Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Mmmmh... Tutapata mteja kweli ?

kwamba hata kupata mteja itakua kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh... Tutapata mteja kweli ?

kwamba hata kupata mteja itakua kazi. Muda utaongea mkuu nilitoa vigezo vyangu kipindi kile na nitaendelea na msimamo wangu.Unachekesha watu wewe kwa kusema vitu ambavyo Dunia ya soka itakushangaa. Kwa kipindi kile Joao Felix alikua bora zaidi na mpaka sasa Dogo ni mkali tatizo mnaona ameshuka kutokana na timu aliyoenda mpira wa atletico na style of play ya Felix ni usiku na mchana haviendani. Atletico mostly wanacheza defensive style sasa unategemea Felix atangaa vp. He made a wrong decision kuenda Atletico quality yake ni nzuri kuliko Bruno hata thamani yake ni ushahidi tosha.
Bruno ni mkali na ninamkubali ila kwa Felix dogo anajua zaidi asee.
Itakua kazi mno, labda tuwatumie madalali wazoefu wa mjini... Bidhaa ni mbovu ile mkuu
Itakua kazi mno, labda tuwatumie madalali wazoefu wa mjini... Bidhaa ni mbovu ile mkuu
Ulekeo wa baloteli unamyemelea Kama hata badili attitude yake uwanjaniItakua kazi mno, labda tuwatumie madalali wazoefu wa mjini... Bidhaa ni mbovu ile mkuu
2017 modelUlekeo wa baloteli unamyemelea Kama hata badili attitude yake uwanjani
Sent using my Audi A62017 model
Watu wamepata kiburi sana baada ya kuja Bruno.
Eti," we don't need Pogba " Really?
Time will tell...!
Hivi pp kuna namba pale utd ambayo ametamani kucheza hakupangwa!!!? Hivi pp ukitoa TU tuchenga anatopiga bila kuwa makini hadi anapoteza mpira au anatoa pasi mbovu(kwa mtu aliye zungukwa na maadui mpira unapotea) na kukapa hanaremba hivyo kujikuta ni mtalii uwanjani, nni pp anafanya cha maana....Attitude yake ya uwanjani ni ipi hiyo? Maana kwa Jinsi united ilivyo kabla hajaumia Pogba alikua one of the best players kwenye ligi na the best player and world class midfielder kwenye timu yetu sasa hiyo attitude unayosema abadilishe ni ipi uwanjani???
Acheni chuki he is still the best player kwenye timu yetu na bado tunamhitaji tena sana tu.
Nikuulize unauza Pogba unaleta mchezaji gani saivi sokoni? Tell me a player mwenyewe caliber ya Pogba na unaweza kuziba pengo lake saivi sokoni???? In short hakuna so chuki weka pembeni
2017 modelWatu wamepata kiburi sana baada ya kuja Bruno.
Eti," we don't need Pogba " Really?
Time will tell...!
Hivi pp kuna namba pale utd ambayo ametamani kucheza hakupangwa!!!? Hivi pp ukitoa TU tuchenga anatopiga bila kuwa makini hadi anapoteza mpira au anatoa pasi mbovu(kwa mtu aliye zungukwa na maadui mpira unapotea) na kukapa hanaremba hivyo kujikuta ni mtalii uwanjani, nni pp anafanya cha maana....
Labda tukubaliane kuto kukubaliana, kuwa pp kwa uchezaji wa utd hatokuja kukaa akawa na mchango wa maana labda wa gemu moja moja (hivyo awe anaanzia sub au anatolewea mapema gemu ikimgomea) kuliko kuwa na wachezaji 10 uwanjani
Otherwise mchango wake kwenye timu ni mdodo mno ki wastani kwa msimu, ukimlinganisha na KDB na E, Hazard kipindi alivyokuwapo Chelsea
Sent using my Audi A62017 model
Kabla hata ya kuja huyo Bruno ku na watu pia walikuwa hawamtaki huyo jamaa UnitedWatu wamepata kiburi sana baada ya kuja Bruno.
Eti," we don't need Pogba " Really?
Time will tell...!
Na umarufu wake unaenda kupolomoka mno akiachana na utd....Pogba is 65% player
De Bruyne 80-85 % player
CR7 and Leo are 95% players
Pogba is those kind of players who are overhyped and we can't tell why (may be marketing team job)
Pogba is the opposite of players like Firminho, Barca's Bosquet, Verati etc. who are fantastic players but underrated/don't get the praise they deserve
Pogba's 65% ability + his toxic attitude is equal to a disaster in our club
Pogba should go
Sent using Jamii Forums mobile app
2017 modelAcha kulia lia..Sio lazima atafutwe mtu mwenye kaliba kama ya Pogba pindi atakapoondoka..Tunahitaji tu mchezaji ambaye kocha ataona anaweza kuipa timu balance nzuri na kuisaidia timu..Attitude yake ya uwanjani ni ipi hiyo? Maana kwa Jinsi united ilivyo kabla hajaumia Pogba alikua one of the best players kwenye ligi na the best player and world class midfielder kwenye timu yetu sasa hiyo attitude unayosema abadilishe ni ipi uwanjani???
Acheni chuki he is still the best player kwenye timu yetu na bado tunamhitaji tena sana tu.
Nikuulize unauza Pogba unaleta mchezaji gani saivi sokoni? Tell me a player mwenyewe caliber ya Pogba na unaweza kuziba pengo lake saivi sokoni???? In short hakuna so chuki weka pembeni
Martial hayupo,utakuwa umefurahi sana..sio mkuu??