Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapana ligi inayoongoza duniani kwa soccer ni EPL.

UEFA inaweza kuonekana kama wanapata nyingi kwa sababu ya kulinganisha na idadi ya games timu inazocheza mpaka kuwa Bingwa.

Game 6 makundi, na game 6 mitoano (home and away) na game 1 final. Total ni 13 games.

Ukichukua £80m gawa kwa 13 unapata wastani wa £6m kwa kila game.

Wakati EPL mshindi wa mwaka jana alipata £149m kwa kucheza mechi 38, ambapo ni wastani wa £3.9 kwa game.

Ila ukifanya kwa jumla, hata mtu wa mwisho EPL anaweza kupata sawa na bingwa wa UEFA.

Ukipata muda pitia Thread ya Man City, ukurasa wa 492 kama unatumia web view yenye 20 posts per page.

Tuliwahi kulijadili hili, UEFA, La Liga na EPL.

Hapo kwenye UEFA isomeke €80 - 90m.
Dah ahsante chief kwa maelezo mazuri, umekuwa muungwana sana...

Kwenye ngao ya jamii lazima nikupige.

Tunza hii komenti
 
Sisi hatutaki kujua tutalipwa kiasi gani, hata tusipolipwa ..heshima ya kuingia final na kubeba kombe itabaki pale pale..

#CFC
 
Kuna mambo yanashangaza sana, kikosi kilichokuwa na akina Phil Jones, Valencia, Ashly Young na Lingard mlitaka kichukue UEFA chini ya Mourinho, ila baada ya sajili kubwa zote , mnapigania kuingia nne bora huku wale pundits uchwara wakiwa wamefunga midomo. Unafiki ni kitu kibaya sana.
Morinho vs Ole
 
Ngao jamii mpaka sasa mshindi ni Chelsea. FA Cup nalipiza kipigo alichonipa Arsenane kwenye final 2017 halafu Community Shield nalipa ulivyo nipiga Super Cup mwaka jana.

London Is Blue

Sisi tunasubiri ajaye, kama ni nyinyi sawa, kama ni Arsenal sawa.

Battle ya What Color is London naisubiri fainal ya FA.
 
Hapana ligi inayoongoza duniani kwa soccer ni EPL.

UEFA inaweza kuonekana kama wanapata nyingi kwa sababu ya kulinganisha na idadi ya games timu inazocheza mpaka kuwa Bingwa.

Game 6 makundi, na game 6 mitoano (home and away) na game 1 final. Total ni 13 games.

Ukichukua £80m gawa kwa 13 unapata wastani wa £6m kwa kila game.

Wakati EPL mshindi wa mwaka jana alipata £149m kwa kucheza mechi 38, ambapo ni wastani wa £3.9 kwa game.

Ila ukifanya kwa jumla, hata mtu wa mwisho EPL anaweza kupata sawa na bingwa wa UEFA.

Ukipata muda pitia Thread ya Man City, ukurasa wa 492 kama unatumia web view yenye 20 posts per page.

Tuliwahi kulijadili hili, UEFA, La Liga na EPL.

Hapo kwenye UEFA isomeke €80 - 90m.
EPL hela ipo.

Hata usipochukua ubingwa, kuna vihela vya ajabuajabu unavipata.

Ndo maana timu ya 15 EPL inaweza kupigana kwenye usajili na timu kubwa za ligi nyingine.
 
Borussia Dortmund have beaten Manchester United to the signing of another promising young player, with Jude Bellingham to arrive from Birmingham City.

Bellingham, 17, signed a long-term contract with the Bundesliga side, though the exact length was not specified, and reportedly cost an initial €23million (£21m).

He will join up with his new team-mates on July 30 and wear the number 22 shirt for Dortmund.

The England youth international had appeared likely to head to Old Trafford following his emergence as a first-team regular at Birmingham this season.

But having seen Erling Haaland head to Dortmund instead of Manchester in January, Bellingham is also en route to the Bundesliga – a shorter path to the first team convincing him to pick Signal Iduna Park.
 
EPL hela ipo.

Hata usipochukua ubingwa, kuna vihela vya ajabuajabu unavipata.

Ndo maana timu ya 15 EPL inaweza kupigana kwenye usajili na timu kubwa za ligi nyingine.

Kabisa aisee, ndiyo maana hata ligi inakuwa ngumu kwa sababu timu ndogo zinaweza kufanya usajili wa akili zikasumbua wakubwa.

Report ya 2017/2018, timu ya mwisho EPL ilipata £94.6m (West Brom) wakati bingwa wa UEFA alipata €88.6m ambayo ni around £75m.

