Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Bila Fred kusimama dimba la kati hapo DM hii combination ni batili..MANCHESTER COMBINED XI
Lee Sharpe and Paul Dickov have named their side if every player was fit. Do you agree with their picks?
Source#SKYSPORTS
Mnaonaje ipo Sawa h!! Changia.....View attachment 1379745
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mvimba macho.uu msimu na mingine inayofuata kama mitatu ivi hutashiriki hata Europa. Utaishia nafasi kadhaa kama uliyopo saiv yani..
Uefa ni kwa ajili sisi wanaume angalia tunavyoenda mchakaza Bayern pale pale kwake..
Tutafanya tukio la kuisimamisha dunia kwa muda.
Trust me, Trust Lampard, Trust Chelsea
Sisi ndo mabingwa msimu uu wa uefa..
Uyu man u tunampangia FA lazima tulipize kisasi ..
Mikakati inaendelea kusukwa.
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Marcus anamshindaje mjerumani Leroy Sane akiwa mzima kwenye wing ya kushoto?MANCHESTER COMBINED XI
Lee Sharpe and Paul Dickov have named their side if every player was fit. Do you agree with their picks?
Source#SKYSPORTS
Mnaonaje ipo Sawa h!! Changia.....View attachment 1379745
Sent using Jamii Forums mobile app
Marcus anamshindaje mjerumani Leroy Sane akiwa mzima kwenye wing ya kushoto?
Batili kabisa
Kwa kuangalia uhalisi wa nafasi husika,Marcus hamfikii Sane kwenye upande wa kushoto. Labda kama watakuwa wameangalia ukubwa wa jina na ubora kwa msimu wa 19/20.
Apo kwa Chelsea tunashinda 3


Ila Huyu jamaa hajawahi kuitabiria ushindi man uApo kwa Chelsea tunashinda 3
Apo kwa Man city ajakosea yuko sawa kabisa.
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Haeleweki kikosi kimepangwa kwa form ya sasa ama uwezo wa wachezaji.
1. Kama kimepangwa kwa uwezo wa wachezaji De gea ni mzuri kuliko Ederson
2. Kama kimepangwa kwa form ya karibuni ya wachezaji pogba hajacheza karibia msimu mzima.
Bila Fred kusimama dimba la kati hapo DM hii combination ni batili..
Hii ni recent perfomance based au majina makubwa??..
Marcus anamshindaje mjerumani Leroy Sane akiwa mzima kwenye wing ya kushoto?
Batili kabisa
Kuna sehemu nyingine naona kama hawajatenda haki mfano:-
Walker- AWB
Silva- B.Fernandez
Ama unaonaje wewe hapo????
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwehu yule
Eeewaaaa haya sema sasa goli zilikuwa ngapi!?Game alali mlotufunga ni ile ya kwanza tu ..izi zingine munabebwa bebwa ..
Natamani tukutane tena raund hii FA kile kipigo cha mbwa jiko tulichompa Liverpool tutaongeza Mara mbili apo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nikiangalia kiwango cha Bruno na jinsi Manchester walivyosuasua kumsajili japo walikuwa hawana upinzani toka timu zingine kubwa, naona pale Man U kuna shida sana na uongouongo mwingi