Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kila nikiangalia kiwango cha Bruno na jinsi Manchester walivyosuasua kumsajili japo walikuwa hawana upinzani toka timu zingine kubwa, naona pale Man U kuna shida sana na uongouongo mwingi
Tunasajili kwa force pale tunapokuwa kwenye hali ngumu..

Mfano tukifanikiwa kuingia Top four sitoshangaa tusiposajili RW kama Sancho hivi..

Hili ni tatizo..

Bruno ndo ana control team inavyocheza going foward..Last fixture hakua poa sana,ila leo inabidi aendelee kuproduce something decent ili atleast tufanye kitu Vs Pep's City

GGMU
 
Amin Amin nakwambia, Tominay na Pogba wasingekuwa majeruhi Januari, sasa hivi Bruno Fernandez angekuwa anajiandaa kucheza na Aves huko motherland ya CR7

Injury kwa hao watu kwa kipindi kile ilikuwa ni baraka iliyojificha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure mkuu kama baraka iliyojificha kwa majeruhi Wesley wa Aston Villa ndio Samata akatua jijini birmigham

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manyumbuuuuu..... Leo mnakufaaa.... Sie watu wa Livepool kudanganya hatuwezi ila leo mnachakaa pale pale nyumbani kwenu bwana enu anakuja kuwapaka hapohapo mlipo.
Mnapata tabu sana kuona tunabeba huu ubingwa wetu......

Mpaka mwisho matokeo yatakuwa hivi.

Manchester United 2 - 1 Manchester City.
 
Tunasajili kwa force pale tunapokuwa kwenye hali ngumu..

Mfano tukifanikiwa kuingia Top four sitoshangaa tusiposajili RW kama Sancho hivi..

Hili ni tatizo..

Bruno ndo ana control team inavyocheza going foward..Last fixture hakua poa sana,ila leo inabidi aendelee kuproduce something decent ili atleast tufanye kitu Vs Pep's City

GGMU
Asipopata sapoti itanisononesha sana. Yeye mwenyewe hawezi, naamni akiwa nyima yake kuna mctonomy, fred na mbele awepo wa kuookea na kushukakusaidia utamuona akifanya kitu.

Wachezaji kama rashford, na wale wote waliokumbwa kirusi cha morinho na pogba, i won't trust em at all
 
Kikosi chetu cha awali

Kabla, kulikuwa kuna mashaka juu ya utimamu wa mwili wa Bissaka na Daniel James

Naona Bissaka amerejea, James ameshindwa. Maguire ameumia ankle mazoezini

Kwa upande wa City Laporte hayupo, De Bruyne hatihati
Screenshot_20200308_154958_com.android.chrome.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom