Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bruno ni sawa na Pogba wawili

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata bruno mwenyewe mkuu ukimwambia hivi atakushangaa kifupi bruno kaja kipindi ambacho wachezaj wote wamepata fom yao hasa viungo fred,matic na scott unaona hata clean sheet tunapata pogba alihangaika ukiangalia viungo wote katikati walikuwa hovyo hebu fikiria lingard anacheza nyuma ya martial na rashford halafu tunamponda pogba

Narudia simtetei pogba na sipend auzwe timu nzur huundwa na viungo imara kuna muda tutahitaj pasi ndefu basi pogba ni dawa kuna vitu vingi sana bruno kazidiwa na pogba skills, umiliki wa mpira na hata upigaji wa pasi ndefu pogba akituliza akili ni mnyama
 
Mechi imekuwa rahisi sana nadhan hata kocha hakutegemea

Goli la Ighalo tamu na goli la Greenwood hadi wamempigia makofi

Mdogo mdogo tutafika tunapokwenda

GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa sasa toka tumuongeze bruno na igalo mpira umeanza kuonekana na vile kocha anataka wachezaj wawili au watatu angalau tutaanza kuona ile manchester united maana kwa sasa hata mafasi zinatengenezwa nyingi sana yaani had manchester city alizidiwa kutengeneza nafasi na timu yetu uelekeo ni mzur sasa
 
Tatizo ni lini atatuliza akili?Inawezekana akili yake haijatulia kwakua yupo utd.
Hata bruno mwenyewe mkuu ukimwambia hivi atakushangaa kifupi bruno kaja kipindi ambacho wachezaj wote wamepata fom yao hasa viungo fred,matic na scott unaona hata clean sheet tunapata pogba alihangaika ukiangalia viungo wote katikati walikuwa hovyo hebu fikiria lingard anacheza nyuma ya martial na rashford halafu tunamponda pogba

Narudia simtetei pogba na sipend auzwe timu nzur huundwa na viungo imara kuna muda tutahitaj pasi ndefu basi pogba ni dawa kuna vitu vingi sana bruno kazidiwa na pogba skills, umiliki wa mpira na hata upigaji wa pasi ndefu pogba akituliza akili ni mnyama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukipata wachezaji angalau 3 wengine,

Next season Ole akifanya kazi yake vizuri,

Tutakuwa tunashindania EPL, sio top four
inasemekana tumefikisha mechi 11 bila ya kupoteza, kivyovyote kuna mabadiliko makubwa sana ya kiucheza ambayo tumeyapitia kwa nyakati hizi na ni tumaini la kila mdau wa man utd kuendelea kuomba hali hii tunayokwenda nayo izidi kuimarika zaidi na si kurudi tena nyuma kama ilivyokuwa msimu uliopita.

LASK waliwafunga sporting lisbon,PSV, AZ alkamaar cha kufurahisha zaidi hawa jamaa waliruhusu magoli manne kwenye kampeni yao ya EL (ila leo tumewafunga magoli matano kupitia wachezaji tofauti)

andreas perreira na jesse lingard ndio wanadamu waliokuwa wanasababisha uwanjani tuwe pungufu pindi tunapocheza na kibaya zaidi tulikosa wachezaji wa kuziba nafasi zao (si kwa sababu hawakuwepo wachezaji wa kuchukua nafasi zao bali na wao pia hawakuwa kwenye viwango vyenye kueleweka).

fred alikuwa ovyo ila kwa sasa yupo vizuri
nemanja matic alipoteza muelekeo baadae akapata majeruhi, kuumia kwa mctominay kulimrudisha upya nemanja matic kwenye ulimwengu wa soka (kwa sasa unahitaji kuwa na degree ya roho mbaya pindi unapochagua mchezaji wa kuanza kwenye mechi kati ya nemanja matic na scott mctominay)

brandon williams amenivutia sana eneo la upande wa kulia (dogo ni asset inayo-ongezeka thamani ya ubora kama ilivyo ardhi).

victor lindeloff vs eric bailly (hii ni mechi ngumu sana)
bruno fernandez vs paul pogba (nimeshakata tiketi ya kushuhudia huu mpambano wa wanaume)

tumebakisha wachezaji watatu hadi wanne ili tuwe na timu ya ushindani.​

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Man united ya sasa bado inamhitaji Sergej Millinkovic Savic?

Hivi Man united ya sasa bado inamhitaji Milan Skinniar ?

Hivi Man united ya sasa bado inamhitaji Khalidou Koulibally ?

Hivi Man united ya sasa bado inamhitaji Mauricio Pochetino ?

Hivi Man united ya sasa bado inamhitaji Masmilliano Allegry ?

Najaribu kujiuliza tu

Mkuu Daemusin credit kwa andiko lako.

Unadhani ni maeneo gani sasa ambayo tunapaswa kuweka kipaumbele ili kuimarisha kikosi chetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Man united ya sasa bado inamhitaji Sergej Millinkovic Savic?

