matic ana composure na experience kubwa ya big matches, anasaidia sana kulinda mabeki, kama unaangalia mehi so far ameshamsaidia maguire alivyopitwa na Aguero.Kwanini Ighalo na Mctominey wameachwa benchi?
McTominay is out of formKwanini Ighalo na Mctominey wameachwa benchi?
😀MKUU NAKUHAKIKISHIA, NA LEO UTAONA, MARTIAL NI MCHEZAJI MZITO, ASIYEKUWA NA AKILI YA HARAKA NA HANA CONTROL YOYOTE YA MPIRA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaa
Akifunga unashangilia, akizingua ni mwendo wa kumnanga.
Tulia wewe kupigwa atapigwa tuTupigieni City aisee mturahisishie kazi wandugu. Si mnajua tena? Ligi isiwe ndefu saana mwenye chake apewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akifunga unashangilia, akizingua ni mwendo wa kumnanga.