Unaona hapo gap lilivyo kuwa kubwa hapo vs UEFA.
 
✓Wan Bissaka kama ataanza msimu ujao namna hii anavyocheza baada ya corona break,basi inabidi tuingie sokoni tu mapema..Poor ball control,Poor crossing and Poor defending ndo mambo anayoyafanya tokea ligi irudi

✓Maguire+Lindelof=Sijawahi kuamini kama ni strong CB combination inayoweza kutufanya tukimbize ulaya..Maguire ana makosa madogo madogo mengi na Lindelof ni mlaini at times na pia huwa analala usingizi uwanjani at times..Big Big worry

✓David De Gea naye ni tatizo..Siku hizi mechi moja anacheza poa,saves za kutosha,then mechi ijayo anafungwa vigoli vya kichoko..That's his trend now..At this point nisingewaza,ningemleta Dean Henderson nyumbani

-Ole inabidi afanye kazi kubwa sana kwenye defence yetu..japo toka january hatukuwa vibaya sana lakini hii sio defence ya kuchallenge ligi kuu au kupambana Ulaya

Chelsea wametufunga easy goals sana jana..

Let's fight for the UCL spot

GGMU
 
✓Wan Bissaka kama ataanza msimu ujao namna hii anavyocheza baada ya corona break,basi inabidi tuingie sokoni tu mapema..Poor ball control,Poor crossing and Poor defending ndo mambo anayoyafanya tokea ligi irudi

✓Maguire+Lindelof=Sijawahi kuamini kama ni strong CB combination inayoweza kutufanya tukimbize ulaya..Maguire ana makosa madogo madogo mengi na Lindelof ni mlaini at times na pia huwa analala usingizi uwanjani at times..Big Big worry

✓David De Gea naye ni tatizo..Siku hizi mechi moja anacheza poa,saves za kutosha,then mechi ijayo anafungwa vigoli vya kichoko..That's his trend now..At this point nisingewaza,ningemleta Dean Henderson nyumbani

-Ole inabidi afanye kazi kubwa sana kwenye defence yetu..japo toka january hatukuwa vibaya sana lakini hii sio defence ya kuchallange ligi kuu au kupambana Ulaya

Chelsea wametufunga easy goals sana jana..

Let's fight for the UCL spot

GGMU
Kumbe mmeshajua weakness zenu maana huku mitaani na ule moto Wa gesi nyumbu walishajiaminisha EPL msimu ujao ni yao, uefa msimu ujao ni yao...BTW huyu bissaka si ndo alikuwa anapambwa kwa nyimbo za mapambio kwamba anakaba hadi roho imekuwaje yupo poor in defending
 
Kuna baadhi ya mashabiki wa Chelsea nimeona wanawaaminisha watu kuwa kombe la FA lina hela sana kuliko Man Utd kuingia UCL, kiukweli mashabiki wengi wa Chelsea huwa wana uelewa mdogo sana kuhusu football, ni kama wa Man City, Tottenham na mwakani Newcastle

Mwaka jana ma finalists, Watford na Man City walipata £1.8M kila mmoja.

Msimu wa mwaka jana Man City alipata £151M japo alikuwa mshindi na Liverpool alipata £152M. United alipata £143 na Arsenal alipata £142 japo Arsenal alimaliza ligi mbele ya United, hii inatokana TV deals. Hii ni kwenye ligi kuu.

Wakati ma finalists wa FA walilipwa £1.8M ma semi finalists walilipwa £ 0.9M

United asipokwenda UEFA Champions League msimu huu, atakatwa na Adidas £20M upward. Wakati huo huo United ataweza kupoteza potential deals kutokana na kutoingia UCL.

Kuna makala nilisoma United anaweza kupoteza up to £100M endapo hataingia UCL, kumbuka kila hatua UCL ina mpunga wake, tena mrefu.

Hapa sijaongelea kushindwa kusajili baadhi ya wachezaji nyota endapo United hataingia UCL.

