Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho alimaliza wa pili na akasema ni mafanikio makubwa Man Utd kumaliza katika nafasi hiyo, baadhi ya x players waliohojiwa wakati huo ni Ole, yeye alisema Man Utd ni club kubwa na hivyo nafasi siyo mafanikio. Sasa yeye kapewa timu na wachezaji anaowataka, kamaliza wa tatu huku akikimbia uwanja mzima na kuhubiri mafanikio makubwa aliyoyapata. Huyu ni kichekesho sana.
 
Mourinho alimaliza wa pili na akasema ni mafanikio makubwa Man Utd kumaliza katika nafasi hiyo, baadhi ya x players waliohojiwa wakati huo ni Ole, yeye alisema Man Utd ni club kubwa na hivyo nafasi siyo mafanikio. Sasa yeye kapewa timu na wachezaji anaowataka, kamaliza wa tatu huku akikimbia uwanja mzima na kuhubiri mafanikio makubwa aliyoyapata. Huyu ni kichekesho sana.
Mourinho tulishamfukuza bro mfuate huko aliko.

Ole at the wheel
 
I'm a Man Utd fan and completely against the idea to buy Grealish.

We need world class players kama kweli tunataka ubingwa.
Sijawahi kumuelewa mtu anaemuweka Grealish kwenye list ya wachezaji wa kununuliwa na United.

Huyu mchezaji yupo average sana. Na anacheza Aston Villa kwa sababu ana kiwango kidogo.
 
Tumefika nafasi ambayo Leceister walikuwa wametutunzia.

Chelsea wamebaki kwenye position yao waliokuwa wanaipigania.

Tukutane next season kwajili ya EPL Liverpool wajiandae kurudisha kombe katika jiji la manchester.
Nyie lengo lenu mlitaka kumaliza juu ya Chelsea..hongereni
 
1. Msimu 2019 Man U ilikuwa top 6
2. Msimu huu ilikuwa top 3
3. Msimu wa 2020/2021 Man U itakuwa top 2 (Nafikiri itakuwa ikipambana na Mancity huku ikifuatia Chelsea,Liverpool, Arsenal na Tottenham)
4. Msimu wa 2021/2022 Ma U itafuta Ukame wa miaka 8 bila ubigwa hivyo kutwaa taji laEPL.
5.Kuanzia msimu wa 2022 hadi 2042,,,,,,, (Utawala wa King Man U of Epl utarudi yaani Ferguson alivyoiacha Man u 2013 , basi Ile Domination Legacy itaendelezwa na hali itarudi kama zamani. Yaani from 1992 to 2013 Man u ilbeba 13 EPL for 20 years.
6. Hivyo Man u itaendeleza utawala kuanzia 2022 hadi 2043 with 13 titles for 20 years kama Ferguson alivyofanya.

Sasa ukitoa hiyo 13 titles atakayobeba Man U kwenye miaka 20,,, Hiyo miaka 7 ya ndani kwa ndani ambapo Man U akiwa habebi ,, Timu za Chelsea, Mancity , Liverpool na Arsenal mtatakiwa kukaa na Safu zenu za bodi pamoja na benchi la ufundi mkijadili mtakavyogawana kila mmoja taji kwenye hiyo miaka 7 tuliyowaachia, Yaani kama mlivyojadili from 1992 to 2013 huku maisha yakiendelea na babu Ferguson akifanya yake.


Sasa kama kuna mpinzani anayebishi wewe Screenshot hii message na tutakuwa tukikumbushana kila mwisho wa msimu kila lengo likiwa linatimia.
Alisikika mlevi mmoja.
 
Eti kubahatisha!! Yaan wewe unataka kuniambia 2018 mourinho alianza ligi akiwa nafasi ya 1 alafu baada mechi 6 nakumbuka nakumbuka alishuka nafasi ya pili mpaka ligi inaisha yupo nafasi ya pili , alafu wewe unasema hiyo ni kubahatisha. Basi na nyie ubingwa 2015 mourinho alibahatisha. Alafu sisi hatukuwa kuwa kwenye hizo za ajabu sijui no 10 au 9 au 11,,, Hizo ni nyie na Liverpool tu .

Pia Chelsea kusajili wakina Ziyech na Timo Werner sio chanzo cha kuwa mtarudi kutetea ubingwa, maana Uingereza walishakuja wengi ila wakawa chini ya kiwango na kupotea bila mafanikio na kurudi ligi zao.
Kwaiyo unataka kubisha alichoandika mkuu lembu ..toa hoja ya maana sio unabwabwaja hapa.

#CFC
 
Sijapendezwa sana na defence yetu kwenye hizi mechi za mwisho tumekuwa sio solid sana nyuma na hii inaweza kusahaulisha kazi nzuri iliyofanywa na defence yetu hapo kipindi cha nyuma,kitu ambacho sio fair

✓26 cleansheets in all competitions na ndo tunaoongoza barani ulaya msimu huu

Kuna namna tunataka beki zetu ziimarike zaidi ya hapa na kwa hili linaonyesha kuwa tunataka kuwa bora Uingereza na Ulaya na sio kupambana na Spurs,Arsenal na Leicester,maana kwa standard ya kawaida unaweza kusema tuna ukuta mzuri


Big shout out kwa;

1.De Gea
2.AWB
3.Lindelof
4.Shaw
5Maguire(c)
6.Brandon
7.Bailly

Improvement zaidi ndo kitu tunachokitaka next season
Bila kusahau mnaongoza kwa kupata penati nyingi
 
Kwaiyo unataka kubisha alichoandika mkuu lembu ..toa hoja ya maana sio unabwabwaja hapa.

#CFC
Mimi sijabisha mbona, mkuu lembu yupo sahihi kabisa hapa
Screenshot_20200726-161524.jpg
 
Kuna rumours kwamba UTD wanamtaka JAMES RODRIGUEZ wa madrid na wanajiandaa kuweka dau la £25MILL

MY TAKE; aje tu ila gharama isizidi £30mill maana tunahitaji squad depth.
 
Back
Top Bottom