utd tureport kila vomment ya kijinga anayoweka humu ili awe banned akili ikae sawa.
 
Screenshot_20200727-080715_Instagram.jpg
 
Shida ni unamuuza pogba unamleta nani wa level zake?
Labda tusajili kwanza then auzwe but i wish kumwona pogba next season.
Yap,, kwa mchezo wa Jana Pogba alikuwa vizuri na naona anaanza kurudisha imani yake kwa mashabiki! Nilimuangalia sana alijitahidi kutulia na kufikiri! Nilimshuhudia Mara kadhaa akigeuza uelekeo wa mpira kwa maslahi ya united na kutengeneza nafasi pamoja na kutoa pasi za maana japo kuna wakati alionekana kuwa mzito kidogo!
.
Tatizo washambuliaji wetu ni butu sana
 
Imetimia,hongereni fans wote kwa uvumilivu mkubwa katika msimu mzito huu,itoshe kusema Tumeuona mkono wa Bwana hahahahhaa!!! GGMU tukutane UEFA na next season.
Hatujamaliza msimu
Bado tunaspambana kubeba Europa
 
Kwenye mechi ya jana

Nimeona Man Utd yetu ikicheza kwa kuchoka kwenye mechi 3 au 4 zilizopita

Kuchoka kwa timu yetu, kwa asilimia kubwa kumechagizwa na kuchoka kwa Bruno Fernandez. Kama kuja kwake kumeibadilisha sana United positively, hivyo hivyo hata kuchoka kwake kumeifanya timu icheze vibaya.

Bruno amecheza mechi zote tangu aje United, tena zote dakika 90, nadhani ni mechi si zaidi ya 2 alizotolewa sub. He is not a machine, of course hata mashine zenyewe zinachoka.

Mechi ya jana kabla ya magoli, sisi mashabiki tuliona karibu kila mchezaji wetu anacheza ovyo (labda kasoro Lindelof tu), inawezekana ni kweli hawakucheza vizuri, lakini pia inawezekana kutokana na presha tuliyokuwa nayo sisi mashabiki, tuliona kila mchezaji anakosea kwa kila anachofanya. Najaribu kuwa objective hapa.

On Bruno

Kutokana na standards za Bruno, alicheza chini ya kiwango, lakini overall Bruno alidhihirisha yeye ni key man, katika key moments. Nakumbuka mapema sana ali penetrate pasi kwa Martial na akashindwa kuitumia, hata penati iliyopatikana kisha yeye kufunga, Bruno ndiye aliyetoa pasi ya kumtafutia lawama Martial (hizi pasi huwa naziita za kumtafutia lawama striker, kwa kuwa huwa ni pasi nzuri sana na striker akimisi goli anaonekana fala).

Tunamlaumu Bruno kupoteza mipira, ni kweli alipoteza mipira mingi. Lakini mchezaji yoyote anayetoa pasi za mbele, pasi za penetration na pasi za magoli, lazima pasi zake ziwe na risk kubwa ya kupotea, assists haziwezi kupatikana bila kutoa pasi zenye risk za kupotea.

Haiwezekani unataka kula yai halafu hutaki livunjike. Nakumbuka De Bruyne mechi yake na Arsenal, alipoteza mipira mingi sana kutokana na pasi zake kutofika kwa walengwa, hiyo ndio gharama ya kutoa telling pass. Sidhani kama tutafurahia pass success rate za Bruno ziwe 100%, lakini zote ni back pass na square pass (safe pass).

Itoshe kusema kuwa jana ilikuwa ni mechi ya kutafuta matokeo. Lakini mechi 4 za mwisho zimeonesha kwa wale waliokuwa wanaamini tunajitosheleza kwamba tunahitaji kusajili.
 
Jana nilielewa kwa NM man utd inahangaika kumpata sancho. inavyoelekea Rashford atakuja kukosa Namba.
Rashford LW, Sancho RW. Rashford hawezi kukosa namba kikosi cha Man. Utd ni msimu tu umemuishia vibaya ila he's one of my favorite ukiachana na hao wakina Greenwood sijui Fernandes. Jamaa anabadilika kwenda juu, natumaini msimu ujao atazidi kupanda zaidi.
 
Dah... Mkuu hujamtendea haki BF

Eti, sijui hao akina Fernandez

Fernandez ndo "reason" kwann tumefika top 4 msimu huu..usajiri wake umeibadilisha utd kbs..plus goals and assists..Fernandez ana-deserve heshima ya kutosha mkuu.
 
Hivi kwanini msiachane naye, mimi nimemkataza kuni quote, nikiwa masoma posts, nikikutana na yake siisome, yaani kama hayupo

Yaani hata kutumia muda wangu kumweka kwenye orodha ya ignore naona nampa kick

Msimjibu, atajidharau mwenyewe
Na mimi nilishamwambia..ila i just hate his sissy ass comments kwny nyuzi za wanaume..ananikera hajui tu..
Hii ndo shida ya malimbukeni wakipata smartphone
 
PLUS: Tusajiri kocha wa kutain our defending system. Correlation ya poor defenders and poor defending system inaiexpose man utd vibaya sana.
lakini pia kama inahitajika kumuuza pogba ipatikane hela ya usajiri auzwe tu.
Sahau kuhusu kocha..ngoja tumpe muda tuone..
 
Dah... Mkuu hujamtendea haki BF

Eti, sijui hao akina Fernandez
Bruno Fernandes ana heshima kubwa sana kutoka kwangu. Lugha tu ndio imeonyesha sijui mchango wake ila mchango wake nautambua na unatambulika kwa kila shabiki wa Manchester United. Ila nilichokuwa na-refer ni kutokana na comment ya mdau pale juu kuwa Sancho akitua Rashford atakosa namba.

Ndio nikaongezea kuwa Rashford ndio mchezaji wangu bora kwasasa ukiachana na yote aliyofanya Bruno (kwa heshima kubwa) naona Rashford msimu huu ameongeza juhudi ukiangalia tokea ameanza 2015/16 mpaka leo anazidi kupanda.
 
Back
Top Bottom