Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Upo sawa

Kwangu mimi United and Paul needs to separate for every part best interests

Kwangu mimi pande hizo zilifikia point of no return pale PP aliposema anahitaji new challenge summer iliyopita, pale Raiola aliposema hata Pele na Maradona wange flop wakichezea United, pale kaka zake zaidi ya mara moja walipoweka wazi kuwa PP ataondoka United.

Kuna uoumbavu mwingi sana uliofanywa na Pogba's camp katika kui undermine my Manchester United, that should never be tolerated.

Siku akiondoka nitakula pilau, walahi hata kama hiyo ratiba haikuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu na mm nitakula pilau aisee we need to separate with this man with his kindergarten mouth

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So ikitokea kuna watu wa Pogba wanazungumza kauli chafu juu ya club, na Pogba kakaa kimya akiwa busy anatekeleza yanayomuhusu tu, U suggest better auzwe...!! [if I capture your point well]

Pogba ni mbuzi kama mbuzi wengime binafsi sijawahi kuliona jambo la maana alilolifanya kwenye timu zaidi ya kubadili mitindo ya nywele.
Ni bora tumrudishe Macheda au Januzaj kuliko kuendelea kumbembeleza kirusi.
 
So ikitokea kuna watu wa Pogba wanazungumza kauli chafu juu ya club, na Pogba kakaa kimya akiwa busy anatekeleza yanayomuhusu tu, U suggest better auzwe...!! [if I capture your point well]
sio watu bali ni wakala wake ambaye anamuakilisha yeye..usipindishe mambo

Anashindwa nini kumuambia atulie??
 
So ikitokea kuna watu wa Pogba wanazungumza kauli chafu juu ya club, na Pogba kakaa kimya akiwa busy anatekeleza yanayomuhusu tu, U suggest better auzwe...!! [if I capture your point well]
Wewe unamng'ang'ania kirusi wa nini? Wa kazi gani yule mpaka rangi nywele? Toka tumsajiri katusaidia nini cha maana zaidi ya kutuvuruga tu akisaidiana na wakala wake raiola + kaka zake, hivi unafaham now hata real madrid hawamuitaji kwasababu ya unprofessional behaviour? Wewe unafikiri Zizu anataka uchafu? Perez alishawai ulizwa kuhusu pogba akajibu pogba ndio nani mbona hamtambui?

Pogba anachoifanyia Manutd club gani kubwa itakubali kuvunja bank kwa mchezaji asiyejitambua?

Huyu tumpeleke Italy kwenye ligi isiyo na mvuto (Juventus) kwenye corona virus hata kwa bei ya hasara

Ebu tazama professional player like Bruno have only 38days ila kashateka dressing room, he play for a badge, he is Premier league player for the month, he is a leader, kaleta spirit ya ajabu pale carington yaani now kila mchezaji anajituma %

Carington tabasamu limerudi upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa
Screenshot_20200312_110054_com.android.chrome.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba Joao Felix ana kipaji kikubwa sana tena sana huwezi kumlinganisha na Greenwood.

Tatizo linalomsumbua amekuwa akipata injury za mara kwa mara game ya jana ni ya pili toka arejee kutoka kwenye majeraha.

Aina ya timu anayocheza pia huenda ikachangia sana kupungua kwa impacts yake sababu kubwa timu anayocheza 70% ya mechi huwa wanajilinda tu.

Atletico Madridi pia inajengwa upya kutoka ingizo la wachezaji wapya wengi sana kwenye first eleven yao.


Ngoja tuone next season atafanyaje
Huyu mtoto ana talent kubwa lakini bado, niliwahi kusema humu, tena kumleta timu kama United yenye pressure ndio angeharibika kabisa

Niliwahi kusema hata Greenwood anamzidi magoli


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu walikuwa wanamtukana Ole humu, wengine wakawa wanamponda Bruno kwamba tulitakiwa tumsajili Felix na Sio bruno. Sasa hivi kimya.

Unachekesha watu wewe kwa kusema vitu ambavyo Dunia ya soka itakushangaa. Kwa kipindi kile Joao Felix alikua bora zaidi na mpaka sasa Dogo ni mkali tatizo mnaona ameshuka kutokana na timu aliyoenda mpira wa atletico na style of play ya Felix ni usiku na mchana haviendani. Atletico mostly wanacheza defensive style sasa unategemea Felix atangaa vp. He made a wrong decision kuenda Atletico quality yake ni nzuri kuliko Bruno hata thamani yake ni ushahidi tosha.
Bruno ni mkali na ninamkubali ila kwa Felix dogo anajua zaidi asee.
 
Back
Top Bottom