Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

CORONA isikutishe mazee..ilishatabiriwa inapotea yenyewe soon...
GGMU..Tumalize hii tie mapema kabisa

sema Corona this shi.t is real mazee
IMG-20200312-WA0053.jpeg
IMG-20200312-WA0052.jpeg
IMG-20200312-WA0054.jpeg
IMG-20200312-WA0056.jpeg
IMG-20200312-WA0055.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wamepata kiburi sana baada ya kuja Bruno.
Eti," we don't need Pogba " Really?
Time will tell...!
Watu wana hasira na Pogba ila binafsi naona yutakuwa mafara sana kumwachia Pogba aondoke. Kuwatumia na Bruno inawezekana sana. Lazima tuwe na big names wengi kwenye kikosi, ndipo tuta-mantain brand

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wana hasira na Pogba ila binafsi naona yutakuwa mafara sana kumwachia Pogba aondoke. Kuwatumia na Bruno inawezekana sana. Lazima tuwe na big names wengi kwenye kikosi, ndipo tuta-mantain brand

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa hivi pp brand inategemea zaidi kuwepo kwake utd, akiondoka itaenda kudorora vibaya mno..... ilalivyo kichwa maji na mjivuno anafikiri brand yake ndo inabeba utd kwa sasa hivi.

Time will tell

Sent using my Audi A6 2017 model
 
Hivi pp kuna namba pale utd ambayo ametamani kucheza hakupangwa!!!? Hivi pp ukitoa TU tuchenga anatopiga bila kuwa makini hadi anapoteza mpira au anatoa pasi mbovu(kwa mtu aliye zungukwa na maadui mpira unapotea) na kukapa hanaremba hivyo kujikuta ni mtalii uwanjani, nni pp anafanya cha maana....

Labda tukubaliane kuto kukubaliana, kuwa pp kwa uchezaji wa utd hatokuja kukaa akawa na mchango wa maana labda wa gemu moja moja (hivyo awe anaanzia sub au anatolewea mapema gemu ikimgomea) kuliko kuwa na wachezaji 10 uwanjani

Otherwise mchango wake kwenye timu ni mdodo mno ki wastani kwa msimu, ukimlinganisha na KDB na E, Hazard kipindi alivyokuwapo Chelsea
Sent using my Audi A6 2017 model
Assists za Pogba huwa ni classic sana. Ana skills wa kupiga mipira saizi zote, mikubwa na midogo kitu ambacho wachezaji wengi wanatamani!! In short uchezaji wa Paul km hana stress pekee ni kivutio kwa mashabiki na ni business

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi pp kuna namba pale utd ambayo ametamani kucheza hakupangwa!!!? Hivi pp ukitoa TU tuchenga anatopiga bila kuwa makini hadi anapoteza mpira au anatoa pasi mbovu(kwa mtu aliye zungukwa na maadui mpira unapotea) na kukapa hanaremba hivyo kujikuta ni mtalii uwanjani, nni pp anafanya cha maana....

Labda tukubaliane kuto kukubaliana, kuwa pp kwa uchezaji wa utd hatokuja kukaa akawa na mchango wa maana labda wa gemu moja moja (hivyo awe anaanzia sub au anatolewea mapema gemu ikimgomea) kuliko kuwa na wachezaji 10 uwanjani

Otherwise mchango wake kwenye timu ni mdodo mno ki wastani kwa msimu, ukimlinganisha na KDB na E, Hazard kipindi alivyokuwapo Chelsea
Sent using my Audi A6 2017 model
Wachezaji wanaojua hawachezagi kwa kukamia km akina Hazard na Kelvin. Mcheki Mesi, hatoki hata jasho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom