Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,805
mechi ijayo waanze kina mjebri na mengi sasa
May be you talk about my new ID, you don't know me anyway
You are a Pogba hater but my fan.. that's is what my old ID talks.
chekini kichwa maji hiki.
inasemekana tumefikisha mechi 11 bila ya kupoteza, kivyovyote kuna mabadiliko makubwa sana ya kiucheza ambayo tumeyapitia kwa nyakati hizi na ni tumaini la kila mdau wa man utd kuendelea kuomba hali hii tunayokwenda nayo izidi kuimarika zaidi na si kurudi tena nyuma kama ilivyokuwa msimu uliopita.Easy
5-0 ..James kafunga labda ataanza kupunguza uchoyo au kuongeza umakini wakati anafanya maamuzi
GGMU
Mkuu unatumia app gani..??Ighalo, James, Mata, Greenwood & Pereira [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]View attachment 1386295
Sent using Jamii Forums mobile app
shoutout kwa matic na shaw, wengi wanacredit kwa bruno, ighalo na wachezaji wengine wa ushambuliaji ila hawa jamaa wawili toka warudi na uwepo wa maguire na awb umetufanya tumekuwa ngome kubwa. hizi mechi 11 tulizoshinda 9 ni cleansheet, na hizo mbili tulizoruhusu magoli ni dhidi ya everton na club bruge, mechi zote mbili Romero na De gea walitoa zawadi ya magoli, hivyo unaona jinsi tulivyo imrove ghafla toka arudi matic na shaw.inasemekana tumefikisha mechi 11 bila ya kupoteza, kivyovyote kuna mabadiliko makubwa sana ya kiucheza ambayo tumeyapitia kwa nyakati hizi na ni tumaini la kila mdau wa man utd kuendelea kuomba hali hii tunayokwenda nayo izidi kuimarika zaidi na si kurudi tena nyuma kama ilivyokuwa msimu uliopita.
LASK waliwafunga sporting lisbon,PSV, AZ alkamaar cha kufurahisha zaidi hawa jamaa waliruhusu magoli manne kwenye kampeni yao ya EL (ila leo tumewafunga magoli matano kupitia wachezaji tofauti)
andreas perreira na jesse lingard ndio wanadamu waliokuwa wanasababisha uwanjani tuwe pungufu pindi tunapocheza na kibaya zaidi tulikosa wachezaji wa kuziba nafasi zao (si kwa sababu hawakuwepo wachezaji wa kuchukua nafasi zao bali na wao pia hawakuwa kwenye viwango vyenye kueleweka).
fred alikuwa ovyo ila kwa sasa yupo vizuri
nemanja matic alipoteza muelekeo baadae akapata majeruhi, kuumia kwa mctominay kulimrudisha upya nemanja matic kwenye ulimwengu wa soka (kwa sasa unahitaji kuwa na degree ya roho mbaya pindi unapochagua mchezaji wa kuanza kwenye mechi kati ya nemanja matic na scott mctominay)
brandon williams amenivutia sana eneo la upande wa kulia (dogo ni asset inayo-ongezeka thamani ya ubora kama ilivyo ardhi).
victor lindeloff vs eric bailly (hii ni mechi ngumu sana)
bruno fernandez vs paul pogba (nimeshakata tiketi ya kushuhudia huu mpambano wa wanaume)
tumebakisha wachezaji watatu hadi wanne ili tuwe na timu ya ushindani.
Kuna dogo anaitwa Mello nae aanze.mechi ijayo waanze kina mjebri na mengi sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]For all those that missed the match this is the highlights[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1386357
tuachane na huu mjadala mpaka asubuhi inshaallah.....shoutout kwa matic na shaw, wengi wanacredit kwa bruno, ighalo