kufungwa ni kufungwa tu hakuna shabiki anaependa kufungwa★Kuna watu wanasumbuliwa na matatizo ya akili mi nawaona tu ushindi wa leo wamechachamaa ka konda alonyimwa nauli,tulikuwa tunawapiga 4 kavu leo wao 1-3 lakini kelele zake sasa [emoji23]★
★Kuna watu wanasumbuliwa na matatizo ya akili mi nawaona tu ushindi wa leo wamechachamaa ka konda alonyimwa nauli,tulikuwa tunawapiga 4 kavu leo wao 1-3 lakini kelele zake sasa [emoji23]★
Hahahahahahahaha★Kumbe hata kante hatakuwepo yani kikosi kilivyo kibovu kakosa tena mtu wa afadhari na bado wanatutambia mi sitasema sana tukutane saa 2 Usiku [emoji23]
Official: N'Golo Kanté will miss Sunday's FA Cup game between Man Untd and Chelsea, Lampard says. ★
manutd | View attachment 1511042
HahahahahahahahaMan 3 che 0
HahahahahahahahaNani hampendi Special One??..Mpira bila unafki hauwezi kwenda..
One man down..Bado mmoja wa saa mbili
GGMU..
Endelea kubaki uko uko...Nipo TOT kwa mkopo
HahahahahahahahaHiki kikosi kweli mbona sio poa tunaenda kupiga counter tu leo
Hahahahahahahaha utakuwa vitu viwili tofautiKesho nataka nije hapa nisome Comments tu za Washabiki wa hii Timu halafu nizilinganishe na zile comments za tangu iliporejea Ligi baada ya Corona mpaka kufikia Jana.
Magwaya tumepigwa aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiki kipigo cha leo kusema ukweli ole amejitakia mwenyewe...halafu huyu Magwaya mbona kama tumepigwa wazee?
Siku si nying wanaenda kupigwa kwa sanchoManchester United the biggest failure in the world football
£80 ml Maguire no trophy
£65ml Bruno no trophy
£55 ml Bissaka no trophy
£ 200 ML O TROPHY
Leicester city nakutegemea sasa.
HahahahahahahahaIsingekuwa poa tuwapige mara zote 4 kwa msimu, hata Aston Villa hawezi kukunali., so ilikuwa lazima tuache Chelsea ashinde kumlindia heshima.
Target yetu sisi ni top 3.
Uyu amekaa peke yake anavaa barakoa [emoji3][emoji3][emoji3]Ed Woodward's face looks very unpleasantView attachment 1511259
HahahahahahahahaManchester United the biggest failure in the world football
£80 ml Maguire no trophy
£65ml Bruno no trophy
£55 ml Bissaka no trophy
£ 200 ML O TROPHY
Leicester city nakutegemea sasa.