Ni dhahiri shahiri OGS anatazama zaidi UCL qualifications kuliko FA, japo mashabiki tunataka vyote.
Ahsante. Fans with facts.
 
tumeamua kujificha zaidi kwenye hoja ya uchovu uliosababishwa na mapumziko mafupi tulioyapata baada ya kucheza na crystal palace, labda ni kwa sababu ni jambo rahisi zaidi kuliongelea kuliko tactics, set up ya timu, team choice, aina ya wachezaji tulionao na style yetu ya kiuchezaji.
kwa kuweka kumbukumbu zetu kwa usahihi ni mason greenwood, pogba na martial ndio walianzia benchi kwenye mechi yetu ya jana kwa wachezaji wa kikosi cha kwanza baada ya corona.​

tukirudi nyuma Southampton kabla ya mechi yetu ndani ya siku sita walicheza na manchester city pamoja na everton na zote hizo ni team zinazocheza vizuri sana, soton hawana kikosi kipana kama sisi hivyo basi kwa kiasi kikubwa unakuta wachezaji wao wa kikosi cha kwanza wanacheza kwa dakika nyingi (lack of rotation) , kilichotokezea kwenye mechi ile wao walicheza vizuri zaidi kana kwamba wana kikosi kikubwa kutuzidi sisi.

hata kwa upande wa chelsea nao walikosa huduma ya pulisic na ngolo kante ambao wote ni wachezaji wa kikosi cha kwanza lakini bado walionekana kuwa vizuri zaidi kiuchezaji kuliko sisi,

kwa ufupi timu yetu inasumbuliwa na matatizo mawili makubwa sana ambayo hatupendi kuyazungumzia.
  • tunateseka mno tunapocheza na timu zinazojilinda (two blocks) hatupigi cross, hatuingii kwenye eneo la adui kiurahisi, rejea mechi yetu ya spurs kwa raundi ya pili na mechi zetu nyingi tulizocheza round ya kwanza ukiondoa ile ya chelsea (ile mechi walicheza kama kundi la walevi)
  • tunateseka zaidi na zaidi pindi tunapocheza na timu zinazo pressing: na hili tatizo limeendelea kuwa sugu zaidi na limeshakosa tiba na litaendelea kutusumbua, rejea mechi zetu na liverpool, manchester city, southampton (mechi zote mbili)
tofauti na manchester city (guardiola ni mwanadamu anayeishi na fikra zisizobadilika) , jana chelsea waliingia uwanjani huku wakiwa wameyafahamu fika matatizo yetu hayo mawili hivyo basi walihakikisha wanajilinda vizuri ( didn’t exploit their space ), pia wanatupa presha muda wote (kovacic ameendelea kuwa ni master wa kuzivunja timu pinzani) bila ya kusahau pressing in the final third wakiongozwa na giroud (muda mwingi alisababisha defence line yetu ivunjike)

ukicheza hivyo tu basi baadhi ya wachezaji wetu ukimuondoa nemanja matic wanakuwa clueless, panicky, lacking calmness under pressure na bahati mbaya zaidi hili tatizo hata benchi letu la ufundi nahisi wameshindwa kulifanyia kazi.

our pressing return imeendelea kuwa ni poor dhidi yao, Too often passes were misplaced, wachezaji wetu wanalose possession ovyo (wan bissaka anaongoza kulose possession and poor ball control) na hatimaye tunakosa mtego sahihi wa kuwawekea maadui (tunajificha kwenye failure counter attack)

kwa mfano
  1. mechi yetu ya mwanzo dhidi ya southampton tulilose possession mara 183 na mechi yetu ya marejeo dhidi ya hao southampton tulilose possession mara 141, ina maana benchi la ufundi walishindwa kuja na mbinu sahihi ya kuondokanwa na hilo tatizo
  2. United’s passing accuracy kipindi cha kwanza dhidi ya soton ilikuwa ni 81% lakini kipindi cha pili ilikuwa ni 71%
Swali la kujiuliza laiti kama tungelicheza na timu mfano wa cystal palace, aston villa, bournermouth na nyenginezo tungelicheza mpira ule wa jana kwa hoja ya uchovu?
sidhani
====================================
Sevilla wanatusalimia kwenye michuano ya Europa, kinyume chake tuombe watolewa na AS ROMA (tunalihitaji lile kombe)

marcelo bielsa amerudi (wengi wetu tunaikumbuka ile adhabu aliyotupatia akiwa atletico bilbao, waliokuwa hawajazaliwa kwenye soka kipindi hicho basi kamtafute iker munian, ander herrera wa siku ile na llorente).

klopp bado yupo

Southampton bado wapo na mjerumani

arteta msingi wake umeshaanza kukaza nadhani tumeiona pressing na rebuilding ya arsenal mechi za karibuni (goli la juzi waligusa mpira takribani mara 30)

tuendelee kujificha kwenye mfumo wa 3-4-3 au 3-5-2 huku tukiendelea kulipuuzia tatizo kubwa zaidi.
GGMU
===================
Wasipokuelewa watakuwa na matatizo makubwa kichwani.Kudos mzee kwa uchambuzi murua kabisa.
 
Back
Top Bottom