ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Pogba ni Baloteli aliyechangamka
Sent using Jamii Forums mobile app
Breaking news;POGBA KUBAKI UTD!??
kuna taarufa zimetoka kwamba kuna uwezekano wa pogba kubaki UTD 7bu ya kutokuwa na suitor aliye tayari kulipa dau kubwa kumnunua na Kumlipa mshahara mkubwa atakao utaka..
Kwa kukumbushia JUVE pekee ndo panaonekana ni likely destination ya pogba since Madrid walishajitoa kwny mbio za kumnunua kutokana na kina bwana mdogo Valverde kukichafua pale kati..
My take; Muda utatupa majibu..tuwe wavumilivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
zinaonesha ligi nyingi zitaahirishwa hiki kirusi kikiendelea, nimesikia mmiliki wa Nottingham forest amejitangaza kuwa ana kirusi na amejitenga na jamii (sijui yupo Uingereza? )

starts this season 

clean sheets 