Hivi Man united ya sasa bado inamhitaji Milan Skinniar ?

Hivi Man united ya sasa bado inamhitaji Khalidou Koulibally ?

Hivi Man united ya sasa bado inamhitaji Mauricio Pochetino ?

Hivi Man united ya sasa bado inamhitaji Masmilliano Allegry ?

Najaribu kujiuliza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Pogba anaondoka Sms muhimu, Sms na pogba uchezaji wao unafanana ni complete package.

Priority yetu iwe kwa sancho, awb ame improve sana ila bila winga wa kulia tutamsingizia kila siku hajui kushambulia. Mtu kama Sancho naamini atatu improve kama bruno ama hata zaidi,
 
Hawa Tayhari washanasa daaah
Corona Corona Corona Virus

Anakaribia kutuharibia shughuli

Baada ya mechi kuanza kuchezwa bila mashabiki huko Italia, sasa mechi zimeahirishwa mpaka April

Mechi ya UCL kati ya Barca VS Napoli itachezwa bila mashabiki

Dalili zinaonesha ligi nyingi zitaahirishwa hiki kirusi kikiendelea, nimesikia mmiliki wa Nottingham forest amejitangaza kuwa ana kirusi na amejitenga na jamii (sijui yupo Uingereza? )

God forbid hiki kirusi kisiendelee kutamba, watu wanaendelea kufa na ligi za soka/michezo zinaweza kusimama mashabiki tukakosa utamu wa burudani ya soka

Ligi inaweza kuwa canceled Liverpool wasichukue ubingwa, Man Utd tusiingie top 4

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2020-03-13-11-41-38.jpeg
Screenshot_2020-03-13-11-40-43.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmm hapana dogo mzur sana mfumo wa diego ni hatar kwa kipaji chake
baadhi ya nyakati wachezaji wa ulaya ambao tunawafahamu kama ni professional (wa tabia, matendo na fikra) hufanya maamuzi ambayo hayatofautiani na yale yanayochukuliwa na wachezaji wa kiswahili (unampongeza samatta kwa kucheza aston villa ila wewe unakataa ofa ya tp mazembe, unakimbia sweden na unaikataa al ahly ya sudan kwa sababu ya hamida)

diego simeone ameshafundisha atletico madrid kwa takribani miaka mitano na falsafa yake ya ufundishaji haijabadilika hata kwa sekunde moja (ni mtu anayeamini team work kuliko kutegemea miujiza ya mchezaji mmoja).

huyo felix alikuwa halifahamu jambo hili pamoja na washauri wake?

ndio yale ya alexander hleb (fundi) anaondoka arsenal akiwa ni mchezaji muhimu sana na hatimaye anaelekea barcelona akiamini kwa uwezo aliojaaliwa hatoweza kuwekwa nje, kwa akili ya kawaida ina maana alexander alikuwa hafahamu ya kwamba kwa uwezo aliokuwa nao na style yake ya uchezaji hatoweza kumweka nje andreas iniesta pamoja na thiery henry kwenye mfumo wa 4-3-3?

pia rejea ishu ya:
alexander song na barcelona ya sergio bosquet
mascherano na barcelona ya sergio bosquet
cesc fabregas dhidi ya xavi hernandez

sipingani na sera au tabia ya mchezaji kwenda kutafuta changamoto mpya ya kazi yake bali napingana na tabia ya mchezaji husika kuhama sehemu ambayo inaweza kumhudumia mahitaji yake yote na kuelekea sehemu ambayo haitoweza kumhudumia kimahitaji (wengi wao hufikiria mahitaji muhimu ni ongezeko la mshahara na makombe).

joao felix alihitaji timu mfano wa borussia dortmund ila kwa mazingira ya usajili wake isingeliwezekana kwa sababu kila upande ulishaonyesha tamaa ya kuvuna fedha haramu bila ya kuangalia mustakabali wa felix kikazi.

atletico wamelipa takribani paundi millioni 100 kupata huduma yake, ni vigumu sana kumpata mjinga wa kulipa zaidi ya kiwango kama hicho au asilimia 70 ya kiwango hicho (kumuuza kwa bei ya hasara).

labda vichaa wanaoitwa barcelona wanaweza kulipa fedha kama hiyo, kama waliweza kulipa kwa dembele, coutinho, griezman, (paulinho na malcom) kwa nini wasilipe haliyakuwa wanatafuta mbadala wa lionel messi.

kinyume chake itakapomaliza corona miaka miwili ijayo huenda tukamuona joao felix kwenye ardhi ya china au japan akicheza soka pamoja na iniesta, hulk, ramirez, oscar n.k

----------------------------------------------------------
Alexander Hleb has admitted that he “made a mistake” leaving Arsenal for Barcelona in 2008. The Belorussian moved to Spain for a fee in the region of €15 million but failed to make an impact, being loaned out after just one season before finally leaving the club on a permanent basis in 2012.
 
Back
Top Bottom